"Mnatoa matamko kwa viongozi wa juu kwa mamlaka gani mfano kipindi cha Yesu wangetoa matamko kwamba Yesu asisulubiwe je mngesamehewa dhambi zenu" - Ustadh Mazinge
Soma Pre GE2025 - DSM - Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane
Ustadh Mazinge anasema amesikia kuna mtu anaiamrisha serikali kwamba imto mtu ambaye yupo katika kesi. Amesema mbona wao wamewahi kukaa jela na habari kama hizo hawakuzisikia
"Unaposema wewe unaamrisha kwamba yule atoke mara moja nu utovu wa nidhamu, utovu wa adabu. Huwezi kumuamrisha mkuu wa...
Umoja wa Wachimbaji kwenye mgodi wa Namungo uliopo kwenye wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi wamejitokeza na kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kumlipia fomu ya Urais na fomu ya Ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Wachimbaji hao wamesema...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inalaani vikali na kukemea tukio la kushambuliwa na kuumizwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima pamoja na matukio mengine kama hayo ya uvunjifu wa sheria.
Makamu wa...
Askofu Lazarus Vitalis Msimbe wa Jimbo Katoliki Morogoro akitoa mahubiri kwenye adhimisho la ibada ya Misa ya kusimikwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo.
Hoja yangu nimeileta kwa Wema tu, hasa nikikumbuka ya 2019, 2024 na nikurudishe pia 2020 ambapo uligombea lakini Aliyetangazwa kushinda Ubunge wa Kigoma Mjini ni Kirumbe Ng'enda wa CCM kwa matokeo ya uongo yaliyopangwa na Mamlaka.
Nini kimebadilika leo ambapo umechukua tena fomu ya kugombea...
Mbunge wa Jimbo la Msalala mkoani Shinyanga, Iddi Kasimu amewapatia usafiri wa baiskeli bure wenyeviti wa serikali za vijiji 92 vya halmashauri ya Msalala, utakaowasaidia kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye maeneo yao zenye thamani ya TSh. Milioni 23.
Baiskeli hizo...
Kijana ana vimbwanga sana
===
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amehutubia maelfu ya Wananchi wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga akiingia kwa staili ya pekee ya kutumia greda ambalo mara nyingi hutumika katika utengenezaji wa barabara.
Kawaida...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, amesema suala la kutafuta amani ya nchi linahitaji dhamira ya kweli, inayojali misingi ya utu, haki na uadilifu, wala si jambo la msimu kwa ajili ya kupata shukrani na fadhila za kisiasa.
Amesema kwa maoni yake, Kamati ya Amani Zanzibar...
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===
Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili...
Wachimbaji wa madini nchini wamejitokeza kwa nguvu kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya madini, huku wakiahidi kumpigia kura kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Mwenyekiti wa Madini ya Vito Prosper Tesha ameyasema hayo hivi karibuni...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima ametoa wito kwa wananchi kujitokeza na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura awamu ya Pili, ambapo tayari zoezi hizo limeanza katika baadhi ya mikoa nchini.
Kupata matukio na taarifa zote...
Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima amesema kila mwananchi mwenye sifa za kupiga kura anastahili kujiandikisha mara moja na kupewa kitambulisho kimoja cha mpiga kura.
Kailima amefafanua kuwa, ikiwa kadi ya mpiga kura imeharibika kwa namna...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewahimiza wanachama wa CCM kudumisha umoja kuelekea Uchaguzi Mkuu na kuwakataa viongozi ambao wanawagawa na kuleta mpasuko kwa Wanachama.
Kawaida ameyasema hayo Mei 03, 2025 akihutubia maelfu ya Wakazi wa Wilaya ya Kahama katika mkutano wa...
Akizungumza wilayani Ruangwa Waziri mkuu amesema wao ndiyo waanzilishi wa kauli ya mitano tena kisha ikasambaa nchi nzima.
"Na sisi ndiyo waanzilishi wa neno la mitano tena, sisi ndiyo wasemaji wa kwanza tunataka fomu moja ya Dkt. Samia kupitia halmashauri kuu. Tulipokuwa na sherehe yetu ya...
Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima katika mahojiano na CG FM Radio amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuwashawishi wananchi kujitokeza kujiandikisha katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili lililoanza...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Ally Hapi, ameutaka Mtandao wa vijana wa Kesho Yetu, Uzalendo Wetu na Utaifa (TK Movement), kutokatishwa tamaa na baadhi ya watu wasiopenda maendeleo ya serikali, badala yake wasonge mbele kulisemea taifa kwenye mambo mazuri linayofanya...
Wakuu wa Jimboni kwa Waziri Mkuu mje mtuoneshe hayo mageuzi mliyofanyiwa huko.
===
Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Nasoro Ngoma amesema aliyoyafanya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika jimbo lake ndani ya miaka 10 si maendeleo bali ni mapinduzi. Ngoma ameeeleza mtandao wa lami uliowekwa katika kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.