kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalimu: Mbowe alitaka kupigania mifumo ili tuingie kwenye uchaguzi

    Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee, === Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla apiga goti akiomba kutogombea ubunge Mvomero

    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, CPA. Amos Mkalla, amepiga goti kuwaomba wakazi Mvomero, wamruhusu aendelee kumsaidia Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. Samia Suluhu Hassan na kwamba sasa siyo wakati muafaka kwa yeye kugombea Ubunge kwa kuwa, ana kazi kubwa aliyepewa na Mwenyekiti wake katika kazi...
  3. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo: 1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba? 2. Kwa kutumia...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalim: Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana

    Aliye kuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA Salum Mwalim Baada ya kutangaza kukiacha chama chake cha CHADEMA amefunguka mengi huku akisema Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana, rafu zilikuwa nyingi na siasa chafu jambo ambalo lilotia doa sana. Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa NCCR Mageuzi wilaya ya Magu wakibwaga chama na kuhamia ADC

    Katibu wa NCCR Mageuzi Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Robert Busumabu na mwenzake Mwenyekiti wa Vijana wilaya hiyo, Mathayo Ndalahwa wamehamia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) huku wakieleza sababu za wao kuhama. Mara baada ya kupokelewa na Kamishna wa ADC Mkoa wa Mwanza, Ramadhani...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Hamida achangia 500,000/- kuboresha Ofisi ya Wafanyabiashara Soko la Sabasaba

    Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini,Hamida Mohammed Abdallah, leo Mei 7,2025 ametembelea eneo la soko la muda lililopo katika Kata ya Msanjihili, Mtaa wa Bank maarufu kama "Sabasaba" ambalo litakalotumika kwa muda na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Lindi ili kupisha ujenzi wa soko jipya la kisasa la...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Waliohama CHADEMA tunawakaribisha CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewakaribisha kujiunga na CCM Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake ambao leo May 07,2025 wametangaza kuondoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya Rais Samia kuzunguka Nchi Nzima kupiga Kampeni Uchaguzi Ujao. Fedha za Kampeni zipelekwe kwenye Ruzuku ya mbolea ili ishuke bei zaidi

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nashinda mitaani na wananchi wa matabaka mbalimbali,rika tofauti tofauti,makundi mbalimbali na watu wa kila aina . Ninafanya nao kazi na kuzungumza nao mambo yahusuyo Nchi yetu. Nashinda na watu wa chini kabisa huku. Nashinda na wakulima wakubwa kwa wadogo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa una sababu ya kurudi CHADEMA kwa hatua hii

    Kwa hatua hii ya secretariat ya akina Mrema na akina Singo na wote kuondoka akiwemo Mbowe kwa sasa unaweza kurudi Chadema kwa roho nyeupe kwa vile kundi hilo ndilo lilochangia kwa asilimia 75 kuondoka. Wewe na Lissu na Heche akiwemo Lema mlikuwa target. Ushindi ni wenu kwa sasa rudi kwa rafiki...
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna mfuasi yoyote wa G55 mwenye ubavu wa kupata ubunge kwa chama chochote

    Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema. Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election Kutikisa Mkoa wa Kagera kuanzia Tarehe 08/05/2025, Angalia Ratiba ya Kijiji chako Hapa

    Ile Neema ya Mungu inayoitwa No Reforms No Election sasa inaingia Mkoani Kagera. Taarifa iliyosambazwa na Chadema Dunia nzima hii hapa Taarifa zingine zinaonyesha kwamba timu ya viongozi wa Chadema itasambaa Mkoa Mzima huku kila kiongozi akishambulia vijijini ili kuelimisha wananchi umuhimu...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA Imefungua Milango kwa kina Kigaila

    kujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital. Aliongeza kuwa wanaendelea na maandalizi kuelekea Juni 27, 2025, ambapo tutatangaza majina ya wagombea wetu wa Urais, Ubunge na Udiwani. CHAUMMA ambaye hakutaka jina lake litajwe, alikanusha taarifa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo: Maslahi binafsi yasitupofushe dhidi ya mazuri ya Rais Samia

    "Sisi Viongozi wa dini, Viongozi wa kiroho tunahitaji kuhimiza pamoja na haya mambo haya ya kisiasa au mambo yanayohusu uchaguzi Mkuu, Kuhimiza maboresho katika utoaji wa huduma muhimu kwa jamii. Ustawi wa watu unategemea upatikanaji bora wa huduma za afya, elimu, maji safi na huduma nyingine za...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Hoja ya G55: Hii ndiyo Mikakati ya CHADEMA inayotumia kuitekeleza agenda ya NO REFORMS, NO ELECTION.

    Kwanza, tuwashukuru hawa jamaa wanaojiita G55 (kundi asi lililokuwa ndani ya CHADEMA) kujitokeza leo na kutangaza rasmi na kwa hiari yao wenyewe kuwa wanajiondoa CHADEMA. Ni vyema sasa kuwa wamekiri kushindwa kwa nia yao ovu wenyewe kwa midomo yao... Pamoja na sababu zingine wanazozitaja za...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Hakuna chama chenye mamlaka ya kuzuia uchaguzi

    Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakuna chama chochote ambacho kina mamlaka ya kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika October mwaka huu na siyo matakwa ya chama hicho kufanya uchaguzi bali wanafuata kanuni na sheria za katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutaka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sekretarieti ya Mbowe kuhama haina athari kama ilivyokuwa kwa covid 19. Hawa ni uchwara

    Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi. Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ntobi asema yeye bado ni mwanachama wa CHADEMA na hana nia ya kujiondoa

    Kupitia ukurasa wake wa X, Emmanuel Ntobi ameeleza kuwa amesikia msimamo wa waliojiondoa lakini yeye hana nia ya kujiondoa. Ikumbukwe kuwa Ntobi alikuwa team Mbowe wakati wa kampeni, na alitoa maneno makali kwa Lissu hata kupelekea kuvuliwa uongozi aliokuwa nao. === "Nimesikia taarifa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalimu wa G-55 asema yupo tayari kubeba majina yote adai hata Yesu na Mtume walipewa kila jina ila wakasimama imara

    Wakati wa Mkutano wao na waandishi wa habari, Salum Mwalimu ameeleza kuwa anaunga mkono wao kuhama chama hiko. Sambaba na hilo ameeleza kuwa yupo tayari kuwatumikia Watanzania na yupo tayari kubeba kila jina kwa maana hata Yesu na Mtume walibeba kila jina na kupingwa lakini bado wakashinda Pia...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania G55 hawakutakiwa kumung'unya maneno walipaswa kutangaza kuhamia CCM kama walivyotumikishwa tangu awali

    Sijui kwanini Kigaila anadanganya umma kwamba hawana pa kwenda wakati kila kitu kiko wazi. Tangazeni Kuhamia CCM kama mlivyoelekezwa, Kigugumizi kinatoka wapi? Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana, Haiwezekani mng'ang'anie kuwa wajumbe wa sekreterieti milele, huu ni udhaifu mkubwa sana...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla ajipika kwa Machifu wa Waluguru Morogoro, sasa anaitwa 'Mbokeleni'

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla akisimikwa Kuwa "Mbokeleni" - Jina la Kichifu kwa Waluguru. "Mbokeleni" - jina la heshima la kichifu kwa jamii ya Waluguru. Hafla hiyo imefanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Morogoro, chini ya uongozi wa machifu wa...
Back
Top Bottom