kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa Tawi la UDSM Lindi wapiga hatua: Ngongo 45%, Ruangwa 36%

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zaina Telack ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam kinachojengwa Ngongo - Ruangwa Lindi ambapo upande wa Ngongo ujenzi umefikia 45% na Ruangwa umefikia 36%. Awali akiwasilisha taarifa ya ujenzi wa mradi huo Mhandisi wa mradi upande...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

    Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo! We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo? Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM aipinga bajeti ya ujenzi, awaita mawaziri waongo

    Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni leo Jumanne Mei 6, 2025 amekuwa mbunge wa kwanza kusikika akipinga bajeti ya Serikali kwa madai ya kuchoshwa na uongo. Mageni ameipinga bajeti ya Wizara ya Ujenzi iliyowasilishwa jana Jumatatu, Mei 5, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ambaye aliomba...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi

    Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi - rais wa tahliso Sehemu ya Mahojiano ya Rais wa Tahliso Ndg Geofrey Kiliba na Waandishi wa kipindi cha 360 kutoka Clouds tv.
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrick Assenga avuliwa Uanachama CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Tawi la Msimbazi, Kata ya Tabata, Jimbo la Segerea mkoa wa kichama wa chama hicho wa Ilala mkoani Dar es Salaam kimemvua rasmi uanachama mwanachama wake Patrick John Assenga, kwa kile kilichoelezwa kupinga hadharani maazimio rasmi ya chama...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumeaminishwa, kwamba Wabunge kazi yao ni kuletea wana Jimbo Maendeleo, na sio kutunga sera za nchi, case study Charles Kimei Mbunge wa Vunjo

    Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna porverty ya kutisha. Hii sera ya kugeuza kwamba Wabunge ndio wanao leta maendeleo tena Jimboni sio nchi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Ulanga abebwa na Mwananchi, akikagua Barabara iliyoharibiwa na Mvua

    Wakuu! Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ZEC yapunguza kwa 50% gharama za Fomu kwa Wagombea Wanawake

    Kilio cha Wanawake na Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake kuhusu dhamana ya gharama za fedha za uchukuaji wa fomu, kugombea nafasi ya urais,uwakilishi na udiwani katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kimepatiwa ufumbuzi baada ya ZEC kupunguza asilimia 50 ya gharama hizo kwa wagombea...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia Squad yaanzishwa, lengo kuu ni kumsifu Rais Samia ili kujipatia hela za kujikimu

    Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Chadema Arumeru atimkia CCM, asifu miradi ya maendeleo chini ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha. Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi akutana na viongozi wa dini Zanzibar kujadili amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu. Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi...
  13. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aliunda tume kuchunguza mfumo wa Haki jinai, akumbushwe kumfikisha mtu mahakamani bila upelelezi kukamilika ni kukiuka Haki jinai

    Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka zinavyofanya kazi zao. Tume ilianzishwa kutokana na malalamiko ya wananchi ya kila siku kuhusu idara hizo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAKAMWATA yasema Rais Samia ameyagusa maslahi yao

    Katibu Mkuu wa Chama Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA),Mwalimu Meshack Kapange, amempongeza Rais Samia kwa kuongeza mshahara, jambo ambalo litaleta nafuu ya maisha kwa wafanyakazi nchini.
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jebra Kambole: Sisi mawakili tumekuja mahakamani kwanini wananchi wasije?

    Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu zinaendelea kwa njia ya mtandao Mahakamani hapo Mmoja wa Mawakili wa utetezi Wakili Jebra Kambole...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kupelekwa mahakamani na wananchi waruhusiwa kwenda kusikiliza. Kesi kuendelea Mei 19, 2025

    Wakuu, Huu ni muendelezo ya kilichojiri mahakamani, naona bunge la EU limetisha watu mpaka wamebadilisha gia, sasa kesi itasikilizwa katika mahakama ya wazi na wanachi wataruhusiwa kusikiliza kesi hiyo. ==== Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Jumanne Mei 06.2025 Mahakama ilikuwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Watanzania tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa na maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Balile na wenzake watunukiwa zawadi ya Milioni 10 kila mmoja kwa kuandika habari zisizoligawa Taifa

    Hiki kinachofanyika ni kama kuwafanya waandishi waandike habari ambazo watawala wanataka kuzisikia na zile wasizoitaka isichapishwe. Hii inahatarisha mustakabali wa waandishi nchini. === Wizara ya habari imetoa zawadi maalumu kwa Deodatus Balile, Absalom Kibanda, Mbaraka Islam na Haula Shamte...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu upelelezi haujakamilika, yaahirishwa hadi Mei 19,2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa Akizungumza mbele ya Mahakama katika kesi hiyo inayoendelea kwa njia ya mtandao Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fuatilia LIVE Kesi dhidi ya Tundu Lissu. Inasikilizwa muda huu mahakamani

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao. === UPDATE Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
Back
Top Bottom