kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Diaspora yatangaza Dau la Tsh Milioni 10 kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa Mdude Nyagali

    Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama unaishi Dar, Zanzibar na mikoa ya Pwani, Tume ya uchaguzi itapita kuandikisha wapiga kura kuanzia Tarehe 16 Mei

    Wakuu, Zoezi la kujiandikisha halijaisha! Kuna wale watu ambao walikuwa hawajajiandikisha kwenye awamu ya kwanza zoezi la kusajili wapiga kura. Tume kwa sasa ipo kwenye awamu ya pili ya zoezi la kuandikisha wapiga kura baada yaawamu ya kwanza. Kuanzia Mei 16 hadi Mei 22, Tume itapita kwenye...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wengine wa CHADEMA wakiongozwa na Katibu wa G55 Edward Kinabo watangaza kujivua Uanachama

    Wakuu, Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri. https://www.youtube.com/live/0O9B4aH_fag?si=gZorh7bK6lTU3LTJ Edward Kinabo - Aliyekuwa Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa kampeni za Freeman Mbowe "Kauli zilizotolewa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana Mbeya wafanya maombi maalumu kwa ajili ya kupatikana kwa Mdude

    Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya. Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu hana rekodi ya mapambano ya kisiasa

    Jimbo la Kikwajuni Jimbo la Kinondoni Urais wa chuo cha usimamizi wa Fedha(IFM) Huku kote alishindwa vibaya
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Mbowe hana nia ya kuhama Chama wala kugombea Urais

    Anaandika John Mnyika kwenye ukurasa wake wa X: Nimewasiliana na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe amenieleza hana dhamira ya kugombea urais, ubunge au uongozi wa chama chochote cha siasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Natambua kuwa wachache waliojiondoa CHADEMA baadhi yao wamekuwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika, usimuamini sana Freeman Mbowe licha ya yeye kukanusha habari ya yeye kugombea uraisi kupitia chama kingine cha siasa

    Namshauri John Mnyika awe makini sana na asimuamini sana Mbowe kwa kile alichomueleza. Mnyika anapaswa kujiuliza juu ya ukimya wa Mbowe licha ya yote yanayoendelea na ni lazima ajiulilxe ni kwanini hakutoka mwenyewe hadharani kukanusha badala yake amesubiri mpaka Mnyika amtafute ndio akanushe...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa timu ya CCM mitandaoni ishapigwa tano bila na timu CHADEMA

    Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia. Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa picha: Habari ya CHADEMA kufa haipo Mbowe na kundi lake watakuja kujilaumu mageuzi yatapowakuta wakiwa nje

    Hii ni huko Karagwe leo hii. Video ipo katika akaunti ya Hilder Newton kwenye mtandao wa X. Mbowe na viongozi wenzake, walifanya kazi kubwa kujienga CHADEMA, ila leo wanaigeuka wakiamini itakufa kitu ambacho hakipo. Nawapo pole sana kusaliti kazi ya mikono yao wenyewe kwa kushindwa kusoma...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Karagwe: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election uliohutubiwa na Dkt Slaa

    Hapa ni Kata ya Kayanga, Wilayani Karagwe wakati Dkt Slaa amefundisha wanakijiji hao maana ya No Reforms No Election Swali letu ni hili, Kwa hali hii ni nani atashiriki Uchaguzi wa Magumashi?
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia Urais aondoka CHADEMA, amtuhumu Lissu kwa kumshambulia Rais Samia

    Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho. Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025 Mapunda amefikia uamuzi huo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wanaoondoka CHADEMA ni matokeo ya mabadiliko ya uongozi, si ubaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi. Heche amesema hayo leo Alhamisi, Mei 8, 2025 mkoani Kagera katika mikutano ya operesheni ya No reforms, no election 'bila...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025. "Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru

    Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria. Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Kushindana na CHADEMA ni kushindana na Wakati

    Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA". Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini. Tangu kuanzishwa...
  17. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana tukaendelea na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda wote: nini kifanyike?

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kitambue kwamba kama kimeweza kuwamudu Watanzania kwa muda wote, basi ni juu yao sasa kuhakikisha kinatawala taifa imara lenye nguvu—na siyo taifa dhaifu. CCM iweke mazingira na sheria ambazo zitastawisha Tanzania na siyo kuididimiza. Itafika mahali hata cha kuiba...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Punguza ukaribu na wasanii, watakuharibia!

    Nieleweke, simchukii Rais wangu, nampenda sana. Ila Rais huyu kiujumla, anawaogopa wasanii. Wasanii wengi hawana hata maadili—watamsaidia nini? Mbele ya Rais wa nchi, mhuni mmoja anasema Harmonize amerudiana na Kajala, Rais anacheka. Nchi tunaipeleka wapi? Kimsingi, baada ya Samia kuwa Rais...
  19. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania CCM itashinda Uchaguzi lakini Je utakuwa itakuwa ni ushindi wa heshima?

    Kama msimamo utaendelea kuwa huu huu kwamba Uchaguzi utaendelea kama kawaida,hapana shaka Chama changu Ccm kitashika hatamu za Uongozi na kushika dola kwa miaka mingine mitano Sina shaka kabisa kwamba pamoja na No Election No Reforms kampeni, bado hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi usifanyike...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salim Mwalimu aliyejiondoa CHADEMA: Lissu, Heche na Mnyika walikuwa wananichukia

    Wakuu, Kwanza ningependa kumpongeza Charles William kwa kufanya mahojiano yenye level kubwa sana ya professionalism. Yaani ameweza kuuliza maswali kwa huyu Salim Mwalim mpaka akaanza kujikanyaga kanyaga akiwa live. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Back
Top Bottom