Salum Mwalimu hana rekodi ya mapambano ya kisiasa

Jimbo la Kikwajuni
Jimbo la Kindoni
Urais wa chuo cha usimamizi wa Fedha(IFM)
Huku kote alishindwa vibaya
Gentleman,
hiyo ni record tosha kabisa,
sawa tu na useless record za akina Lisu na Heche ambao hawana record yoyote ya maana ya maendeleo licha ya kua wabunge.

Heche ndio ana record ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti tu 🐒
 
Utakuwa unapata mshahara kuandika humu
 
Gentleman,
hiyo ni record tosha kabisa,
sawa tu na useless record za akina Lisu na Heche ambao hawana record yoyote ya maana ya maendeleo licha ya kua wabunge.

Heche ndio ana record ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti tu 🐒
Acha hizo mzee
 
Hahah, aisee
 
chukua hiyo,
muonyeshe Heche atakwambia,
hiyo ndio kuliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti ndio record pekee aliyonayo,

anaishi nyumbani kwa wazazi hivi sasa 🐒
Wewe ni mwehu kumbe. Mimi ninaishi kijijini kwao heche huku getagasembe sirari,tarime unaleta porojo za UCCM kwamba heche Hana mji.
Mpuuzi wewe. Heche ana mji na uache kusambaza taarifa za uongo mbuzi wewe
 
Gentleman,
hiyo ni record tosha kabisa,
sawa tu na useless record za akina Lisu na Heche ambao hawana record yoyote ya maana ya maendeleo licha ya kua wabunge.

Heche ndio ana record ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti tu 🐒
Wewe record yako ni ipi???
Tuweze compare VS Heche
 
Wewe ni mwehu kumbe. Mimi ninaishi kijijini kwao heche huku getagasembe sirari,tarime unaleta porojo za UCCM kwamba heche Hana mji.
Mpuuzi wewe. Heche ana mji na uache kusambaza taarifa za uongo mbuzi wewe
amehama kuishi kwa mother sio?
au kahamia ile nyumba yao kule shambani?

Betting ni hatari kwa afya yako ya akili 🐒
 
Back
Top Bottom