Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.
Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.
Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.
Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.
Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.
Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.
Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.
Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.
Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.
Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.
Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.
Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.
www.jamiiforums.com

CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika pale ilipo kwa kubebwa na vyombo vya dola imepambana kwa jasho la damu, haijafika hapo kwa kupata...