kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Brain-teasing political question: Je, Mbowe akienda CHAUMMA na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika?

    Mbowe anakwenda Chauma na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika ? Najaribu kufikiri! Naomba maoni yako!
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 Henry Kileo, Moza Ally, Patrick Assenga, Asha Abubakari na Glory Tausi wajiondoa CHADEMA

    Wakuu, Ni mwendo wa kuendelea kuangalia panapovuja mpaka iache kunyesha. https://www.youtube.com/live/7DyNX31-xaQ?si=rDbUhzxMfwptm2Q- Meza Kuu inajumuisha; Henry Kileo - Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Kinondoni - Nimekaa kwenye chama kwa uaminifu sana, lakini chama sasa kimepoteza muelekezo...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama Independent People's Party (IPP) wamburuza Msajili, Mwanasheria Mkuu mahakamani

    Wanachama wawili wa Chama cha Siasa cha Independent People's Party (IPP), Vyonheaven Urima na Andrew Bomani, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, wakiomba ruhusa ya kufungua shauri la mapitio dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya CHADEMA kwa Msajili kuhusu malalamiko ya Lembrus Mchome ya Ukiukwaji wa Katiba

    CHADEMA kimetoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko ya mwanachama wake, Lembrus K. Mchome, aliyedai kuwa kikao cha Baraza Kuu Taifa cha Januari 22, 2025 kilikuwa batili kwa kukiuka Katiba ya chama. Katika majibu yao, CHADEMA wameeleza kuwa barua ya Mchome ilikuwa ni rufaa...
  5. Lancashire

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa Mulika mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM mwaka huu una kasoro nyingi

    Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe. Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ulifumbia macho suala la Samia kujipitisha mgombea, hili la kutengua wajumbe halali wa CHADEMA utalinywa

    Huwezi kuishi kwa kujifanya mtoto mdogo Kila wakati ilihali umekuwa, nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria hivyo jitafakari. Taifa linakuwa vituko kwa sababu ya watu tuliowapa dhamana, fikra za hovyo zimewatawala. Ofisi ya msajili kwa hili huwezi kukimbia matokeo yake wewe siyo mahakama...
  7. Holoholo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura yako ni ya thamani sana kwa miaka mitano ijayo, shiriki kikamilifu uchaguzi mkuu mwezi Oktoba

    Wakuu, Tunaweza tusione umuhimu wa uchaguzi mkuu kwa sasa na kujiapiza kuwa hatushiriki, lakini kutoshiriki kwako uchaguzi mkuu ni kuhalalisha wale usiowapenda wapite waongoze tena miaka mitano ijayo, katika muktadha ndugu zangu watanzania, umekubali kuwa na kiongozi usiempenda kwa miaka...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Edson Kilatu: Ofisi ya Msajili ilikuwepo kwenye Uchaguzi Mkuu CHADEMA, iweje aseme akidi haikutimia? Na alisifu demokrasia!

    Wakili Edson Kilatu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa anaongozwa na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, sura namba 258 ya sheria za Tanzania, ambayo inampa mamlaka ya kufanya uangalizi katika chaguzi za ndani za vyama vya siasa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Edson Kilatu: Maamuzi ya Msajili kwa CHADEMA yamenishtua! Sikutegemea!

    "Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu - Mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nusrath Hanje: Mimi sio Msaliti, Watu wajifunze kwetu sisi ni Makamanda. Namsapoti Rais Samia na Naamini Nitarudi Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalum Nusrath Hanje amezungumza na Wasafi Media kuhusu mitazamo ya watu kuhusu majimbo Mapya yaliyoanzishwa Katika mazungumzo ambayo amefanya na Carlos Ngonya, Hanje amesema kuwa mara nyingi watu wamekuwa na mitazamo mibaya kwenye mambo mazuri na wanachofikiria baadhi ya watu ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa magari saba kwa jeshi la polisi Pwani

    Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limepokea magari saba ikiwemo matatu aina ya Toyota Land cruiser mpya (Zero kilomita ) hatua inayolenga kuongeza kasi na ufanisi wa Jeshi hilo katika kukabiliana na uhalifu , kuhakikisha usalama wa raia na mali zao pamoja na kuimarisha utendaji kazi kwenye Wilaya za...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Athari za kuto shaurika na kuto ambilika kwa viongozi CHADEMA taifa zinawatesa kisakolojia

    Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣 Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi...
  13. Lancashire

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri: Jakaya Kikwete pumzika kufanya siasa usije kujivunjia Heshima uliyojijengea kwa muda mrefu

    Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Majimbo waliyopewa 30 yanayodaiwa kupewa CHAUMA na ACT wagombea wa CCM wanayajua? Wameridhia?

    Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi. Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea? Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Kinondoni alimwa barua kwa Tuhuma za Usaliti, Kuhujumu Chama

    Tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kisutu, limeandika barua ya kutaka maelezo kutoka kwa mwanachama wake, Henry Kilewo, likimtuhumu kwa usaliti, kuhujumu shughuli halali za chama, na kuendesha kampeni za kuwashawishi wanachama kuhama chama chao. Katika barua hiyo iliyotiwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi CHADEMA wanavyopambana na vikwazo vikali kuelekea mageuzi

    Kupitia mchoro huu wa Masoud Kipanya, hii ndiyo hali halisi CHADEMA wanapitia, je joka litatoka salama kweli? Mwalimu Boniface Jacob ametafsiri hivi; 1.Joka la Kaki - hiki ni chama cha siasa kinacho vaa sare zenye rangi ya kaki kombati nchini Tanzania. 2.Ukubwa wa Joka- Ukubwa wa hicho chama...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa aachiwa kwa dhamana, Viongozi wengine waachiwa pia na kutakiwa kuripoti polisi kesho

    Wakili msomi Dickson Matata kwa kushirikiana na jopo la mawakili wa CHADEMA, wamefanikiwa kupigania haki ya dhamana kwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, ambaye alikamatwa usiku wa kuamkia leo Mei 13, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kushikiliwa katika...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

    John Heche Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ndaisaba Ruhoro awakumbusha Wananchi umuhimu wa kushiriki Uchaguzi Mkuu

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Jumapili ya tarehe 11 Mei 2025 alishiriki ibada katika Kanisa la Anglican Kabanga ambapo alitoa Sadaka ya Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ili kuunga mkono ujenzi wa Kanisa hilo. Akisalimiana na waumini kwenye Kanisa la Anglican Kabanga...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Huu ni msimu wa kujua uhalisia wa kuelekea uchaguzi watu

    Msimu wa inzi kufuata uvundo umeingia. Utaona na kusikia mengi. Kila mchumia tumbo atahama chama. Kila changudoa wa kisiasa atapata bwana mpya. Yote ni sababu ya njaa, ujinga, unafiki, uzwazwa na utapiamlo kiakili. Namna hii, kweli Rais mbeba maono, mwanasayansi, mchumi maarufu na muweza wa...
Back
Top Bottom