kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kanda ya Kaskazini, Angalia Ratiba ya Kijiji Chako hapa

    Ile Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini. Hii hapa ni Ratiba kamili
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kujenga soko la kimkakati na ghala la kuhifadhi nafaka wilayani Biharamulo ili kuhudumia nchi za maziwa makuu

    VIDEO FUPI : leo tarehe 21/5/2025 Mbunge wa biharamulo amehakikishiwa kujengwa kwa soko la mazao ya chakula katika kata nya LUSAHUNGA wilayani kwetu biharamulo. Kupitia mchango wako bungeni katika bajeti ya wizara ya kilimo mh mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amesema bajeti hiyo...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Biharamulo kupata bwawa kubwa la ujazo wa lita bilioni 13 kwa ajili ya kipimo

    KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO 31,5,2025 SERKALI KUPITIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO IMEMUHAKIKISHIA MBUNGE WA BIHARAMULO ENG EZRA JOHN CHIWELESA KUWA : 1.Ujenzi wa Bwawa la mwiruzi lenye ujazo wa lita bilioni 13 ,litakalo jengwa katika ushoroba wa mto mwiruzi katika kata ya nyanza na rusahunga...
  4. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Chadema wamekosea kufanya uchaguzi karibu na uchaguzi mkuu

    Hili kosa litawatafuna sana haya yanayotokea leo yasingetokea endapo wangefanya uchaguzi mwaka mmoja kabla au baada ya uchaguzi mkuu Kusimamia sera kunahitaji muunganiko na muda wa kutosha kwa kuzingatia nguvu ya chama kilicho madarakani ingepaswa wapate muda wa kujadili na kukubaliana juu ya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuzindua mpango wa uhakiki taarifa huku wenyewe wakiwa wapotoshaji wa kwanza, yaani mwizi anaenda kumhakiki mwizi!

    Wakuu, Sijui ni upotoshaji wanaenda kukomesha kama wao ndio wapotoshaji wa kwanza! Tutaona mengi. ==== UVCCM yaindua kampeni ya Kijani Fact Scan kwaajili ya kukomesha upotoshaji Mei 21, 2025, UVCCM Taifa imezindua rasmi kampeni kabambe ya kitaifa ya Kijani Fact Scan katika mkutano maalum...
  6. Mchumi90

    JamiiForums Tanzania Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani

    Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu. Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy. Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee...
  7. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Katu tusikubali alama ya wino kuchafua vidole au mikono yetu kwa uchaguzi batili 2025

    Kama reform za uchaguzi mkuu hazitafanyika na serikali kulazimisha uchaguzi. Tutawafahamu wasaliti na watesi wetu kwa kuangalia ALAMA za wino katika VIDOLE vya MIKONO yao na kuwatambua. No reform no election.
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukiondoa CHAUMMA, CCM wenye kujua idadi ya Wabunge wao tayari, Vyama vingine vimeahidiwa Wabunge wangapi na Dola ya CCM ?

    Sisi CHADEMA ,tunamtaka Mabadiliko , hatutaki mbeleko, tunataka tushinde Kwa Haki na tushindwe Kwa Haki.!!. Hivi ACT Wazalendo, SAU, TADEA, ADC, AFP, DP, UPDP, UDP, NCCR? ina maana nyinyi mnaona sawa Wenzenu CHAUMMA wapewe Magari, Helkopita, Fedha, Wasanii ? Kwanini na nyinyi msidai hayo tena...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashe: Bila Rais Samia kuingilia kati 2021, Sekta ya kilimo iliporomoka na kufa. Tunampongeza na kumshukuru kwa kuokoa Kilimo nchini

    My Take Mojawapo ya sekta ambazo Serikali ya Samia imetoa msukimo mkubwa ni Kilimo.Soma Pre GE2025 - Rais Samia atimiza ahadi, amwaga Magari 20 ya kuchimbia Visima bure kwa Wakulima wadogo Hata Mimi nimerudi kuanza kulima tena awamu ya 6 baada ya kuacha 2016 Kwa sababu ya bei mbovu za Kilimo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mimi ndiyo ningekuwa CUF, ACT, UDP n.k, kwa hili la CHAUMMA, ningeungana na CHADEMA kudai Reforms

    Ghafla bini Vuu, Chauma kinakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote nilivyotaja hapo juu na kikiwa na bajeti ya kurusha chopa nchi nzima, wewe kama CUF, UDP, ACT na vyama vingine, hushangai?? Chama ambacho hakina mbunge hata mmoja kiseme labda wanapata luzuku ili kufanikisha hilo Tanzania...
  11. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wanapanga kushiriki Uchaguzi 2025

    Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida. Taarifa za zaidi zinasema Viongozi wa Dini wamekua wakishawishi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kadri CCM wanavyoikandamiza CHADEMA, ndivyo wanavyozidi kuifanya CHADEMA izidi kupiga hatua na kupendwa zaidi na mioyo ya Watanzania

    Dear all.. la pace sia conte. Nimefanya utafiti na kugundua kuwa kipindi hiki Chadema kimepata uungwaji mkono mkubwa saana kutoka kwa wananchi kwa sababu ya political sympathy sambamba na baadhi ya matukio ya sintofahamu yanayojitokeza kwenye nchi yetu. Chawa kunufaika na...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Matukio ndani ya Chaumma na Njaa 55 ni kilelezo tosha cha ubinafsi na Roho Mbaya ya Mtu Mweusi

    GT. Katika hali ya kawaida ukiyatafakari Maisha ya watanzania chini ya utawala wa CCM halafu leo kundi kubwa la watu wajinga na wenye Njaa linawakana watanzania kwa ubinafsi na roho mbaya zao na kukubali kutumika na CCM ambayo imeua kila kitu hapa nchini ni jambo la kusikitisha sana. Hawa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Devotha Minja: Utulivu wa nafsi nimeupata ndani ya CHAUMMA

    Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bara Devotha Minja ameeleza kuwa malengo makubwa ya chama hicho ndiyo yamemvutia kujiunga na chama hicho. Devotha ameeleza hayo akitanabaisha malengo hayo siku ya Jumatano Mei 21, 2025 wakati wa Mkutano mkubwa wa mapokezi ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigaila: CHAUMMA kitakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania

    Tambo za Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara CHAUMMA, Benson Kigaila, aisagia CHADEMA na kueleza kuwa chama chake itakuwa kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania na kwamba adui mkubwa wa CHAUMMA ni CCM.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa: Tumejipanga kwa Vitendea kazi na Kijeshi kuwashughulikia watakaofanya fujo kwenye Uchaguzi

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeonya watu wanaopanga au wanaotarajia kuvuruga amani wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao, ikisisitiza kuwa vyombo vya dola vimejipanga kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika katika mazingira ya amani na utulivu. Akijibu swali bungeni leo Jumatano Mei...
  17. G.T.L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

    Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025. Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru bado Watanzania tunafanyiwa haya mazingaombwe? Mnayofanya CCM nani aliwaambia tunayataka?

    Nina tumaini wote tu wazima wa afya, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Matukio yanaendelea nchini Tanzania, hasa katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi; mambo mengi ni meusi, yanafichika na kuendelea kwa kweli! Chama Cha Mapinduzi kimeisha toa ratiba yake, moka ya agenda ni uzinduzi...
  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Lembruce Mchome aibukia mkutano wa CHAUMMA Ubungo Plaza

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ni miongoni mwa walionaswa na kamera za Jambo TV japa Ubungo Plaza kwenye Grand Reception ya Chama cha Ukombozi wa Umma
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kibiti na viongozi wengine 3 wajivua Uanachama na kujiuzulu nyadhifa zao

    Wakuu, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kibiti, Mohamed Seif, pamoja na viongozi wengine watatu wa chama hicho, wametangaza kujiuzulu nyadhifa zao na kujiondoa rasmi CHADEMA, wakipinga kile walichokiita ukosefu wa haki na ushiriki wa kweli wa...
Back
Top Bottom