Taarifa za CCM Mkoa wa Simiyu kuwa kuna wagombea 14 wa Ubunge Jimbo la Kisesa waliochukua fomu na Wagombea 13 jimbo la Meatu zimeibua sintofahamu kubwa na baadhi ya wanachama kudai kuwa wagombea ni wa mchongo ili kuvuruga mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama.
Minong'ono imekuwa mikubwa baada ya...
2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo. Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo. Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba Niende kokote...
Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.
"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar...
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi CCM taifa Ndugu Ndele Mwaselela amesema hakuna mwanachama yeyote aliyetumwa na kiongozi wakitaifa wala mkoa kwenye mchakato wa kuchukua fomu za kutiania ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho.
Mwaselela amewaambia waandishi...
Na Mwandishi Wetu, Mwanza.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Julai 03, 2025 amemtembelea na kukagua mwenendo wa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Gereza Kuu la Butimba lililopo mkoani Mwanza na kushuhudia namna...
Wakati watia nia kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Geita wakijitokeza kwa wingi kuchukua na kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge, Jimbo la Bukombe limebaki na jina moja pekee—Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Doto Biteko, ambaye ameonesha nia ya...
Jumla ya watia nia 44 wanawake wamechukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi Mkoani Mtwara ikiwemo Ubunge,Ubunge Viti Maalum pamoja na Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara.
Akitoa taarifa za watia nia wa nafasi hizo katika majimbo 10 yaliyopo mkoani Mtwara Katibu wa Siasa,Uenezi na...
MJUMBE wa Halmashauri Kuu Taifa (MNEC), Ndele Mwaselela ametoa sababu ya kutogombea nafasi ya ubunge katika mchakato wa uchukuaji fomu na urejeshwaji ulionza Juni 28 mpaka Julai 2,2025.
Mwaselela ametoa msimamo wake leo Jullai 3, 2025 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari katika Ofisi za...
Wakuu!
Kuna hii video ya Mbunge wa Muleba Kusini anayedaiwa kugawa fedha kwa wananchi. Baada ya miaka mitano, leo Mbunge huyo, Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, amerudi jimboni na anawagawia wananchi elfu kumi, kumi. Kilichoniuma zaidi ni kuwaona wananchi wakikubali kupanga foleni ili wapewe...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.
Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema jumla ya wanachama 4,109 wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao kupitia chama hicho.
Akizungumza leo akiwa Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Makala amesema:
"Kwa takwimu...
Amos Makala katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema kwa waliochukua fomu za kugombea Ubunge na Udiwani kuchujwa kuanzia tarehe 4 Julai,2025
Amos Makalla katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) anazungumza na waandishi wa habari.
https://www.youtube.com/live/HklC_qQvjgU?si=qzSVQt19PHc5ohRC
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema jumla ya wanachama 4,109...
Mfanyabiashara, mdau wa maendeleo Kigamboni na Kada wa Chama Cha Mapinduzi - CCM, William Nyakua, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni
Jimbo hilo linawaniwa pia na Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ambaye naye alichukua...
Wakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa...
Mwenyekiti wa UVCCM Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam tawi maalum la DUCE, Verynice Lema amechukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Udiwani kata ya Miburani Temeke Dar es Salaam.
Aidha, amesema kuwa amejitafakari na kuona ni wakati sahihi kuomba kuteuliwa kugombea katika kata hiyo...
Mfanyabiashara maarufu wa madini na mafuta Fidel Ntanyinya, Julai 2, amerejesha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hafla ya urejeshaji wa fomu hiyo imefanyika katika ofisi za CCM Wilaya, kata ya Mkwajuni.
Fidel Ntanyinya, anayefahamika kwa mchango wake...
Mfanyabiashara maarufu wa mazao anayefahamika kwa jina Johnson Exaud Sarakikya, amerejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Julai 02, 2025.
Wakuu,
Asha Mohamed mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kinondoni arejesha fomu kugombea Udiwani Viti Maalum Jimbo la Kawe wilaya ya Kinondoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.