kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Shinyanga Mjini, Abdulaziz Sakala, arejesha Fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Mjini

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini, Abdulaziz Said Sakala, leo Julai 3, 2025, amerejesha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mjini kupitia CCM, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
  2. PAYE

    GE2025 John Mapima 'Katemi' ajitosa rasmi Kugombea Udiwani Kata ya Maweni kupitia CCM

    Mfanyabiashara maarufu jijini Tanga, John Mapima, maarufu kama Katemi, ameonesha nia ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea nafasi ya Udiwani wa Kata ya Maweni, Mkoani Tanga.
  3. PAYE

    GE2025 Mchumi, Enock Koola amejaza na kurudisha fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Vunjo

    Mtaalamu wa mambo ya Uchumi, Enock Koola amejaza na kurudisha fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Vunjo linalopatikana katika Wilaya ya Moshi Vijijini. Zoezi la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu limesitishwa rasmi siku ya Jana Julai 2.
  4. Mindyou

    GE2025 Kilimanjaro: Mickdad Abdul Msigati achukua fomu kugombea jimbo la Rombo

    Wakuu, Mtiania wa kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro Mickdad Abdul Msigati leo Jumatano Julai 2,2025 amerudisha fomu yakuomba ridhaa yakuwania nafasi hiyo kupitia CCM. Fomu hiyo ameirudisha Kwenye ofisi za CCM Wilaya ya Rombo ikiwa pia leo ni siku ya Mwisho ya...
  5. W

    GE2025 Jesca Msambatavangu aweka nia tena Iringa Mjini

    MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake, Jesca Msambatavangu, leo amechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo inaonesha dhamira yake ya kuendeleza kazi ya kulitumikia jimbo hilo kwa kipindi kingine. Akizungumza mara...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mark Mabula achukua na kurudisha ya kugombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini

    Mark Mabula amechukua na kurudisha fomu leo 02 July,2025 ya kugombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini kupitia chama cha mapinduzi Ccm Wilaya ya Nzega. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mbunge Kasalali Mageni atangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa

    Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Kasalali Mageni anayemaliza muda wake ametangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa huku akibanisha kuwa hatagombea tena na ubunge wa jimbo hilo. Kasalali ametangaza leo Julai 2 mwaka huu na kueleza kuwa kwa sasa anataka kupumzika kuwatumikia...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mbaraza UWT Taifa Reginah Samwel ajitosa Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini

    Mbaraza UWT Taifa Na Mjumbe Wa Kamati Ya Uchumi, Mipango Na Fedha Na Kamati Ya Mawasiliano Kwa Umma UWT Taifa, Mkurugenzi Mtendaji wa Kasibante Fm Radio na Zachwa Investment LTD Bi. Reginah Samwel Zachwa ametia nia kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Halima White: Kwa vyovyote vile Rais Samia atashinda uchaguzi mkuu 2025

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na pia Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dodoma, Ndugu Halima White Zuberi, amesema kuwa kwa mshikamano wa wakazi wa Dodoma na wanachama wa CCM, watahakikisha chama hicho kinapata ushindi mkubwa katika Uchaguzi...
  10. H

    CHADEMA Wasiposhiriki Uchaguzi; Wale wa Kuua, Kuwapa Ulemavu na kuwabambikia kesi wagombea na Wapenzi wa CHADEMA, watawafanyia nani?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa ukizoea kula nyama ya mwanadamu mwenzako huwezi kuacha. Tumeshuhudia wakati wa uchaguzi, hata huu wa juzi uliosimamiwa na Mchengerwa, ushetani wa hali ya juu ukifanyika dhidi ya wagombea na wanaoiunga mkono CHADEMA. Zaidi ya ile ya kuenguliwa wagombea, kuna...
  11. Wakusoma 12

    GE2025 Rais Samia usikubali kufanya uchaguzi bila ushiriki wa CHADEMA

    Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big. Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri...
  12. Waufukweni

    GE2025 Maggid Mjengwa: CCM ya Rais Samia haina kashfa

    Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa akizunguza Clouds TV "CCM na Mwenyekiti wao chini ya uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan hatusikii sana masuala yenye kuhusiana na kashfa na hatusikii sana masuala ya ufisadi. Alisema hatakuwa na Mswalie Mtume na wale ambao wanachukua pesa za...
  13. PAYE

    GE2025 Rogatus Shotta Nkwera achukua na kurudisha Fomu ya kugombea Ubunge Ludewa kupitia CCM

    Mdau wa Maendeleo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rogatus Shotta Nkwera amechukua na kuerejesha Fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ludewa. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Leo Julai 2.2025 ni Siku ya Mwisho kwa watia nia kurudisha fomu...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Muigizaji wa filamu nchini, Batuli achukua fomu Kugombea Ubunge wa Viti Maalum Jumuiya ya Wazazi Bara

    Muigizaji nchini Yobnesh Yusuph Hassan maarufu kama Batuli leo amechukua fomu ya kugombea ubunge viti maalum jumuiya ya wazazi bara Alhamdulilah Leo Tarehe 2/7/2025 Nimechukua Fomu Na Kurudisha Ya Kuomba Kuteuliwa Na Chama Changu Cha Mapinduzi Kugombea Ubunge Wa Viti Maalum Jumuiya Ya Wazazi...
  15. DuaZaMama

    GE2025 ChiefGodlove Mwakibete amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Kyela

    Mkurugenzi Mkuu wa ChiefGodlove Foundation Taasisi yenye malengo ya kusaidia Yatima, Wajane na Watu wasiojiweza Godlove Mwakibete, amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Kyela, Mbeya kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Stephano Joseph ajitosa ubunge jimbo la Nyamagana

    Mwanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), Stephano Joseph (24) maarufu kama 'Steve Magufuli' amejitosa kuchukua fomu kuomba nia ya kugombea ubunge jimbo la Nyamagana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
  17. Tlaatlaah

    GE2025 Ni muhimu sana watia nia wote wa ubunge na udiwani CCM kujiandaa kisaikolojia kwa hotuba, kuteuliwa na kuenguliwa

    Nawatakia utulivu wa moyo na kifikra watia nia wote wa nafasi za ubunge na udiiwani kupitia CCM katika kipindi hiki cha joto la mjujo mchujo wa uteuzi kuelekea uchaguzi mkuu. Binafsi nimechukua na kurejesha fomu za uteuzi nafasi ya ubunge nikiwa na matumaini makubwa mno, kwa haki kutendeka kwa...
  18. The Zanzibar Echo

    GE2025 Ni Makonda vs Mrisho Gambo Arusha Mjini patachimbika bila jembe

    Mimi kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya Makonda anaenda kupita mwisho pale bungeni atapewa uwazir wa aina yoyote kama sio uwaziri mkuu mana Majaaliwa kwa za ndani ameshatolewa kwenye mfumo msisahau MAKONDA ndio mtu aliepndeekeza Samia we mgombea mweza wa Magufuli 2015 kwaio mama anahisi bado...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dorothy Semu: Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi

    Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto Kabwe: Ukifanyia utani bunge, utakuwa umefanyi utani uhai wa taifa

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Ukifanyia utani bunge, utakuwa umefanyi utani uhai wa taifa na ili kuhakikisha bunge alifanyiwi utani watu wa Tabora pigine moyo konde tukapambane na kurejesha thamani bunge na kuibana serikali na kuzia wizi. Kupata matukio na...
Back
Top Bottom