kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto Kabwe: Tusiwaache CCM peke yao kwenye uchaguzi. Twende tukapambane nao, twende tukalinde kura

    Tusiwaache CCM peke yao, twende tukapambana nao, twende tukalinde kura ndio maana tukasema oktoba linda kura inawezekana katika majimbo 222 tusipate zote lakini hatutakosa majimbo 40 au 50 na kuondoa bunge butu Alisema Zitto Kabwe katika Operesheni Ya Majimaji mkoani Tabora Kupata matukio na...
  2. Roving Journalist

    GE2025 Zitto Kabwe: Tusiruhusu Miaka mitano mingine ya Bunge kibogoyo

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu. Ameyasema hayo katika Uwanja...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Simba Jike Rithe: ACT tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii, na si kwa kubembeleza. Na vita hii hatuikimbii

    Act Wazalendo tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii na mabadiliko ya nchi hii atuwezi kuyafanya kwa kuyabembeleza, wameshanogewa wameshakolea na wanaona wanaweza kufanya chochote, natunasema hatuikimbii hii vita na muhuni hasusiwi Simba Jike Rithe ameyasema hayo Tabora
  4. Mtoa Taarifa

    GE2025 Prof. Norman Sigalla King amechukua na kurejesha Fomu ya Kugombea Ubunge jimbo la Makete

    Profesa Norman Sigalla King amerejesha Fomu za kugombea nafasi ya Ubunge jimbo la Makete kupitia CCM leo Julai 2, 2025. Prof. Norman ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo anakumbukwa na Wananchi wa Makete kutokana na kufanikisha ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Njombe - Makete. Pia, miradi...
  5. R

    GE2025 Ridhiwani Kikwete achukua na kurejesha fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Chalinze

    Ridhiwan Kikwete amechukua na kurudisha fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Chalinze kwenye ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bagamoyo Ridhiwani ambaye ni Mbunge wa Jimbo hilo anataka kuendelea kuitetea nafasi yake hiyo na yupo tayari kwa ajili ya kinyang’anyiro hicho kitakacho tamatika...
  6. B

    Kung'atuka siasani kwa Dr. Philip Mpango na Kassim Majaliwa Majaliwa wasaidizi wakuu wa Rais Samia, nini nyuma ya pazia ?

    Inaitwa 'purge' mkakati wa dola kulazimisha viongozi waachie ngazi. Purge : Usafishaji wa safu za juu kisiasa unarejelea kuondolewa kwa lazima au kuondolewa kwa watu wanaochukuliwa kuwa wasiohitajika kutoka kwa taasisi ya kisiasa, kama vile serikali au shirika, na wale walio mamlakani. Hii...
  7. Erythrocyte

    GE2025 Luhaga Mpina agoma kutishiwa nyau. Achukua fomu kugombea Jimbo la Kisesa

    Aliyekuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea ubunge Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, leo Jumatano Julai 2, 2025. Mpina amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Nabothi Manyonyi. ========================= Mbunge ambaye Jimbo...
  8. Lord Denning

    Huyu kwangu ndiye Mwanasiasa Bora Mwanamke nchini Tanzania kwa sasa

    Wengine wanamtaja Samia. Wengine wanamtaja Tulia Kwangu mimi huyu ndo Mwanasiasa Bora zaidi Mwanamke nchini Tanzania tangu 2020 hadi sasa. Si mwingine ni Aida Kenan, mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mwaka 2020-2030 na Mbunge pekee wa Chadema katika Bunge linamohitimishwa rasmi mwezi Agosti...
  9. R

    GE2025 Wakili Rosemary Mzee ajitosa kugombea Ubunge Mbagala

    Wakili na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Women and Youth Foundation, Rosemary John Mzee, ameandika historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kujitokeza kuwania Ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Rosemary ambaye ni mhitimu wa Shahada ya...
  10. R

    GE2025 Mwalimu Deogratius Kimario ajitosa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo

    Mwl Deogratius William Kimario nae ajitosa kutia nia kupambana na Prof Mkenda Jimbo la Rombo Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Chanzo: bananafm
  11. PAYE

    GE2025 Asha Baraka arejesha Fomu Makao Makuu ya CCM kwa nafasi ya UWT kupitia Makundi Maalum ya NGO’s

    Asha Baraka leo Jumatano amerejesha fomu ofisi za CCM Makao Makuu Dodoma ya kugombea katika makundi maalum kitaifa kupitia taasisi zisizo za kiserikali (NGO’s) kwa nafasi za UWT Tanzania Bara. Asha Baraka alichukua fomu hiyo jana Jumanne Julai Mosi, 2025 ambayo alikabidhiwa na Katibu wa Umoja...
  12. R

    GE2025 James Lembeli kwa awamu nyingine ajitosa kugombea Ubunge Kahama Mjini

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kahama Mjini 2005 - 2015 James Daud Lembeli amejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kuomba ridhaa ya kuipeperusha bendera ya chama cha mapinduzi (CCM) ngazi ya ubunge kahama mjini Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  13. mdukuzi

    Kasim Majaliwa kutangaza kutogombea siku ya mwisho ya uchukuaji fomu ni dalili ya roho mbaya

    Lengo lake ilikuwa nini hasa? Tulishajipanga juchukua jimbo Siku chache kabla ya kipyenga akasema anagombea nasi tukaghairi Siku ya mwisho ya kurudisha fomu anasema hagombei tena Hii kitaalam inaitwaje? Pia soma Pre GE2025 - Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa...
  14. Now and then

    kuna wabunge wanaogombea wameamua kutoa laki tano ili kuwapa vijana wagombee katika majimbo yao ili kuondoa ushindani!

    Mh Rais na Mwenyekiti wa Ccm. Naomba umulike haya majimbo kwa ukaribu zaidi. Jimbo la Buchosa Jimbo la Bukoba Mjini Jimbo la Temeke. Katika haya majimbo wagombea ambao wanatetea nafasi zao wameamua kuua ushindani kwa style kuchukua Vijana ambao wanajua hawana ushawishi hawana nia ya kugombea...
  15. DuaZaMama

    GE2025 Alex Duma ajitosha Udiwani kata ya Kihesa

    Mwenyekiti wa umoja wa maafisa usafirishaji (BodaBoda)kanda ya kihesa Ndugu ALEX ELIAS DUMA amejitosa kusaka udiwani kata ya Kihesa manispaa ya Iringa Alex Duma anakoleza joto la uchaguzi katika kata hiyo ambayo diwani anaye maliza muda wake na aliyekuwa naibu meya July Sawani nae anatetea...
  16. DuaZaMama

    GE2025 Atranus Method amechukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Buchosa

    Atranus Method (kulia) amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Buchosa, leo Julai 2, 2025 na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu.
  17. E

    GE2025 Aida Kenani aaga wapiga kura Nkasi Kaskazini akisema, "sitasaliti mapambano"

    Aliyekuwa Mbunge pekee wa Chadema kutoka Nkasi Kaskazini, Aida Kenani amewaaga wapiga kura wake akisema kama atagombea hakuna wa kumshinda. Hata hivyo, amesema hawezi kusaliti mapambano. Chadema imeweka msimamo wa kuzuia uchaguzi hadi mabadiliko yatakapopatikana, maarufu "No Reforms No Election."
  18. DuaZaMama

    GE2025 Hamad Komboza amejitosa kuomba ridhaa CCM kuwania ubunge Jimbo la Kinondoni

    Hamad Komboza Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania Jumatano hii amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania ubunge wa Jimbo la Kinondoni.
  19. R

    GE2025 Mhadhiri wa UDSM, Mary Jimmy Malle ajitosa kuchukua fomu ubunge wa Viti Maalum Elimu ya Juu kupitia CCM Arusha

    Msomi na Mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM)Mary Jimmy Malle (28),amejitosa rasmi kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum Elimu ya Juu kupitia chama cha Mapinduzi akitokea mkoa wa Arusha Malle amechukua fomu mapema leo na kukabidhiwa na katibu wa Umoja wanawake wa chama cha...
  20. DuaZaMama

    GE2025 Kulwa Issa amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini

    Mfanyabiashara na Mkuregenzi wa TWINTECH GROUP Kulwa Issa amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kupitia taarifa rasmi aliyoitoa, nia yake ya kuwania nafasi hiyo imetokana na hamasa kubwa kutoka...
Back
Top Bottom