Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa...
Aliyekuwa Katibu wa NCCR Wilaya Rungwe, Benard Mwamenywa amejiunga na ACT Wazalendo leo Julai 05, 2025.
Mwemenywa amesajiliwa kidigitali katika chama hicho na Zitto Kabwe; ambaye ni Kiongozi wa Zamani wa ACT Wazalendo.
Tukio hilo limefanyika mara baada ya kumalizika kwa kikao cha ndani cha...
Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Fedha katika chama hicho, Kiza Mayeye, amesema licha ya rutuba ya ardhi ya Tukuyu na mvua nyingi zinazonyesha kila mwaka, wananchi wa eneo hilo bado wanaishi katika umasikini mkubwa.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
Samia Suluhu ni Mgombea wa CCM ambaye atakutana na upinzani mkali kuwai kushudiwa katika Historia ya vyama vingi.
Samia atachuana na majabali ya siasa hapa Tanzania kina, Chief Ryemba, na Dovutwa.
CCM wamejipanga kutumia mabilioni ya shilingi Ili kuandaa Kampeini kabambe ya kuwakabili majabali...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama chake kimeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ili kutetea na kulinda demokrasia nchini, akisisitiza kuwa ni haki ya kila mwananchi kuchagua viongozi wanaoweza kuleta maendeleo.
Amebainisha haya Busega, mkoani Simiyu, Semu na kwamba haki...
Nabii Mkuu wa Makanisa ya Ngurumo ya Upako (N.Y.U), Dkt. Moses Kasambale Geordavie, ametoa wito kwa Watanzania kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa kuwachagua viongozi wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais.
Dkt. Geordavie...
Wakuu
Nimekutana na clip hii ya Baba Levo akiwa ameulizwa maswali mepesi kabisa na huyu comedian anaitwa Kipotoshi. Hii interview ina miaka takribani minne lakini it is very relevant hata sasa
Yaani anaulizwa muswada ni nini hajui, muswada ni topic ipo form 1 sijui form 2
Soma pia: Baba Levo...
Rais wa Umoja wa Mitume na Manabii Tanzania, Nabii Dkt. Joshua Aram Mwantyala, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya ajabu, kiasi cha kumfananisha na mtu aliyepewa msaada wa Malaika na Mungu katika kutekeleza majukumu yake. Amesema Rais amewekeza fedha nyingi za kutisha kwenye...
"Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Matendo ya utekaji wa watu kama vile kina Mdude, Kina Soka, Kina Sativa na watu wengine inawafanya watu kama watendaji wa Vijiji kuona kwamba wanaweza nao pia kukamata, kutesa mpaka kuua." Amesema Zitto.
Zitto amebainisha kuwa Ibara ya 14 ya Katiba ya...
Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/live/NZ57idJKHwQ?si=S2Y-6Mx9OoOrpMT6
Uzinduzi wa kanisa hili umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kanisa, misikiti na serikali walihudhuria, watu...
Ukipitia Takwimu za Tume ya uchaguzi mwaka 2015.
Utaona vijana waliojiandikisha mwaka 2015 walikuwa wengi Sana ni wakiozaliwa 1995.
Mwaka 2015 , ukifatilia Sana utagundua kizazi cha 1995 kilikuwa kipo shaped kuleta changes .
Ila kizazi hiki kinaenda kupotea vibaya Sana .
Ndo amabcho...
Nawashauri wale ambao wanapata shida kusoma zaidi ya paragraph moja waishie hapa. Nilichoandika ni kijigazeti hivyo yatawatia hasira bure.
Hivi karibuni kumetokea vijimaneno vikiashiria kuwa wameishiwa pumzi na kuwa wafadhili wao wamewatema.
Kwa mtazamo wangu ni mapema mno kutangaza kifo cha...
Mpaka sasa wale wenye uraia wa kubumba, kuokoteza, na kupewa ndio wapo mstari wa mbele kabisa kutaka nchi iendelee na chaguzi za dhuluma zisizozingatia haki wakihofia uwepo wa uchaguzi wa haki unaweza kuwatoa nje, na hivyo wao kushindwa kuwasaidia watu wa mataifs yao asilia.
Hawa wasio...
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), Bw. Nyanda Shuli, amesisitiza umuhimu wa wananchi wa Tanzania kupewa elimu kuhusu rushwa na madhara yake, ili kuwawezesha kutumia haki yao ya kuchagua viongozi bora katika Uchaguzi Mkuu.
“Tupo hapa leo kujadili jinsi ya kutumia...
Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amewakosoa vikali watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani kwa kutoa kauli za kejeli dhidi ya baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Hawa jamaa (CCM) rushwa iko kwenye damu zao. Hii rushwa ya ndani ya chama chao ni tone kwenye ziwa Victoria....
Kwenye ushindani na vyama vingine, huko wanapora na kuiba kila kitu, wanateka, kupoteza na kuua kabisa wapinzani wao...
Tunaposema, hawajawahi kushinda uchaguzi wowote kihalali muwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.