kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ofisa

    GE2025 CCM Morogoro kama mnamuogopa Abood mpeni ubunge wa kuteuliwa (viti maalum)

    Wananchi wamemchoka Mh Abood na misaada yake ya kuzika watu.kuna watu hutafuta clip ya Mbunge wao anachochangia bungeni hawakioni. Tunajua wajumbe wakipitisha jina ameshinda kwa vile ni CCM,Sasa kwa mimi nashauri wamlete mtu mwengine atupambanie kwenye barabara za lami mjini, mjini lami...
  2. Mganguzi

    Kama CHADEMA wataingia ulingoni haraka sana naenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo langu pendwa la Momba ,bila CHADEMA hakuna momba mpya !

    Nina mahaba mazito ya kulirudisha Jimbo la momba ikiwa chadema wataingia ulingoni nitasimama na kuomba kugombea ubunge na kuishika halmashauri nzima , bila CHADEMA hakuna momba mpya, halmashauri ya Tunduma ndio Jimbo lenye watu wanaojielewa na walinyonya maziwa kwa zaidi ya miaka miwili...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Stendi ya Tegeta Nyuki inafanyiwa ukarabati. Imenishitua sana nani anafanya hivyo au ndio wakati wa kutafuta kura 2025?

    Katika harakati zangu leo nilifika hadi stendi ya Tegeta Nyuki ni moja ya stendi kubwa sana lakini ni stendi ambayo imetelekezwa kwa muda sana bila kufanyiwa ujenzi hata kidogo. Lakini leo nimekutana na ukarabati unaendelea pale. Sasa nikajiuliza mbona sasa hivi siku zote walikuwa wapi? au hizo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Kigoma: Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM

    Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM. Leo akina mama wakienda kujifungua wanaambiwa lete beseni, lete wembe, lete mpira, lete sindano. Walitakiwa wakivikute hospitali.” Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  5. M

    GE2025 Teuzi CCM Simiyu Zisiwe Biashara" – Wanachama Waonya Kamati ya Siasa

    Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Shemsa Mohamed, wametakiwa kutumia busara, uadilifu na uzalendo katika kufanya teuzi za awali kwa watia nia ya ubunge na udiwani, huku wakionya dhidi ya vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kushamiri...
  6. Erythrocyte

    GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

    Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM! Mengi...
  7. Just Pray

    GE2025 Askofu Msonganzila: Kwanini uhonge na kwanini uhongwe, sikiliza sera zao, chagua anaestahili

    "Kwanini uhonge na kwanini uhongwe, chagua anaestahili, sikiliza sera zao. Na sasa dakikia za mwishomwisho watu wameanza kujipendekezapendekeza hapana. Mauaji ambayo yameendelea kusikika mpaka sasa, haijawa haki watu wanyamaze kama mauaji yanatendeka, si yanatendeka, hatusemi wewe unayatenda, si...
  8. Waufukweni

    GE2025 RC Chalamila: 'No Reforms No Election' ni Lugha ya Kitaa, sio ya Kitaalamu

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi. Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu...
  9. Yoda

    GE2025 Kwanini CCM iliwapunguziamamlaka ya kuchagua wagombea wanachama wake walio wengi?

    Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea, Sasa mwaka 2025 nasikia wagombea wanachaguliwa kwanza kwenye ngazi ya mkoa ndipo wajumbe wanapewa kuchagua...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCM kuanza kurudisha majina matatu ya wagombea kwa wajumbe

    Mchujo wa majina ya wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unaendelea kote nchini. Taarifa zinaeleza kuwa huenda majina matatu ya wagombea yakaanza kurejeshwa kuanzia kesho, kufuatia kukamilika kwa kazi ya kuyapitia na kujadili sifa za kila...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jessica Mshama: Tunawashawishi kwa hoja vijana washiriki uchaguzi

    Neno la Jessica Mshama kutoka Idara ya hamasa na Chipukizi UVCCM,Taifa kuhusu vijana kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
  12. Mikopo Consultant

    GE2025 Uchafuzi wa Ubunge Kigoma Mjini: Kijicho Upembe vs Chawa Pro Max; Chawa anashambulia kama Netanyahu, anaongoza kura za maoni

    Tukielekea kwenye uchafuzi, hapa mji wa mawese huwa hatupoi, waha ndo mambo yetu haya. Mchuano unaosubiriwa ni wa wakuitwa, Kijicho Upembe (Zitto Kabwe) vs Chawa Pro Max (Baba Levo). Hilo jina kijicho upembe ni jina la ubatizo kutoka kwa Baba Levo kwenda kwa Zitto baada ya kushutumiwa na kambi...
  13. Mindyou

    GE2025 Ukibadilisha jina baada ya kujiandikisha, bado una haki ya kupiga kura, vijana mshiriki kwa wingi kwenye uchaguzi

    Wakuu, Kama swali linavyojieleza hapo juu Yaani kwa mfano mimi naitwa XYZ muda wa kujiandikisha alafu miezi michache baadae nikabadilisha jina langu kuwa XYS je ina maana nimepoteza haki yangu ya kupiga kura kwa kuwa jina langu limebadilika? Sasa ukweli ulivyo ni kwamba sheria ya Uchaguzi wa...
  14. E

    GE2025 Zitto: Mkisusia uchaguzi CCM hawajali, wanachukua

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali. Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
  15. Waufukweni

    GE2025 Padri Kitima: Muda bado upo, wakae Mezani kujadili dosari za Uchaguzi – Kwanini waenguliwe wale wale tu?

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Muda hajapita wa kukaa mezani sasa hivi kuna Miezi Mitatu [Julai kuna Agosti na Septemba], Watu hawawezi kushindwa kukaa Mezani, wakae Mezani wajadiliane hizi dosari ambazo watu zimewakera wengi, tuziondoe...
  16. Waufukweni

    GE2025 Padri Kitima: Uchaguzi usio na ushindani wa Vyama ambavyo vinashindana kwa Haki hauna maana, lazima Vyama vishindane

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Hali ya Nchi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu [Oktoba 2025] ni wazi Maaskofu wanataka Uchaguzi unaozingatia Haki za Wananchi kadri ya Katiba yetu. Tumesema Nchi hii ya Vyama vingi, Uchaguzi usio na ushindani wa...
  17. E

    GE2025 Padri Kitima: Uadilifu wa uchaguzi umeshuka kwa kiwango kikubwa

    Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima amesema uadilifu wa uchaguzi umeshuka nchini, jambo linalotishia kuwepo kwa uchaguzi ulio huru na wa haki. Ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswa katika mahojiano na Jambo TV Online. Fuatilia: Father Kitima
  18. Waufukweni

    GE2025 RC Chalamila: Kubadili Katiba Miezi mitatu kabla ya Uchaguzi Mkuu, Haiwezekani

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu. "Si jambo jepesi Asubuhi ukaamka Katiba ikawa imebadilika" "Miezi mitatu hii ambayo tumeibakisha mkakaa na majopo...
  19. DuaZaMama

    GE2025 Heche: Wasanii hawatuungi mkono CHADEMA sababu ya hofu

    Sio kwamba hakuna wasanii wanaoipenda CHADEMA au watu maarufu wanaoipenda CHADEMA ila wametawaliwa na hofu" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA.
  20. DuaZaMama

    GE2025 Heche: Kuna watu walikuwa CHADEMA malengo yao yalikuwa ubunge

    "Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Back
Top Bottom