kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    GE2025 Heche: CHADEMA tuko tayari kwa uchaguzi kama mabadiliko yatapatikana

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kipo tayari kushiriki uchaguzi kama kutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi wanayoyadai kupitia kauli ya 'No reforms No Election.' Ameyasema hayo leo Julai 7, na chaneli ya ST Bongo TV jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto Kabwe: Wanaotaka tusishiriki Uchaguzi wamechanganyikiwa

    Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa...
  3. mkalamo

    GE2025 Malima: Watu wa Mkuranga msifache makosa ya kumchagua kiongozi,asiyejihusisha na shida za wananchimli

    Ni kwenye dua aliyowaalika Dk watia Nia ya Ubunge DK Chakou Tindwa na Abdalla Ulega. Hata hivyo Ulega alichimba hakuhudhuria Asema jimbo linataka mtu muungwana kwa wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni mkazi wa Mkuranga,Adam Kigoma Malima,amewataka wakazi wa jimbo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Baada ya kushinda kesi viongozi wa NCCR Mageuzi warejea kazi kuendelea na majukumu yao

    Viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi wametangaza rasmi kurejea katika ofisi za chama hicho baada ya miaka miwili, kutokana na mgogoro uliokuwa unaendelea ndani ya chama hicho uliosababisha kuenguliwa kwa uongozi uliokuwepo. Akizungumza na waandishi wa habari Julai 07, 2025 Makamu Mwenyekiti wa...
  5. Waufukweni

    GE2025 Rungwe aongoza kikao cha viongozi wakuu wa CHAUMMA

    Wakuu! Mzee Rungwe anaendelea kukisuka Chama huko! == Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa ameongoza kikao cha viongozi wakuu wa chama hicho, kilichofanyika ofisi za makao makuu ya chama hicho Kinondoni, Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 7...
  6. MSAGA SUMU

    CCM wameamua kutafuta kura kwa nguvu, yaani nchi nzima imepata zero 68 pekee?

    Sio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha...
  7. N

    PreGE2025 Abdul Nondo: Kwanini tusidhani 'waliosusa' Uchaguzi wanatumika na CCM

    Andiko hili limechapishwa Abdul Nondo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii na kuambatanishwa na video ------------------------------ 👇 "Sisi ACT Wazalendo tunajua kwamba chaguzi zetu ni za hovyo ,Sheria ni za hovyo ,Polisi wanalazimiahwa kuwa upande wa CCM ,wasimamizi wa uchaguzi...
  8. Waufukweni

    GE2025 Shangwe Ayo: Tunajua mmejazwa uoga! Na huu ndio mtaji wa CCM na Serikali

    Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Shangwe Ayo amesema "Tunajua mmejazwa woga! Na huu woga ndio mtaji wa CCM na Serikali. Sasa niwaambie Wanashinyanga, woga haujawahi kuleta matunda kwa yeyote."
  9. DuaZaMama

    GE2025 Arusha Mjini wapo tayari kumrudisha Gambo

    Baadhi ya wananchi katika Jimbo la Arusha Mjini wameeeleza nia yao ya kumuona Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Mrisho Gambo akirejea tena katika jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2025- 2030 ili aendelee kuwasemea wananchi wakimtaja kuwa mfanyakazi hodari na mwenye kuijua vyema Arusha...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Notisi ya uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi Wa uchaguzi ya mwaka 2025

    NOTISI YA UTEUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI YA MWAKA 2025 Jina 1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Uteuzi wa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ya Mwaka 2025. Uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi...
  11. O

    GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

    Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli. Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na...
  12. 2070

    GE2025 Wakili Fatma Karume asema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI

    Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI. Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X
  13. Waufukweni

    GE2025 Rais wa TAHLISO: Hakuna wa kuturudisha nyuma mwaka huu, tutafanya vile Katiba inatutaka tufanye

    Rais wa jumuiya ya wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania Bwana Geofrey Kiliba asema kwamba Mwaka 2025 ni mwaka wa Uchaguzi na hakuna anayeweza kurudisha nyuma Watanzania katika kushiriki mchakato huo muhimu ndani ya Taifa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  14. W

    GE2025 Wazee wa Jimbo la Hai wasema hawaoni sababu ya kuwa na mbunge mwingine kwani anayemaliza muda wake amefanya makubwa na bado wanamuhitaji

    Kufuatia idadi kubwa ya watiania katika nafasi ya Ubunge Mkoa wa Kilimanjaro ikiwemo Wilaya ya Hai kupitia vyama mbalimbali vya siasa, Viongozi wa chama cha wazee Wilaya ya Hai wameonesha kutofurahishwa na baadhi ya watiania ambao wamechukua fomu kwa mara ya pili mfululizo licha ya kuwa ahadi...
  15. Waufukweni

    GE2025 Wananchi Terati Arusha wafunga barabara wakimkataa Mgombea Udiwani aliyeteuliwa na kamati ya Kata CCM

    Wananchi wa kata ya Terati Arusha wamefunga barabara kwa ajili ya kumkataa Mgombea Udiwani ambaye ameteuliwa na kamati ya Kata CCM.
  16. Waufukweni

    GE2025 Dorothy Semu: Tusikubali CCM ipite bila kupingwa, tukalinde kura

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amesema kuwa chama chake kinaingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo kuu la kulinda thamani ya kura ya Mtanzania, kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakipitwi bila kupingwa na kutumia uchaguzi kama jukwaa la kusikiliza na...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Dorothy Semu: Vyombo vya Usalama visitumike tena kutumbukiza kura 'fake' kwenye masanduku kama Chaguzi zilizopita

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, ametoa kauli kali akilaani kile alichokiita matumizi mabaya ya vyombo vya usalama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika chaguzi zilizopita. Akihutubia mkutano wa hadhara Julai 5, 2025 katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, Semu alisema...
  18. Waufukweni

    GE2025 Zitto Kabwe: Kususia Uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe katika andiko lake katika mtandao wa X siku ya Jumapili, Julai 6, 2025. "Watanzania wameichoka CCM. Watanzania wanataka mabadiliko. Kususia uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini. Kuiacha CCM peke yake kulidhibiti Bunge ni kulikosea...
  19. W

    PreGE2025 Wananchi wa Tungi, Mororgoro waeleza kuwa hawana shida ya maji baada ya kujengewa kisima na mbunge wao Abdulaziz Abood

    BAADHI ya wakazi wa Kata ya Tungi katika Manispaa ya Morogoro wameeleza namna kisima cha maji kilichojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Abdulaziz Abood, kilivyokuwa mkombozi wa huduma ya maji katika eneo hilo. Wameyasema hayo leo Julai 5, 2025 kwa nyakati tofauti kufuatia...
  20. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa: Watia nia wameanza kuchafuana, wanatuchafua mpaka viongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Maganya, amesema baadhi ya watia nia wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho, hasa ubunge, wamekuwa wakieneza tuhuma za uongo dhidi yake ili kujipatia nafasi hizo. Akizungumza katika mazishi ya Jackson Yuma, aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya...
Back
Top Bottom