kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Tuchambue nani mtetezi wetu uchaguzi ukifika. Serikali iliyopo madarakani haitakubali kukosolewa!

    Ndugu wanajamiiforum, mambo ni moto kwelikweli. Huku No reform no election. Upande mwingine Askofu Gwajima kujipatia Jina jipya akihusishwa na wasaliti upande ule baada ya kusema ukweli kuhusu utekaji na walio wengi tunampa maua yake. Sasa srikali kupitia bunge limemjadili Askofu Gwajima Kwa...
  2. McLaren

    PreGE2025 Katibu CHADEMA kanda ya Victoria Zakaria Obad: Tumemaliza kutoa elimu sasa tufikirie tunasitishaje Uchaguzi

    Wakuu, Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria Zakaria Obad akizungumza katika mkutano wa chama hicho jijini Mwanza ambao umewakutanisha viongozi na wanachama wa wilaya za Ilemela na Nyamagana "Tumemaliza hatua ya kwanza ya kutoa elimu, kufanya mikutano ya hadhara... maneno yamesha zungumzwa...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum kutoka kwa bunge, Dodoma Mei 31, 2025

    Rais Samia akipokea Tuzo Maalum kutoka Bungeni Dodoma Mei 31, 2025 https://www.youtube.com/live/dtSWOacZX3s?si=52R5DMNF-khUWAEl ============================================================= Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa...
  4. Erythrocyte

    PreGE2025 Hivi ndivyo Tone Tone inavyotikisa Mikutano ya CHADEMA

    Kitendo cha chama hiki kushirikisha Watu wote kwenye jambo lake ni silaha halisivya mapambano. Angalia hii Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Godbless Lema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Boniyai. Tunaendelea kutunza kumbukumbu. Mpaka sasa Mkoa wa Arusha ndiyo wanashikilia rekodi ya...
  5. A

    PreGE2025 Hawa ACT-Wazalendo wanapigania nini?, CHAUMMA geuka haraka, siasa za usaliti hazidumu

    Tazama picha hawa ACT wazalendo wanachokutana nacho kutoka kwa wananchi ni aibu tupu. ACT wazalendo mnatakiwa kuchora ramani zenu za siasa upya watanzania hawaelewi mnapigania nini. Chauma wao watapoteana vibaya munoo. Ccm hizo pesa mnazotaka kutupa bure Chauma naombeni mzitumie kujenga...
  6. M

    PreGE2025 Nyongo,Dkt Lugomela kuchimbika ubunge jimbo la Maswa Mashariki

    Kwa sasa, hakuna taarifa rasmi kuhusu Dkt. George Lugomela ambaye ni Mkurugenzi wa Raslimali za Maji,Wizara ya Maji kutangaza nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao. Lakini ni mtu ambaye amekuwa midomoni mwa wananchi wa wikaya ya Maswa hasa wanachama wa CCM na wananchi wa jimbo la Maswa...
  7. K

    PreGE2025 CCM inajidanganya na inatudanganya na sisi

    Tar. 15/7/2024 chama Cha kikomonisti Cha China kilifanya mkutano wake mkuu pale Bejing Agenda kubwa ilikuwa kujadiliana kupungua Kasi ya kupanda kwa uchumi na kuzorota kwa sekta ya ujenzi kutokana na madeni Hali iliyofifisha ujenzi haswa wa MAJENGO makubwa China hawakutani kuzindua...
  8. The Palm Beach

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Kwa sasa wanakushangalia kwa sababu upo madarakani, lakini inakuja siku utakuwa wa kawaida kama sisi

    Haya ndiyo majibu ya Askofu Josephat Gwajima kwa Mwenyekiti wake CCM na Rais Bi Samia Suluhu Hassan baada ya kumtangazia vita.. Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu Msikilize tu kwa dakika 3 tu na kumaliza kila...
  9. M

    PreGE2025 G55: Kundi lote wameonekana ni matapeli na wamenyimwa Ufadhili

    Kundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM. Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa brain ya kuiongoza Chadema na wakiondoka Chama hicho kitayumba. Wakapewa pesa ya awali ili waweze...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lema: Rais Samia kwa kauli ya gwajimanize utajutia wewe na watoto wako na maisha yako yote

    Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
  11. K

    PreGE2025 Kwa ilani ya CCM ya 2025-2030 naiona kampeni ya Nitashiriki uchaguzi kuleta mabadiliko na no reforms no election itakufa kifo cha ajabu

    Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana. Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho. Ni suala la...
  12. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Bishop Gwajima , Usisubiri wakate Jina lako, kuanzia leo anza kushusha nondo, Njoo CHADEMA tupambanie No Reforms,No Election

    Mh Gwajima, kwako wee Ubunge sio kitu, Maisha ulikua nayo makubwa hata kabla ya kua Mbunge. Tofauti na Matajiri wanaingia CCM kua Wabunge ili wakwepe Kodi , Sikuoni wewe ni wa aina hiyo!!. Mungu ana Mpango mkubwa Nawewe , Nikuombe na kukusihi sana katika wakati huu ambao Mh LISSU amekamatwa...
  13. The Burning Spear

    Kiburi na Jeuri ya CCM ni Tume ya Uchaguzi Kuwa Upande wao la sivyo wangekuwa na Adabu kwa watanzania

    GT Ukifuatilia kwa ukaribu utaona CCM kwa sasa wana lugha kandamizi na za kibabe sana ambazo ndani yake zimejaa jeuri na fitina. Pamoja na.mambo ya hovyo ya CCM kama ubadhilifu, bado kinaona kina uhalali wakufanya yote hayo mambo ya hovyo. Amini nawaambia kama tungekuwa na tume huru ya...
  14. Erythrocyte

    PreGE2025 Moshi: Hili ndio Tetemeko la No Reforms No Election, Wananchi wote waunga mkono Chadema

    Huwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona. Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia zao. Angalia mwenyewe Hapa ni Moshi Mjini
  15. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Toufiq Turky: Ukiwa yatima au mjane Jimbo la Mpendae unalipwa posho

    MBUNGE TOUFIQ TURKY: UKIWA YATIMA AU MJANE JIMBO LA MPENDAE UNALIPWA POSHO Mbunge wa Jimbo la Mpendae Toufiq Turky amesema bado ana nia ya kuendelea kuwa mbunge wa Jimbo hilo kutokana na utekelezaji mkubwa wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi Jimboni kwake. Turky amesema hayo leo Jijini Dodoma...
  16. McLaren

    GE2025 Chama cha Kim Jong Un chashiriki mkutano wa CCM wa kuzindua ilani ya chama

    Wakuu, Yaani imefikia point where CCM inachukua mafunzo ya uongozi kutoka North Korea Kwanini CCM isingekaribisha vyama vyenye demokrasia kama Republicans na Democrats kutoka au Labor Party kutoka Uingereza? Ni hatari sana kwa chama tawala kujihusianisha na MADIKTETA. Nimesikitika na kuogopa...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia: CCM tayari imeshinda, tuingie kwenye Uchaguzi bila makundi

    Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Mkutano Mkuu wa chama hicho kwa kutoa wito wa mshikamano na umoja miongoni mwa wanachama kuelekea kipindi cha uchaguzi. Akizungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu, Rais Samia amesema kuwa tayari hali inaonyesha...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Prof. Kitila: Ilani ya CCM ya 2025/30 ni Ilani ya Wananchi

    "Hii ni Ilani ya CCM ya saba ya uchaguzi mkuu tangu nchi yetu iliporejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Katika Ilani zote hizi, CCM imeongozwa na Dira ya kuiona Tanzania yenye ustawi kwa wote, nchi inayozingatia na kuheshimu...
  19. M

    Prof. Kitilla Mkumbo, Mungu akuweke duniani milele

    Nimefurahishwa sana na Prof Kitlla Mkumbo wakati akisoma ilani ya CCM leo pale Dodoma Yeye na Wasira ni hazina kubwa sana.
  20. Waufukweni

    PreGE2025 CCM yaitaka Serikali kuzalisha ajira 350,000 kwa vijana nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa katika kulinda mafanikio makubwa yaliopatikana wakati wa utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25,katika kukuza uchumi jumuishi na kuimarisha ustawi wa wananchi wote, serikali imetakiwa...
Back
Top Bottom