kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    PreGE2025 Mnaoandaa Ilani za Uchaguzi za Vyama Vyenu Zingatieni Malengo ya Dira ya Taifa ya 2026-2050

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuzindua Ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025-2030 baada ya inayotekelezwa kwa sasa kuelekea ukingoni. Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia wajumbe wa mkutano mkuu wa chama...
  2. Erythrocyte

    PreGE2025 Karatu: Dkt Slaa afunga kazi na No Reforms No Election, Umati wa waliohudhuria wakosa Idadi

    Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 CHAUMMA wakosa kibali cha helikopta kutua Mwanza, Mikutano yakwama

    Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo. Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Wana CCM walivyoomba kupiga picha na Luhaga Mpina kwenye Mkutano wao Mkuu Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akiwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 29, 2025
  5. chiembe

    PreGE2025 Mimi CHADEMA, lakini Injinia Hersi akigombea ubunge naachana na itikadi yangu ya No reforms No Election naenda kumpigia kampeni na kura

    Kwenye hili tusameheaneni tu makada wenzangu wa chadema. Kama mshabiki wa Yanga nitashiriki uchaguzi kama injinia atatangaza nia ya ubunge, na kura ntampa pamoja na Samia. Hayo ma no reform yenu mtajijua nayo Siwezi kumuacha mwananchi m wenzangu, tena aliyetuheshimisha. Dar is yellow.... Huku...
  6. MwajabuOmary

    Nguvu iliyotumika kupambana na Wakenya ingetumika pia kwa watekaji, Gwajima asingekuwa na hoja

    Maeneo matatu hapa nchini yameonyeshwa kukerwa na wanaharakati kutoka Kenya. Makundi hayo ni kama wafuatao: Serikali Kuu, Bunge, na kundi la machawa. Vyama vya siasa, na hasa chama chao cha mageuzi. Natamani nguvu hiyo pia ingetumika kupambana na kundi hili la wasiojulikana. Kwa Tanzania sasa...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said: Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza

    Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza," amesema Eng. Hersi, huku akijibu maswali na Kituo cha Redio EFM kuhusu hatma...
  8. Mindyou

    Video: CZA wa Clouds FM hongera kwako. Mrema ndani ya dakika 3 kapata kigugumizi, kashindwa kuelezea "No Reforms No Election"

    Wakuu, Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana. Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu. Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Naibu Spika Zungu apendekeza NHC kuanzisha mpango wa Nyumba za bei nafuu na kuziita 'Samia Affordable Houses'

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu amemshauri Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Hamad Abdallah kuanzisha 'Nyumba za bei nafuu' na kuziita 'Samia affordable houses' wakati akimtambulisha Bungeni leo Mei 29.
  10. Just Pray

    PreGE2025 Injinia Hersi atinga mkutano mkuu wa CCM, asema ameenda kama mwanachama aliyealikwa na katibu mkuu

    "Ni mwanachama wa CCM, lakini nimepata mualiko wa katibu mkuu. Wote ni mashuhuda wa kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi katika kusimamia ilani ya michezo na mafanikio yote tunayoyapata yanaanzia hapa na tumpongeze mwenyekiti wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri na...
  11. Fbn

    PreGE2025 John Mrema: No Reforms No Election ukisema kwa Kiswahili unaharibu, sisi hatukutaka kuzuia Uchaguzi

    Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili. Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege. === "Tunaamini kwamba lazima...
  12. B

    PreGE2025 CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye Katiba ya chama chao ikiwemo vikao vya chama kufanyika kwa njia ya mtandao

    https://www.youtube.com/live/1ItuJDYxY40?si=N0pVPil_hULmcM37 Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo. Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri...
  13. Tlaatlaah

    Kwanini viongozi wapya wa CHADEMA wamechagua mtindo wa kufoka, wanapohutubia kwenye mikutano yao?

    Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho? Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 TAKUKURU yataka uchaguzi ndani ya vyama uwe uhuru

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Njombe imetoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuhakikisha michakato ya uchaguzi wa ndani inafanyika kwa uhuru na haki, ili kupata viongozi waadilifu na walioko tayari kujitolea kuleta maendeleo bila kushawishiwa na vitendo vya rushwa...
  15. Benson Mramba

    PreGE2025 CCM nawakumbusha tu kuwa Heche nae ana umri wa kugombea Urais

    Hadi kufikia mwishoni mwa June kuna uwezekano Heche akawa Equivalent au Equal na Lissu. Mbaya zaidi atakuwa ameshazunguka nchi nzima kuhutubia wananchi. CCM wakajifunze Senegal kwa Sonko na Faye. Utawapa kesi wote au utateka wote? Wakati ukuta.
  16. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Viongozi wangu CHADEMA, awepo MTU wa kuyasemea Yale yote alokua anayasema LISSU kwenye Mikutano !( Yalotokea chaguzi za 2019-2024)

    Lema aendelee kutoa Elimu ya Tume . Heche aendelee kusema Ufisadi, Ujinga wa Viongozi wetu kukosa maono , Madini, Maziwa , Mali Asili zote ,Ufujaji wa PESA za Wananchi ,Utekaji ,Uuaji n.k ( Heche ana Karama katika eneo hili). Sasa awepo MTU wa kuzungumzia ,kwanini tunataka Mabadiliko kwanza...
  17. Carlos The Jackal

    Hawa wanaojiita 'Jumuiya ya Maridhiano' kwanini kwenye hotuba yao yote,haijagusia matendo ya utekaji

    Hawa ndio wanafanya Hasira ya Wananchi juu ya Serikali, CCM na Rais iwe juu Kila siku. Kila siku Mungu anazidi kuwachanganya ili Watanzania wajue Watekaji na Wauaji wao ni watu gani Et Jumuiya Hotuba nzima inajadili Vijana wa Kenya ! Hii ni Aibu.
  18. USSR

    PreGE2025 Mbunge wa Biharamulo afanikisha malipo wa waliopisha mradi wa umeme jimboni

    FIDIA KWA WALIOPISHA MRADI WA UMEME WA KUTOKA GEITA KWENDA NYAKANAZI. Kulikuwa na mgogoro mkubwa wa wananchi wa kudai fidia kwa wananchi waliopisha mradi mkubwa wa umeme kutoka gaita hadi kituo kikubwa cha kupozea umeme cha nyakanazi na hasira ya wanachi ilikuwa juu ya serkali yao hasa taasisi...
  19. figganigga

    PreGE2025 Matukio katika picha za Uzinduzi wa Kampeni ya No reforms no Election kanda ya Kaskazini

    Matukio katika picha, uzinduzi wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kaskazini leo tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha. Comment ziwe fupi fupi. CCM nawapa Ruhusa kuonesha hasira zenu. Temeni nyongo tuone kiwango cha upumbavu wenu
  20. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025

    Kamati Kuu ya CHADEMA imepanga kukutana tena June 03, 2025 kujadili barua ya Msajili wa Vyama vya siasa kisha itatoa mwelekeo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiongea Jijini Arusha leo July 28,2025 amesema "Mmemsikia Msajili wa Vyama ameifutia CHADEMA ruzuku, ametishia kukifuta...
Back
Top Bottom