Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda.
Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji...
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ...
"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." — Alloyce, P.R.
Leo Chadema Zanzibar imefanya press nzuri sana na unaonyesha matimaini makubwa sana. Wameongea issue za msingi sana na huu ni mwanzo mzuri.
Miaka yote tumekuwa tunashangaa kwanini CHADEMA Zanzibar kama haipo vile, kumbe Mwalimu na yule jamaa makamu aliye fungua kesi dhidi ya chadema walikuwa...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama.
Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
UJENZI WA MADARASA 9 YA KISASA SHULE YA SEKONDARI BIZIMYA.
Ni kazi ya usimamizi wa kiwango cha juu kutoka kwa mbunge wa kudumu wa biharamulo Mh Eng Ezra Chilewesa ,serkali ngazi ya wilaya ya biharamulo, Halmashauri ya wilaya chini ya chama dume chama cha mapinduzi ndio unaona madarasa haya ya...
ccm, Samia na machawa wenu iwafikie taarifa kuwa barabara nyingi za lami kuunganisha mikoa na wilaya zimechakaa!
Mifano michache ni barabara za Arusha mjini! Ongezea barabara kuu inayounganisha mikoa ya Manyara, Singida na Ngeza!
Kutoka Utegi kwenda Shirati kule Rorya ukirejea salama hujaumwaa...
Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa.
Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga pasi wewe unaenda kulaumu wanaume wenzako asubuhi mpaka jioni.”
Kama muonavyo wajumbe wanavyotetemekewa nyakati hizi na ma kada mbalimbali ambao wanahitaji kuja kugombea katika nafasi mbali mbali katika uchaguzi Mkuu unapokuja japo kuna swala la no reforms no election. Hivyo ndivyo itakavokuwa kwa mpiga kura endapo kura yake itarejeshewa heshima yake.
Kwa...
Sasa ninawaonya CCM na Machawa wenu , Njia mnayoelekea mbeleni ni Giza kubwa.
Warusi na Wachina na Wakorea wasiwadanganye !!.
UKWELI NI KUA, UCHAGUZI 2025 BILA CHADEMA, HAUTATAMBULIWA NA BARA LA ULAYA, WALA MAREKANI !!.
Nadhani Athari ya Jambo Hilo juuu mnaijua vizuri kabisa !!.
Tunaenda na...
Hii Ngoma enzi hizo ilijaa vituko kama watanzania fulani wa Leo.
Ilikuwa inatokea wapiga Ngoma wanapopita mtaani, watu wanawafuata kwa mapigo ya Ngoma, mwishowe wanajikuta wamefika mtaa mwingine kama sio mji mwingine. Hatimaye walikuwa wanapotezwa kwa kutojua walikotoka.
Project ya kuchafua...
Ushahidi Mwanana huu hapa
Wadau wakifuatilia Nondo na Spana zinazopigwa bila kujali mvua
Pichani ni Pedeshee Maranja Masese akiambiwa Waja leo waondoka mwakani
Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo...
Askofu Gwajima amesema "Mimi nimetumwa na Mungu kwenye hii Nchi na safari hii ndio mtajua kwamba Mungu amenituma, Mungu huwa anatuama watu kwa kusudi maalumu, na Mungu akiwatumwa watu huwa anawalinda, anawatunza mpaka watimize kusudi. Yule anayenivamia hovyo hovyo hautaweza yeye anilindaye...
Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.
Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini.
Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu.
Gwajima anasema wiki iliyopita alitoa mfano wa mtoto wa Samia kutolewa macho leo kaongeza wengine kwenye mfano huo.
Kasema vipi kama akichukuliwa mtoto wa Jakaya Kikwete, Mwinyi, Majaliwa au Magufuli wakaokotwa keaho yake wakiwa hawana macho au amekufa watajiskiaje?
Sasa kwanini yasithamiwe...
Askofu Mwanamapinduzi ametoa tahadhari kali kwa wale wanaojaribu kumjibu au kumshambulia Askofu Josephat Gwajima kufuatia kauli na hoja alizozitoa hivi karibuni, akisema si mtu wa kubezwa wala wa kuchukuliwa kawaida.
Katika kauli yake, Askofu Mwanamapinduzi amesema hoja alizotoa Gwajima ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.