1. Sina shida na namna unavyoanza kujenga hoja yako kwa kuwaeleza wananchi kwamba wao ndiyo msingi wa mamlaka ya serikali na utawala wa nchi kupitia chaguzi za kidemokrasia ukitumia Ibara ya 8 ya Katiba ya JMT ya 1977..
2. Sina tatizo na namna unavyoendelea mbele kwa kuwaambia wananchi kuwa...
Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa...
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
🇹🇿 MHE EZRA CHIWELESA AKABIDHI AMBULANCE KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA KATIKA KATA YA NYAKAHURA, AKEMEA MATUMIZI YA LUGHA ZENYE UKALI KWA WANANCHI KUTOKA KWA WAHUDUMU WA AFYA - BIHARAMULO.
📸 Updates za Matukio 16/04/2025
BACK TO BACK NON STOP
📍 Ziara ya Kichama Oparesheni Ushindi Wa Kimbunga Wa...
Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??.
Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku wakitoka Kwa Dola ,watawajibishwa !!.
Hivi Mafwele atakua wapi kuacha CHADEMA ICHUKUE Nchi?.
Akina...
John Mrema aliyetimukia CHAUMMA akitikoea CHADEMA na kufanywa Mkurugenzi wa habari wa chama hicho alivyokuwa katika mahojiano hivi karibuni na Cza wa Clouds alisema mkakati mmojawapo wa CHAUMMA kushinda uchaguzi ni kumuweka mgombea urais mwenye ushawashi anayekubalika.
Ni nani huyo mwenye...
Hii ndio Taarifa ya Sasa
AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya maelezo aliyoyatoa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima kuhusu matukio ya utekaji Nchini...
Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kwenye medani ya siasa.
Unadhani hali hiyo imechochewa na nini?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wakili wa Kujitegemea na kada wa Chama cha ACT Wazalendo Peter Madeleka leo, Jumamosi Mei 31.2025 amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Ubunge wa jimbo la Kivule, Dar es Salaam
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono 😁
Hiki ni kituko cha mwaka aiseee😆😆 Hivi we ulisikia wapi (kwa sauti ya Bwege)?
Spika Tulia amesema yeye na wabunge wamefikiria kitu cha kumpa Rais kwa niamba ya 'wananchi wanaowawakilisha' wakaona wampe tuzo kutokana na kazi yake iliyotukuka.
Mimi mwananchi nauliza ni kenge gani walitoa ruhusa...
Kwakuwa ushauri huu umekulenga wewe Baba Askofu, nitazingatia maandiko matakatifu kukushauri. Ukisoma Mithali 22:3 imeandikwa "Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele, naye hupata madhara."
Desemba 27, 2021, Job Ndugai alitoa hutuba yake kuhusu Deni la Taifa...
Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla.
Lakini shuhuda ametoa maelezo tofauti, anasema kuna watu walifika nyumbani, wakajitambulisha kama polisi, wakamfunga pingu na...
Karibu utie nguvu hapa na Ile kweli yako ya moyoni mwako uje uiweke wazi hapa!
MaCCM wametukatili sana walitunyima vibali vya kurusha chopper letu, lakini tunasema inshaallah, watatubana sana, watatufanyia roho mbaya sana, Hawa CCM ndiyo wanaoteka watu wasio na hatia, Hawa ndiyo wamemuweka...
Sasa yamewadia majira na nyakati za watu kupata majibu ni kwanini Mch Josephat Gwajima aliiamua kuingia kwenye siasa za tawala za nchi hii kwa 100% tena kupitia Chama Cha Mapinduzi - CCM uamuzi ambao kila mtu alishangaa na kusema lake...
Sasa umefika wakati wa kupata majibu yake...
Kutoka...
Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :
1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika.
2. Mabadiliko ya kiuchumi ni nyenzo ya ukombozi kuliko mageuzi ya kisiasa katika Karne hii na CCM...
Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa...
MASHIRIKA mawili makubwa yanayojihusisha na haki za kidijitali ya Paradigm Initiative (PIN) na Tech & Media Convergency (TMC) yametoa mapendekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kurejesha kikamilifu upatikanaji wa Mtandao wa X (zamani Twitter) na kujitolea kwa intaneti iliyo wazi na...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema wao kama asasi za kiraia kila uchaguzi wamekuwa wakiandaa ajenda za wananchi kupitia ilani ya asasi za kiraia na kukabidhi kwa vyama vya siasa kabla hawajaandaa ilani zao.
Ngurumwa amesema kuwa Ilani ya...
Wakuu,
Wataalamu wa mambo huyu jamaa hapa atakuwa ameokota kama kiasi gani hivi?
Naombeni pia kueleweshwa, hii TAKUKURU hawaweizi kuiona kama rushwa? Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.