Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara...
Wanachopambania CHADEMA ya Lissu ni maslahi ya taifa letu.
Kwamba kuwe na katiba ambayo itatoa haki kwa Watanzania kuwa na viongozi ambao wao wanaona wanafaa kuwawakilisha.
Maana yake ni kutokuwa na Bunge amabalo litakuwa kama wakala serikali ambayo haina tija kwa wananchi.
Wao, wanaCCM...
MRADI WA KUSAMBAZA MBEGU ZA KISASA ZA MIKAHAWA JIMBONI BIHARAMULO NDIO MWAROBAINI WA UCHUMI WA KIJANI .
Kahawa inakamilisha dhahabu ya kijani kwa wanabiharamulo kujikwamua baada ya zao la ndizi na kuinua uchumi wa kijani
Kama unafukiri umepitwa na mradi huu usiogope miche ipo ya kutosha na...
Leo katika posti yake katika mtandao wa Instagram Salim Kikeke amesema akitoka kwenye majukumu yake nje ya nchi atakuja kugombea moja ya jimbo, licha ajaweka ni jimbo gani
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Kuelekea uchaguzi, kila chama kimetengeneza kauli mbiu yake. CHADEMA wanatembea na NO REFORMS, NO ELECTION. Hawajabadili kauli mbiu yao tangu waitangaze kwa Umma.
Kwa upande mwingine, chama tawala -CCM, timu ya uenezi na itikadi mpaka sasa imebuni kauli mbiu zaidi ya kumi na bado zimekosa...
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaendelea kukumbwa na changamoto za ndani baada ya Mahakama Kuu kutangaza kusitisha shughuli zake za kisiasa kwa kipindi cha siku 14.
Kesi hiyo yenye namba 8323 ya mwaka 2025, imefunguliwa na mwanachama wa chama hicho, Said Issa Mohamedi pamoja na...
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai...
Wakuu
Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025
====
Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili Msomi Hashim Rungwe kwenye eneo la Sunuka, Jimbo la Kigoma Kusini ambapo ameambatana na Makamu Bara...
My Take
Nyundo ya Mahakama Je inaweza kuwa ndio mwisho wa huo ujanja ujanja wa kutembeza bakuli la tonetone? 🤣🤣
Pia soma Breaking News: - Pre GE2025 - Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Ni Kutiki tuu hiyo Oktoba
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen...
Wakuu
Naona Serikali ni kama inatafuta kila njia ili wapate kuisimamisha CHADEMA katika harakati zake za kuzuia uchaguzi.
Tuliona asubuhi waraka wa msajili akivitaka vyama vya siasa kufuata na kuheshimu sheria katika mikutano ya hadhara na hapa kwa kiwango kikubwa tunajua kuwa lengo lilikuwa...
Ninaumia kuona vijana wangu wakitwangana makonde kisa siasa, nikifikiria kwa upana zaidi ninaona chanzo cha yote ni umaskini,
Hivi lengo la kwenda kwenye mkutano wa chama kingine na kuleta fujo, na kushikiana mapanga wanabenefit nini?, sawa umaskini ndio umewafanya wawe hapo, sasa uyo jamaa...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa...
Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo.
Mimi siyo mtabiri.
Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao.
Kikubwa wanasiasa hawana dini na hawaamini kama kuna Mungu, wewe angalia matendo yao.
Njoo kwenye mada sasa...
Habari za jumapili;
Kuna mgongano wa makundi mawili;
Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?
Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa...
Yesu alipokuwa duniani, nchi aliyokuwa akiishi ilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Kirumi. Wakati Yesu anazaliwa, Herod the Great, ndiye aliyekuwa Mtawala. Huyo ndiye aliyeamuru watoto wa Bethlehemu wauawe ili Yesu aangamie. Baadaye alitawala Herod Antipas, Mwana wa Herod the Great. Huyu...
Mahakama imetoa agizo kwa Jeshi la Polisi Nchini kuhakikisha linachunguza na kumfungulia kesi ya jinai Wakili Edson Kilatu, anayedaiwa kughushi nyaraka na kuingilia mfumo wa Mahakama kwa kuziwasilisha nyaraka hizo kwa njia ya mtandao kwa lengo la kuidanganya Mahakama
Hayo yamejitokeza leo...
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti...
Na Mwandishi wa Habari Hub
Zanzibar
Kampeni za chuki, suala linalorudisha nyuma nguvu za wanawake wanasiasa.
Na Mwandishi wetu - Zanzibar.
KATIKA siasa za Zanzibar, kampeni zimekuwa uwanja wenye changamoto kubwa kwa wanawake wanaotafuta nafasi za uongozi. Mbali na changamoto za kawaida za...
Na Mwandishi wa Habari Hub
Zanzibar.
Hadi sasa ni nchi 22 tu duniani kote ndio zina mwanamke kama mkuu wan chi kati ya nchi 119, hii inasababishwa na hali ya kijamii kwenye suala la kuchagua na kuwapata nafasi wanawake kuwa viongozi.
Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo 22 ambazo zina viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.