kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    PreGE2025 Viti Maalum nafasi zinazowalea wanawake kushindwa kwenda majimboni

    Na Mwandihi wa Habari Hub Katika Kikao cha 76 cha UNGA, Baraza Kuu kwa makubaliano liliitangaza tarehe 24 Juni kila mwaka kuwa siku ya kimataifa ya wanawake katika diplomasia. Kwa azimio hilo (A/RES/76/269) Baraza kuu lilizialika nchi zote wanachama, mashirika ya Umoja wa Mataifa, mashirika...
  2. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Toufiq Turky Agawa Misaada ya Sikukuu kwa Wananchi wa Makundi Maalum

    MBUNGE TOUFIQ TURKY AGAWA MISAADA YA SIKUKUU KWA WANANCHI WA MAKUNDI MAALUM Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Toufiq Salim Turky tarehe 06 Juni, 2025 ametembelea Shule ya Sekondari ya Mpendae na kukabidhi Misaada ya Sikukuu kwa makundi mbalimbali ya watu wenye mahitaji Maalum wakiwemo Mayatima...
  3. W

    PreGE2025 Msajili avitaka Vyama vya siasa kuheshimu sheria wawapo katika mikutano yao ya hadhara

    Wakuu Huenda hizi amsha amsha za CHADEMA huko mikoani ndizo zilizomtoa Msajili wa vyama vya siasa kuja kusema chochote kitu? Au kuna kaupenyo kanatafutwa hapa. ==== Yah: MWITO KWA VYAMA VYA SIASA KUHESHIMU SHERIA YA VYAMA VYA SIASA SURA YA 258 Naomba mrejee suala tajwa hapo juu. 2. Katika...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 RC Mbeya, Homera: Wataumiza vidole kwa kuandika 'No Reforms No Election' sisi tunagonga uchaguzi wetu

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale. "No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu mitandaoni, wataendelea kuandia wataumiza mikono yao bure, sisi tunagonga Uchaguzi mwezi Oktoba...
  5. Farolito

    PreGE2025 Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki

    Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio...
  6. W

    SI KWELI PreGE2025 Heche amesema wao Oktoba wanatiki

    Wakuu Je, ni kweli Heche amesema wao Oktoba wwanatiki?
  7. DuaZaMama

    PreGE2025 Chama Cha mapinduzi CCM kitashinda Uchaguzi Mkuu 2025 Kwa kishindo

    Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi. CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu...
  8. Nyani Ngabu

    PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

    If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA. Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation. Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA. Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh...
  9. Dr Akili

    PreGE2025 Hivi ni kweli CHADEMA wameiomba INEC iwaruhusu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu 2025 la sivyo wataiburuza INEC mahakamani?

    Takribani mwezi mmoja uliopita chadema waligoma kusaini fomu ya maadili yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kitendo hiki kilipelekea Tume huru ya uchaguzi (INEC) kwa mjibu wa sheria kuifuta chadema kwenye kushiriki kwelnye chaguzi zo zote zitakazofanyika hadi mwaka 2030. Hii ina...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lushona Mathia achukua fomu ya ubunge ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini

    Uongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini umemkabidhi Fomu ya Ubunge Lushona Mathias mkazi na Mzaliwa wa wilaya ya Chato ili kwenda kupeperusha Bendera ya chama hicho huku akiahidi kwenda kutatua changamoto za wakulima , wafugaji pamoja wafanyabiashara wa Jimbo la hilo. Kupata...
  11. Tlaatlaah

    Mayowe ya kisiasa, kelele na uropokaji wa CHADEMA mwisho wake ni october mwaka huu 2025 baada ya uchaguzi mkuu

    Hapatakua na nyodo wala kuropoka ropoka tena, midomo mirefu na kisirani ya viongozi wa chadema itakua imekwesha kabisa. kama tujuavyo, bila ruzuku hakuna chadema. Na ndio maana mnaona mikutano yao inadorora kadiri michango ya kwenye kibakuli inavyopungua huku ruzuku kidunchu wanayopata ikiwa...
  12. USSR

    PreGE2025 Eng Chiwelesa afanikisha kufungwa kwa kituo cha kupozea umeme Nyakanazi cha KV220

    MIRADI WA KUPOZA UMEME NYAKANAZI KILOVOLT 220 HADI 440 Usione miradi mikubwa inafanyika ukadhania hata wewe ungekuwa mbunge ingekuwa tu ni mpambano haswaa, ni kuzunguka kona za wizara na maswali ya hapa na pole kwa mawaziri kama sio mpambanaji watapewa wengine kwa kisingizio cha KASUNGURA...
  13. Erythrocyte

    PreGE2025 Singida: Wananchi Wakubaliana na hoja zote za Chadema, wasema Uchaguzi hautakuwepo

    Pichani ni Wananchi wa Singida Mjini wakishangilia Spana za Chadema zilizojaa Ushahidi kuhusu Wizi wa kura Hii ni baada ya Elimu kabambe kutoka kwa Baba Askofu Mwamakula Baadaye John Heche akaingia ulingoni Kama hali ni hii ni nani atashiriki uchaguzi?
  14. Kiranga

    PreGE2025 Sharti la ubunge la kujua kusoma na kuandika tujiongeze? Vipi demokrasia?

    Mwaka wa uchaguzi. Mada za kifalsafa za uchaguzi. Watanzania wengi wamekuwa wakilitaja suala la kigezo cha elimu cha kugombea ubunge kuwa kujua kusoma na kuandika kama tatizo. Mantiki yao ikiwa, wabunge wasio na elimu rasmi kubwa, mfano angalau degree moja, ni tatizo bungeni, kwa sababu...
  15. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Zainab Katimba: Serikali ya Awamu ya Sita Imefanya Juhudi Kubwa Kuimarisha Michezo Shuleni

    Zaidi ya shilingi Bilioni 2.4 zimetengwa na serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa mwaka 2025 kwaajili ya Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi na Sekondari. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba wakati wa...
  16. Joshua Mbezi

    Je No reforms No election ni kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au ni kwa ajili ya Tanzania Bara?

    Sasa hivi kila Kona ya nchi wimbo ni No reforms No election nimekaa nikawaza yakatokea maswali haya hapa 1;Je No reforms No election ni kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au ni kwa ajili ya Tanzania Bara? 2; Kwa mujibu wa Tume huru ya Uchaguzi Chadema imekosa sifa ya kushiriki uchaguzi je...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwenezi wa NCCR Mageuzi, Elisante Ngoma ajiunga rasmi na ACT Wazalendo

    Katibu Mwenezi wa NCCR Mageuzi, Elisante Ngoma ametangaza kuhamia Chama cha ACT- Wazalendo huku akitaja sababu ni chama chake kupoteza dira katika kupambana na chama tawala, Chama cha Mapinduzi (CCM). Ngoma amekuwa miongoni mwa vigogo waliohamia kwenye chama hicho hivi karibuni, akitanguliwa na...
  18. DuaZaMama

    PreGE2025 Shekhe Abuu Jadawi: Achaneni na wapumbavu wanaosema No reforms No election

    Mwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu. Aidha...
  19. N

    PreGE2025 Rais Samia anaonekana kuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Je, ni pressure ya No reform No election?

    Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida? My take: Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
  20. Lady Whistledown

    Wabunge wanajua Wajibu wao Bungeni? Huyu kawaombea makoti askari wa Mbeya

    Wakuu! Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi ambavyo baadhi ya wabunge wetu bado hawajafahamu vizuri majukumu yao ya msingi kama wawakilishi wa wananchi. Katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia changamoto nyingi kama ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, ubovu wa miundombinu, huduma duni za afya...
Back
Top Bottom