kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla: Hata ungepost Mamilioni ya post 'No Reform, No Election' haisadii, Uchaguzi uko pale pale

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii. Makalla ameeleza...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea leo June 9 na kesho June 10 Mahakama ya Kinondoni

    Wakuu, Ile kesi ya watakaji waliofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza inaendelea leo na kesho yaani June 9 na 10, 2025 katika Mahakama ya Kinondoni. Ngoja tuone nini kitaendelea leo na kama waandishi wataruhusiwa kwenda kuripoti, maana ni kama kila anayejaribu kufuatilia anaambiwa atulize fuvu.
  3. Mindyou

    PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko: Asitokee mmoja miongoni mwenu wa kuwagawanya, msigawanyike shikamaneni

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka walimu nchini kushikamana na kutokukubali kugawanywa Dk Doto Biteko amesema hayo Jumapili Juni 8, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Saba wa Chama cha Walimu...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Devotha Minja wa CHAUMMA: John Heche atuambie amepewa kiasi gani kumpigia debe Mbunge wa CCM

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro. Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni...
  5. R

    Mtu yule ni Simba na jana kajitokeza kweupe. Ni kama Nabii Eliya yaani

    Salaam, Wakati mgambo wakikesha kumtafuta, Simba yule bila woga, Jana aneungana na waombaji na maombi yakaendelea kama kawaida mchana kweupee! Ni kama tu nabii Elia, aliweza kutokea bila woga mbele ya Mfalme Ahabu Kisha akapotea asionekane popote. NB: Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope...
  6. ChoiceVariable

    Tanzania itoe tamko kwa Marekani kuacha kukandamiza Haki za Waandamanaji huko California kwa kuwafyatulia risasi za mpira na kuwatandika virungu

    Natoa wito Kwa Serikali yetu itoe Tamko Zito kulaani matumizi ya Nguvu kupita kiasi Kwa Utawala wa Trump kulinda haki za Waandamanaji wanaopinga sera zake jimboni California badala ya kutuma qanajeshi kuwatandika Kwa risasi za mpira,virungu na gesi za kutoa machozi kwani ni Haki Yao kikatiba...
  7. Cannabis

    PreGE2025 Kibango cha "No reforms No election" chatua Club ya Small Planet, wamiliki wakikana

    Baada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na kilichotokea. --- Uongozi wa kampuni ya SMALL PLANET ENTERPRISES LIMITED ambayo ni miliki wa bar ya...
  8. Tlaatlaah

    Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

    Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku. Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema...
  9. SweetyCandy

    PreGE2025 Kumbukizi; Mbunge Anatropia: Shida iko wapi Referee akiwa neutral?

    “…sasa leo kinachotokea kwa watu wa chama changu Chadema wanasema no reform no election mnajua imetoka wapi kwenye ile 4R ya mheshimiwa Rais ya tatu…hivi kwa watu kusema wanataka reform ni kosa? Mheshimiwa rais yeye ameridhia kwamba hii nchi kama taifa tuje pamoja tujadili mustakabali wa...
  10. B

    PreGE2025 No Reforms, No Election inazidi kupaa, Gen Z wameamka na kuipokea vilivyo. What a time kushuhudia haya yakitokea

    Aiseeeee hadi raha kuona huko mtandaoni na mtaani hali inavyofurahisha. Kilichonifurahisha zaidi ni Gen Z kuamka, wameacha kupuuzia siasa, wameacha kupuuzia masuala ya utekaji na watu kupotea, wameacha kupuuzia huduma mbovu tunazopatiwa na serikali, wameacha kupuuzia machawa wanaochangia...
  11. Lord Denning

    PreGE2025 Mlio karibu na Mwigulu Nchemba mfikishieni ujumbe wake; Propaganda zake mfu aishie kuwalisha wasiojielewa huko UVCCM

    Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania. Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia...
  12. USSR

    PreGE2025 Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Comrade Samira Khalfan Amour awapa furaja watoto wenye mahitaji maalumu biharamulo

    CDE SAMIRA KHALFAN ASHEREHEKEA SIKU YA MAMA DUNIANI KWA KUTEMBELEA SHULE YENYE WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM ATOA RAI KWA JAMII KUWAJALI NA KUWATHAMINI, AKABIDHI MATENKI YA MAJI, MASHUKA NA KUTOA MOTISHA KWA WALIMU - BIHARAMULO.* Maadhimisho ya siku ya mama Duniani, Kata ya Kabindi Wilaya ya...
  13. Dr Adam Francis

    PreGE2025 CCM: No reform, No election, ni matokeo ya matendo yetu, Tujisahihishe!

    Mwaka 1962, Mwalimu Nyerere aliandika kitabu kidogo cha kurasa 20 kinaitwa TUJISAHIHISHE. Kwa maoni yangu wana CCM ni vema tukajikumbusha maudhui yake ili tulisaidie taifa. Katika kitabu hiki Mwalimu Nyerere anasema "Ukiondoa matatizo wayapatayo binadamu kwa sababu ya mambo kama mafuriko...
  14. Carlos The Jackal

    Kamanda Heche, Elimu yako inaeleweka vema, inawatia Hasira Wananchi Kwa kuonyesha jinsi gani Serikali imewatua umasikini!!

    Hiii inaitwa Emotional Enslavement !! Kuhakikisha Watu wanaifaham CCM kama Adui yao Mkuu, alowaita umasikin tangu Uhuru, Umasikin ambao kwao CCM wakijulinufaisha , Umasikini ambao ni matokeo ya Kua na viongozi WAJINGA !!. Elimu hii inaendelea kuwafanya Wananchi wakiamin Chama, na kukikumbatia...
  15. Carlos The Jackal

    Ni Vijana wasomi, waloumizwa na Serikali yao kwa kunyimwa Ajira huku Kauli yao "Tunamtaka Lissu "

    Siasa za Tanzania zinaingia kwenye Hatua nyingine kabisa ambayo haijawahi kutokea Mungu akiendelea kuwabadilisha Mioyo Vijana wa Kitanzania , Sasa wanazungumza Kauli Moja !!. Niliwahi wauliza Dola "Mnauhakika Mgombea wenu Samia, anauzika? Hatowaingiza kwenye MTEGO wa kutumia nguvu kupitiliza...
  16. ThisisDenis

    Huwezi kua baba wa familia halafu watoto na wake zako wanakupanda kichwani

    Iko hivi kila mzazi na mlezi hajawahi kuwaombea vibaya anao waleo. Ukiona imefika kipindi kila mmoja kwenye famila yako, ina maana wale wote unaowalisha wanakupanda kichwani jua kuna mtu nje ya nyumba yako anawapa jeuri. Siasa ya Tanzania sio ngeni machoni mwa watanzania wote walio barehe na...
  17. Erythrocyte

    Ombi: Uongazi wa Chadema uongeze Drone za kupigia picha Mikutano yao, hizi za sasa zimezidiwa, watu wanaohudhuria hawajulikani Idadi yao

    Tunatoa wito kwa Viongozi wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Chadema kuongeza Camera angalau 5 za Drone ili kuweza kurekodi Mchanga wa Watu wanaohudhuria Mikutano yao. Kwa Mfano, ni Vigumu kujua idadi kamili ya Watu waliohudhuria Mkutano wao wa leo Dodoma Mjini, Yaani haijulikani pia...
  18. Tlaatlaah

    Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

    Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections. Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo. Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri...
  19. N

    PreGE2025 CHADEMA yaiteka Dodoma. Heche na makamanda wengine ni kivutio kwa Mtanzania

    Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
  20. PureView zeiss

    PreGE2025 Kama wenyewe wanakiri kabisaa "Oktoba tuna-tik Tu", kuna haja gani ya uchaguzi?

    Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo? Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje? Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi...
Back
Top Bottom