Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo
Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha...
Wakuu,
Nimekutana na clip hii ya Wabunge kutoka Zanzibar wakiwa wanatoa inayoitwa "michango" yao bungeni.
Kodi za wananchi zinaenda bure kabisa katika nchi hii. Yaani inaonekana kama hawako serious kabisa
Alafu huyu si ndo aliita wananchi "kenge"? Au kuna mwingine?
Mwana Diplomasia wa Uchumi na Mbobezi wa Teknologia ya Habari na Mawasiliano ambaye pia ni Mtaalam wa Hali ya Hewa Ndugu Mussa Kidato anatajwa kutia Nia kuwania Ubunge jimbo la Handeni
KIDATO ni mwanasiasa ambaye anatajwa kukubalika zaidi na Jamii katika kipindi hiki ambapo watu wa rika zote...
ANITA BUNONO NI NANI,
Ni mjasiriamali mbobezi katika biashara ndogondogo kwa muda mrefu hapa mkoani Kagera, Msomi aliyebobea katika sekta ya ugavi na mnunuzi kutoka chuo cha CBE cha jiji Dar es Salaam akifanya biashara binafsi na uzoefu wa kutosha katika kuanzisha miradi kwenye mashirika kama...
Serukamba, Homera na Makonda kwa kujiamini kabisa wametema nafasi zao za hisani ya rais (uRC) na kuamua kwenda kuomba ridhaa kwa wananchi ili kuwawakilisha kwa nafasi ya ubunge.
MaRC wa kike mbona hatuoni wakionesha uthibutu huo? Huo usawa wa jinsia upo kwenye mirathi na ndoa tu? Fatuma Mwasa...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitakuwa na utaratibu wa kuwakata wagombea bali kitateua wale wanaofaa kwa mujibu wa vigezo na taratibu za chama.
Akizungumza Juni 24, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Stendi ya Zamani, Wasira...
Wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka katika vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamejitokeza na kubainisha mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi na kuwataka wananchi wote hususani vijana kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki...
Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea...
Mwandishi Wetu
Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo kwa Tanzania Zanzibar wametakiwa kuzingatia mafunzo waliyopatiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ili waweze kutekeleza zoezi hilo kwa ufanisi.
Wito huo...
Ikiwa ni dakika za lala salama kwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe amekutana na kufanya kikao na waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari Wilayani humo.
Lengo la Kikako hicho nikuwashukuru Waalimu hao kwa ushirikiano...
Anaitwa Daudi Masasi. Huyu ni mzaliwa wa Iringa pande za Nyanda za Juu Kusini.
Mbali na kuzaliwa na kukulia Iringa pia ni mfanyabiashara kwa muda mrefu akiwa pia mdau wa habari.
Alianza kuvuma mwaka 1996 alipoanza kutoa Jarida la Burudani lililojulikana kwa jina la Tabasamu.
Jarida la Tabasamu...
Wakuu,
Akiwa kwenye kile kipindi cha Cafe Talk, Silaa amesema kwamba kutokana na kufungiwa kwa X Tanzania, Serikali ime-discourage taasisi zake kutumia mtandao wa X ili kuendana na katazo hilo.
"Currently tume-suspend X kwenye anga la Tanzania lakini kuna kitu kinaitwa Virtual Private Network...
Baada ya Serikali kutangaza kuvunja mabaraza ya madiwani kote nchini huku Juni 27 mwaka huu Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kuvunja Bunge 12 ili kupisha mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba mwaka huu Kanisa la FPCT Tanzania limewataka viongozi...
Katika kusikiliza hotuba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ujumbe wake umebeba uzito mkubwa unaweza kugusa hali halisi ya sasa na maono ya nchi yetu kwa miaka ijayo. Kauli hiyo, yenye kina cha uongozi na uchambuzi wa mwenendo wa taifa, inapaswa kutazamwa kama mwanga...
Akizungumza Jumatatu, tarehe 23 Juni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, aliongoza mkutano wa uwajibikaji kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi Cha miaka mitano .
Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Issa javu, Katibu wa NEc Oganalzesneni wa CCM ambaye...
Kazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata Kukushukuru baadae.
Labda nikusaidie tu kukuambia Makonda kuwa Siku zote Umaarufu wako unatokana na...
Niwaombe Watanzania wote tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2025, mafanikio yote tuliyonayo kama haya atuwezi kujivunia kama tukishindwa kulinda amani ya nchi.
CCM Haina Tena Vijana wenye Akili , Haina kabisa !!
Ndio sababu utaona kuanzia CCM kwenyewe Hadi kwenye Dola, ni kama vile Hawa watu wote wamesoma Darasa Moja na Mwalimu wao ni Mmoja na Uwezo wao wa kiakili ni Mmoja.
Unaweza jiuliza, Hivi kwanini wanawaza Mambo makubwa makubwa na mazito...
Baada ya katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha kuulizwa kuhusiana na hela ambazo mke wa mbunge wa Arusha mjini mrisho Gambo alizigawa kwa wajumbe wa CCM akiwepo katibu mwenezi ndani ya kikao hicho Na mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo aligawa gesi na mke wake alitoa kama elfutano ya nauli ya...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amesema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.