Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, inatarajiwa kutoa uamuzi wake Alhamisi, Juni 26, kuhusu kesi mbili muhimu dhidi ya Serikali ya Tanzania zinazohusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Kesi hizo ni ya Ado Shaibu na wenzake na ya Abdul Nondo...
Ndugu zangu, nimekaa na kutafakari, nikaona hebu tujadili pamoja suala hili la uchaguzi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumbukumbu tulizonazo tangu tuanze mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, na uchaguzi wake wa kwanza mwaka 1995 pamoja na mapungufu yake makubwa.
Kuna kitu kinaitwa...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, pamoja na kupitisha ilani ya uchaguzi, utafanyika baada ya kukamilika kwa mikutano ya awamu ya pili ya Operesheni C4C.
Kalenda ya kumpata mgombea huyo, imesogezwa mbele...
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa, kimepiga marufuku wagombe wa ubunge na udiwani kuambatana na wapambe wakati wa uchukuaji fomu.
Aidha,kimesema uchukuaji fomu utaanza Jumamosi ya Juni 28, mwaka huu hadi Julai 2,mwaka huu.
"Wagombea wote hawatakiwi kuambatana na wapambe wowote, shamra...
Nikiwa nimebakiza siku moja kabla ya kukoma kuwa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini leo saa 2:30 asubuhi kwenye ukumbi wa Jiji la Dodoma, nitazindua rasmi mfumo wa kidigitali wa kusikiliza kero za wananchi kwa uharaka kwa kupitia serikali ya mtaa.
Hivyo nitauzindua huo mfumo rasmi na kukabidhi...
Mimi ninaamini kuwa sheria na kanuni za uchaguzi,na hata uchaguzi wetu huwa siyo wa haki na huru. sote tunaona yanayotokea kila uchaguzi.
Mwaka 2024 uchaguzi serikali za mitaa tulitegemea kuona mabadiliko lakini wapi hali ikawa ile ile. Busara ya kawaida inatuambia kuna tatizo mahala.
Kwa...
Wakuu hili nalo mkalitizame kwa jicho la kipembuzi ni hivi juzi mkeka wa Samia wa Ma Rc,Dc Das na Ras kutoka na jina la Makonda kukosekana ilimshangaza sana Mama Wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume.
Ni kama alikuwa anaamini katika utendaji wa URC zaidi nafasi aliyodumu ndani ya Daslam kipindi cha...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Ikenda Fyandomo amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano (2020-2025) katika kikao cha Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Mbeya
Suma Ikenda Fyandomo amesema kuwa katika kipindi cha miaka...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Ikenda Fyandomo tarehe 06 Juni, 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kyela ambapo amekabidhi na kupachika Madirisha ya Aluminium kwenye Nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kyela.
Kupata matukio na taarifa zote...
Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Iringa Ndugu Dr Daniel Mwangili ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga Mkoani Iringa, Mwangili ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Luhota Jimbo la Kalenga ameeleza nia hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Mwangili ameeleza kuwa anao...
Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana...
Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora kutoka kwa viongozi wake Mahiri Wenye Uwezo mkubwa kiutendaji ambao ni Dkt Samia Suluhu Hassan na...
KILIMANJARO: Wakati Joto la Siasa likiendelea kupanda kwakasi hapa nchini kuelekea uchaguzi mkuu Octobar 2025, Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro Chifu Yuvenal Ole Shirima ameeleza kuwa na yeye tayari ameshakiandikia chama chake barua yakuomba ridhaa yakutia nia ya kugombea...
Anayetaka kufanya uchaguzi bila maandalizi mazuri ya haki kwa wananchi kuchagua wamtakaye hana nia nzuri na taifa.
Uchaguzi kama ni haki ya kikatiba ya mwananchi tukafanye reforms baadhi ya mfumo, ili wananchi watimize wajibu wao kwa haki kikatiba.
MIRADI YA TACTIC IMELETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI MAJIMBONI KWETU- WABUNGE
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameeleza mageuzi makubwa ya kiuchumi na Kijamii yaliyojitokeza ikiwemo fursa za kiuchumi inayotokana na kuboreshwa kwa mazingira ya ufanyaji wa biashara katika Majimbo...
RAIS SAMIA AMEWEKA ALAMA KWA WATUMISHI WA MAGEREZA ARUSHA, AWAGAWIA MITUNGI 528
📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu
📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameacha alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza Eric Shigongo amefanikisha usimikaji wa taa za barabarani katika jimbo hilo jambo lililoweka historia mpya kwa jimbo hilo,
Wananchi wa Buchosa wamemshukuru Shigongo na kuahidi kushirikiana naye kwa miaka mingi ijayo
Mwenyekiti wa Mchengerwa Tumaini la Rufiji Movement - MTR - Juma Kiholobele amesema Wilaya ya Rufiji Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge wao ambaye ni Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwa waliyofanya katika kuwaletea maendeleo hakuna tunachowamdai
Amesema hayo akiwa huko Kata ya Mkongo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema wagombea wakiwamo wabunge wanaomaliza muda wao watakaochukua fomu Julai 2, 2025 na kuzirudisha, baada ya vikao vya chama hicho, watatazamwa na kupendekezwa wagombea wanaokubalika na wananchi
Amesema baada ya Rais Samia...
Katika barua rasmi aliyoiwasilisha kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Siha, tarehe 24 Juni 2025, Mrisho amesema amekuwa mtumishi mwaminifu wa chama tangu mwaka 1995, akihusika katika kampeni na kushika nyadhifa mbalimbali zikiwemo Diwani na mjumbe wa serikali kwa tiketi ya CHADEMA
“Nimejivunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.