kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    PreGE2025 Watanzania Tumlinde na Kumtetea Kwa Nguvu zetu zote Rais Samia Zidi ya Waroho Wa Madaraka

    Ndugu zangu Watanzania, Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero...
  2. GenuineMan

    Kwa mfano viongozi wa CHADEMA wakikamatwa maandamano yatakuepo?

    Salaam Wakuu Sote tunayo taarifa ya mipango ya kufanyika Maandamano. Yanayoandaliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Maandamano hayo yanakuja baada ya vitendo vya utekaji na mauaji ya baadhi ya viongozi wa Chama hicho. Tayari Jeshi la Polisi Nchini limeshapiga marufuku uwepo...
  3. Dr Matola PhD

    CHADEMA isitishe maandamano, isiingie kwenye mtego wa Polisi. Umma una maswali mengi kwa Polisi tunataka majibu

    Kwa watu wanaoujua mchezo wa chase huu mchezo uchezwa na watu wenye akili tu. CHADEMA isikubali kufungwa chase na watu wenye akili ndogo kama hawa, iko hivi; umma wa Tanzania tuna maswali lukuki kwa jeshi lililofeli la Polisi na tunataka majibu ya kueleweka akiwemo huyo muuaji wao killing...
  4. B

    PreGE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

    Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki. Kuna matukio mengi sana kwa sasa...
  5. Pfizer

    PreGE2025 Kassim Majaliwa: Rais Samia Mitano tena, na mimi bado nauhitaji Ubunge

    DKT SAMIA MITANO TENA NA MIMI BADO NAUHITAJI UBUNGE WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi kuendelea kuitaka nafasi ya Jimbo la Ruangwa, anakowakilisha hadi sasa aidha na kusema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupewa mitano tena mpaka 2030. Mhe. Majaliwa ametangaza azma hiyo leo katika...
  6. PendoLyimo

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Rais Samia yupo kwa mujibu wa katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa katiba

    “Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu" “Na...
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama...
  8. Roving Journalist

    PreGE2025 Kusini Pemba: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake. Mkoa una wilaya mbili tu, ambazo ni Mkoani na Chake Chake Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022 idadi...
  9. Roving Journalist

    PreGE2025 Kaskazini Pemba: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kaskazini Pemba ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania, unapatikana Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba, huko Zanzibar. Mkoa wa Kaskazini Pemba una Halmashauri mbili (2) na majimbo ya uchaguzi tisa (9) ambapo Jimbo la Kojani linaongoza kwa kuwa na watu...
  10. Roving Journalist

    PreGE2025 Kusini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Mkoa wa Kusini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambao unapatikana Kusini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar. Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, mkoa huu amba una jumla ya wakazi 195,873 kati ya hao wanaume ni 98,367 na wanawake ni 130,506 huku kaya zikiwa takriban 47,010...
  11. Roving Journalist

    PreGE2025 Kaskazini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kaskazini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambayo unapatikana Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar. Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, mkoa huu una jumla ya wakazi 257,290 kati ya hao wanaume ni 126,341 na wanawake ni...
  12. Allen Kilewella

    PreGE2025 Hivi ndivyo CCM huiba kura na CHADEMA wasijue wameibiwaje kura

    Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa. Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM walivyopunguza matumizi ya mabavu ya dola dhidi ya CHADEMA kwenye Kampeni za uchaguzi ule. Hapo chini nimeweka...
  13. Msanii

    PreGE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa TAFAKURI: Kwa nini Jeshi la Polisi...
  14. Abraham Lincolnn

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  15. The bump

    Telegram inafanya kazi kwenu ndugu zanguni?

    Naenda wiki sasa Mtandao wa Telegram haufanyi kazi kwangu siingii siwezi kufanya chochote una load tu kama vile sina internet. nimejaribu simu, computer tofauti ila inakataaa, je Hii ni kwangu tu au na wenzangu pia? Mnaotumia hamjaona hili kwenu? Kuna namna naweza fanya nitumie? Msaada kwa...
  16. Msanii

    Taarifa za miili 3 kuokotwa eneo alilotupwa Mzee Kibao ni kweli? Imeshatambuliwa ni akina nani?

    Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao? Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo? Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin...
  17. B

    PreGE2025 Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

    Aliyosema Mnyika: Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi. Hawakujitambulisha kama polisi. Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa. "Hawa hawakuwa polisi."...
  18. Mindyou

    Martin Masese: Tumezungumza na dereva, ni kweli hilo gari halina kamera!

    Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff. Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga...
  19. J

    NSSF hilo pori la Ununio kama limewashinda Liuzeni badala ya kuliacha liwe kichaka cha Kuulia Watu!

    Natoa tu angalizo siyo sawa taasisi kubwa kama NSSF kutuwekea mapori Mjini. Sasa Watu wanatupwa tu kwenye pori la taasisi ya Umma tena wengine wakiwa wameshakufa kama yule mzee Ally Mohamed Kibao. Hili pori liko pembeni ya barabara inayotumiwa na Viongozi wengi sana akiwemo Waziri nyeti kabisa...
  20. Kalamu Nzito

    PreGE2025 Rais Samia kuachia madaraka nako ni Busara!

    Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa. Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
Back
Top Bottom