kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Rais Samia: Bado hatujapata chama mbadala wa kuiongoza nchi hii

    Rais Samia aliyasema hayo akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) jana Septemba 28, 2024. "… mabadiliko yote yanayotokea ni katika kukiimarisha chama chetu tukitambua kwamba bado hatujapata mbadala wa chama cha kuongoza nchi hii, bado hatujakipata...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo. Wakiambiwa mwenyekiti wao/...
  3. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe

    Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa. Kutokana na hadhi mpya, Wilaya ya Njombe iligawanyika kati ya Njombe Mjini na Njombe Vijijini. Pia, mwezi...
  4. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

    Mkoa wa Ruvuma umepewa jina kutokana na Mto Ruvuma, ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Mkoa huu unapakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini, na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki. Mkoa wa Ruvuma una majimbo ya uchaguzi...
  5. T

    Kuna darasa tunaweza kujifunza kwa Japan kuelekea 2025

    Napenda siasa napenda democracy japo sidhani kama ni democracy. Napenda siasa yenye mrengo wa kiuchumi na kiusalama wa Taifa. Nimeona mabadiliko ktk serikali ya Japan nikatamani taifa langu lipate Kiongozi mwenye mirengo inafanana na Japan hasa ukizingatia dunia kwa sasa siasa ni usalama wa...
  6. J

    Umewahi kupiga kura kutokana na taarifa ambayo baadaye ulikuja kugundua ni uongo?

    Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi Kupiga Kura. Maamuzi yoyote Sahihi kwa Mpiga Kura huchangiwa zaidi na Taarifa Sahihi alizonazo kabla...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa "Nitasema"

    Wakuu, Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi. ====== HATI YA MAKOSA KOSA LA KWANZA Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Nafasi ya ushiriki kwa Wanawake wa vijijini katika katika kuwania nafasi za uongozi uchaguzi wa Serikali 2024

    Wanajukwaa Kwema! Siku zinahesabika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu nchini kote. Sasa swali la kujiuliza vipi muamko wa Wanawake wa vijijini kushiriki katika kuwania nafasi hizo ambapo mara zote kumekuwa na muhamko mdogo sana wa...
  10. CARIFONIA

    Code zinaanza kufunguka

    Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina. Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado...
  11. B

    LGE2024 Wananchi wahimizwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Tarime mji

    26 September 2024 WANANCHI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 TARIME MJI Posted on: September 26th, 2024 Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mji Tarime Bi Gimbana E Ntavyo amewaomba viongozi mbalimbali na asasi za kiraia kuwahimiza wananchi...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?

    Kwema Wakuu! Pattern za Kisiasa Mwaka huu kuelekea uchaguzi zimekaa kiajabu sana. Katika intelejensia patterns hizo zinaweza kuonyesha lengo au matokeo yanaweza kuwa kitu gàni. Kwa siasa za Miaka ya hivi karibuni yàani miaka kumi hii patterns hizo zinafanana kwa kiasi fulani. Ukiangalia miaka...
  13. L

    PreGE2025 Mbunge Injinia Stella Manyanya Alala Chini kabisa kumshukuru Rais Samia kwa Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu Watanzania, Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa katika miaka hii mitatu yamekuwa ni makubwa sana na kuwa kama ndoto au miujiza kwa wananchi wengi na waheshimiwa wabunge katika Majimbo yao. Hali hii ndio imepelekea na kuchochea sana watu na wananchi mbalimbali bila kujali itikadi...
  14. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Mbunge Martha Gwau Ahamasisha Wananchi Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki kuhamasisha Wananchi kujitokeza na kushiriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura. "Wanawake jitokezeni kwa wingi kuboresha taarifa zenu kwenye Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ili mpate...
  15. ChoiceVariable

    PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa Wanataka Kuharibu Amani Yetu,Tusikubali

    Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇 Ndugu zangu wananchi ili tuendelee kupata tunayoyapata haya miradi ya kila aina, vituo vya umeme na mambo mengine msiende kufanya makosa (kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Novemba 2024), kwanza dumisheni uhuru na utulivu katika wilaya...
  16. Tlaatlaah

    PreGE2025 Ni kwa kiwango gani maandamano ya CHADEMA yataathiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wagombea wa chama hicho?

    November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao. Unadhani kwa...
  17. GENTAMYCINE

    Rais Samia amemsifu waziri Jenista Mhagama kwa kazi anayoifanya ndani ya Serikali. Hata Ummy nae alisifiwa hivi hivi na Kuvimba Kichwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Jimbo la Peramiho, Mkoa wa Ruvuma linaloongozwa na Jenista Mhagama, amemsifu mbunge ambaye ni Waziri wa Afya kwa kazi anayoifanya ndani ya Serikali. "Nalishukuru tumbo lililomleta Jenista Mhagama, mimi pamoja na kwamba ni Rais, lakini namwita kiraka changu...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

    Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne...
  19. L

    PreGE2025 Askofu Dkt. Benson Bagonza aimiminia sifa na pongezi Serikali ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa...
  20. Mindyou

    PreGE2025 Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Ameyasema hayo katika kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika...
Back
Top Bottom