kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    PreGE2025 Askofu Mwamakula: Kama kwenye chaguzi za ndani ya vyama Rushwa ilitawala itakuwaje kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu?

    Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X Kwenu CHADEMA 😄😄🔥 --- Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika: Kama katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa, uwezo wa kifedha miongoni mwa wagombea ndio uliotumika au...
  2. K

    PreGE2025 Vyama vya Upinzani visije vikailaumu CCM kwa Chaguzi zinazokuja za mwaka 2024 na 2025

    Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo. Vyama vya upinzani siwaoni huku Mitaani kwetu wakijipanga kwa chaguzi hizi. Vyama vya upinzani msije...
  3. Samia atosha tukutane2030

    PreGE2025 Tuna upinzani dhaifu. Nilitarajia Nape Nnauye na aliyekuwa DC Longido wangefikishwa Mahakamani

    Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na...
  4. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Ndaisaba achangiwa fedha za Kuchukua fomu ya Ubunge na Wanawake 400 wa Kabanga, Ngara, Kagera

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro achangiwa fedha za kuchukua fomu ya ubunge na wanawake zaidi ya 400 wa kabanga. Ngara; 02.09.2024 Wanawake zaidi ya 400 wa Mji mdogo wa Kabanga waliandaa Hafla ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuiwakilisha...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 CCM acheni kujiaibisha, yaani kabisa mmeamua kumshambulia Chief Odemba wakati Watanzania wanajua uozo wenu!

    Wakuu salam, CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na...
  6. Mzito Kabwela

    PreGE2025 ACT Wazalendo kuiingiza tena mkenge CHADEMA katika chaguzi 2024 na 2025?

    Nimepata taarifa za ndani kabisa kuwa Chama cha ACT Wazalendo ambacho mmoja wa waasisi wake ni kibaraka namba moja wa Chama cha Mapinduzi, wanampango wa kuwashawishi CHADEMA Wasigombee kwenye chaguzi zijazo kutokana na matamko ya viongozi wa CCM kuhusu chaguzi zilizopita. Hivi karibuni...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Richard Ligoha: Zamani nikiwa mjinga nilikuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, sasa nimehamia CCM

    "Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua mgombea wa Udiwani kata ya Mboliboli mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Safari yangu kuikataa CHADEMA ilianza...
  8. mwanamwana

    Ali Bananga: UVCCM tutalinda Chama, Wanachama na mali za CCM kwa gharama za damu zetu

    Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga amesema chama hicho kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) wamejipanga kujibu mapigo dhidi ya mtu yeyote wakiwemo makada wa vyama vya upinzani watakaotumia vibaya uhuru wa kufanya siasa kumtukana Rais wa...
  9. J

    CCM imefungamanishwa na DOLA ndio sababu haikusajiliwa 1992, Waziri aliyesema haiwezekani kuitoa CCM madarakani yuko sahihi!

    Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100% CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk Ni vema tukaukubali ukweli...
  10. Tlaatlaah

    Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

    Kupitia falsafa ya 4Rs, Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga hali na mazingira ya kuaminiana na kurejesha imana za wanachi zilizotoweka katika kuamini taasisi za...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Kwanini hawakamatwi kwenda kulisaidia Jeshi la Polisi baada ya kutenguliwa? Ni mpaka wawe wapinzani?

    Wakuu, Huyu ni kiongozi wa pili kutoka CCM ambaye anatoa kauli tatanishi kuhusu kupoteza watu pamoja na watu wasiyojulikana, lakini wanaishia kutenguliwa na kuonywa tu na hakuna hatua nyingine inachukuliwa dhidi yao. Wa kwanza alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, akasema wakiwapoteza watu...
  12. Nehemia Kilave

    Tukumbushane kuelekea chaguzi 2024/ 2025 kuwa CCM ni ile ile na chama ni kile kile ,chaguo ni lako .

    kila mtu ajiulize imeitendea nini Nchi CCM , je tuko kwenye muelekeo sahihi kisha afanye maamuzi . nadhani historia ya Nyuma kwa CCM ndio kipimo kikubwa zaidi haihitaji kukusanyana na kupeana maneno matamu au vyama vya upinzani kutuambia uzuri au ubaya wa CCM .
  13. M

    PreGE2025 Mbunge Kimei achangia shilingi milioni tano ujenzi wa Madrasa Msikiti mkuu wa Taqwa - BAKWATA Kahe

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuunga mkono juhudi za madhehebu ya dini katika kujenga miundombinu mbalimbali yenye lengo la kutoa huduma za kiimani na kujenga maadili kwa jamii. Katika kuhakikisha hilo jana tarehe 30 Agosti, 2024 ametekeleza ahadi yake...
  14. J

    PreGE2025 Sugu apumua, Lucas Mwashambwa hatagombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aamua kumwachia Dr Tulia aendelee kuleta Maendeleo!

    Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini. Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia. Hata hivyo Lucas amesema yeye hana...
  15. B

    Tetesi: Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuziba nafasi ya Kinana

    Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee. Baada ya kauli hiyo siku chache mbele...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti wa UWT Dar ashiriki kongamano la Mwanamke jitambue

    📌 📌 Ubungo-NIT Mabibo 🗒️ 29 Agosti 2024 Mwenyekiti wa UWT mkoa Dar es salaam Ndugu Mwajabu Rajabu Mbwambo alikuwa Mgeni Rasmi katika kongamano la Mwanamke Jitambue lililondaliwa na Kablu ya Michezo ya jadi (KLAMIJAMA) iitwayo I Love Mabibo Chini ya Makamu Mwenyekiti Tatu Papa na katibu...
  17. Kabende Msakila

    PreGE2025 Usajili WanaCCM kielekitroniki mfumo huu ni mzuri sana

    Mfumo huu ni mzuri sana sababu chama kinafahamu idadi ya wanaCCM kitaifa - Mkoa - wilaya na Kata waliko wanachama. Hata hivyo, ningekuwa na madaraka ktk CCM mfumo wa usajili unapaswa kuwa active muda wote - haupaswi kufungwa - usajili unatakiwa kuendelea mpaka mwakani May kabla ya kura za...
  18. Q

    CHADEMA kulifungulia Jeshi la Polisi kesi ya madai kwa kuchafuliwa

    Wanasheria wa CHADEMA wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani. 1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini. 2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo. 3. Ni viongozi gani wa CHADEMA walihusika. 4. Hao Vijana 20 wanaoandaliwa kuvamia vituo vya...
  19. Kipenzi Changu

    CHADEMA yakanusha madai ya kupanga njama kufanya matendo ya uhalifu

    Polisi wametoa taarifa leo walizoita za uhakika kwamba wamepata taarifa Viongozi wa CHADEMA wamefanya kikao kwa njia ya zoom na kuhamasisha Wafuasi wetu kwenda Ofisi mbalimbali za Serikali na kuhamasisha Vijana kwenda Vituo vya Polisi na wakasema atakayekwenda kwenye Vituo vya Polisi...
  20. J

    Nimepitia Hotuba zote za mchungaji Msigwa kuhusu CHADEMA na kama anayosema ni kweli lazima Polisi wataifuatilia kwa makini!

    Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa Miaka zaidi ya 10 hivyo ni Wazi anajua Uovu mwingi wa Chama hicho na mapolisi na Wananchi watamuamini tu. Komredi Makalla alitumia akili kubwa kumvuna mchungaji Msigwa Kutoka CHADEMA kwa wakati sahihi kabisa kwa sababu ataeleza Siri...
Back
Top Bottom