Uchaguzi 2025 Hivi ndivyo CCM huiba kura na CHADEMA wasijue wameibiwaje kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
20,840
39,565
Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa.

Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM walivyopunguza matumizi ya mabavu ya dola dhidi ya CHADEMA kwenye Kampeni za uchaguzi ule.

Hapo chini nimeweka clip inayosawiri mbinu wanazotumia CCM kuwaibia CHADEMA kura bila ya CHADEMA kung'amua wameibiwaje kura.

View attachment 3093996
:) :)
 
Back
Top Bottom