kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    PreGE2025 Lissu wataje waliokuja kwako kukuhonga kabla haujachelewa

    Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu Sasa unadai kuna watu walikuja kwako...
  2. Mlalamikaji daily

    PreGE2025 Watanzania mnataka idadi ya vifo vya kutekwa ifike ngapi ndio muamke?

    Nawauliza tu, nataka idadi ifike ngapi? Maana kazi kulalamika tu baada ya siku mbili mnaletewa connection ya gigy money, mnasahau! Mnataka wafe wangapi? CHADEMA badala ya kuandamana na mambo ya katiba mpya andamaneni na hili polisi itoe hao watu inawashikilia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  3. Erythrocyte

    Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

    Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda. Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa...
  4. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma. Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri...
  5. Erythrocyte

    PreGE2025 Kuuawa kwa Mzee Ali Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi

    Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho kwenye zama za sasa ni mbinu zilizopitwa na Wakati. Mzee Kibao alipokuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga...
  6. Nehemia Kilave

    Ni lipi tumshauri Tundu lissu kati ya haya ?

    Kuna kila dalili Rais Samia ataendelea kuongoza mpaka 2030 , lakini kuna kila dalili kuna makubaliano wapinzani kuachia kiti cha Urais CCM na kupata baadhi ya majimbo , Tumshauri lipi kati ya haya Tundu lissu katika hali hii ? 1. Agombee ubunge arudi bungeni 2. Aungane na kina Mnyika wafanye...
  7. Chachu Ombara

    PreGE2025 Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ali Kibao

    TAARIFA KWA UMMA Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao...
  8. L

    PreGE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini. Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
  9. J

    Mimi ni CCM lakini nakiri CHADEMA walitumia Nguvu ya ziada kumnadi Mchungaji Msigwa Ubunge 2010 na 2015 Katikati ya Uzawa!

    Mchungaji Msigwa asisahau namna CHADEMA walivyompambania dhidi ya Monica 2010 Mchungaji Msigwa asisahau jinsi Baadhi ya wazawa wa CCM wale Team Lowassa walivyomkataa Mwakalebela na kusema afadhali wampe Yeye kwa Heshima tu ya Chadema kumpokea Lowassa Mchungaji Msigwa nadhani umenielewa sana...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Waganga wakataa kuhusishwa na matukio ya mauaji ya watu yanayotokea karibuni nchini

    Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo madaktari wa Hospitalini wanavyothaminiwa kwani dawa zote za hospitali zilitokana na dawa za asili...
  11. Superbug

    Je, dhana kujitoa atika jambo unalofaidika nalo ndiyo msingi wa Haki? Hoja ya CCM kusimamia Uchaguzi Ikiwa ni Mnufaika

    Kuna ile dhana ya kiuongozi ambapo mtu anajitoa au ana declare interest kwenye jambo linalomhusu ili kusiwe na upendeleo nitatoa mifano ifuatayo. 1. MAHAKAMA Majaji huwa wanajitoa kwenye kesi aidha zinazowahusu au ambazo wao ni washtakiwa. 2. NECTA Baraza la mitihani huwa haliruhusu mwalimu...
  12. Joseph Ludovick

    PreGE2025 CCM Itaendelea kubaki madarakani

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na historia yake, uwezo wake wa kupatanisha itikadi za kisiasa, uimara wa miundombinu yake ya chama, Uongozi, na udhaifu wa vyama vya upinzani. CCM imefanikiwa kujenga misingi imara ya utawala na imesimamia maslahi ya...
  13. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Kama Rais Samia anaingia jikoni kupika basi hapa kuna la kujifunza

    Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi. Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
  14. J

    PreGE2025 Sasa Chawa wa kike wanajiita dodo lililoiva!

    Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana. Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva 😄 Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. 🐼 Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hatari na nusu, Bure Ghari.
  15. Y

    PreGE2025 Rais Samia nakuomba tena utekeleze haya kuelekea 2025

    Your Excellency, Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Raisi, Ninaamini umzima wa afya na unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa kadri Mwenyezimungu alivyokujaalia. Mheshimiwa Raisi, hii itakuwa ni mara yangu ya pili kuzungumza na wewe kupitia maandiko haya ya...
  16. GENTAMYCINE

    PreGE2025 Nini kifanyike kudhibiti pesa chafu na rushwa kiujumla kwenye chaguzi kuu za nchi nyingi za Afrika?

    Nilikuwa najiuliza kwanini watu wengi husema kuwa kama usipomalizia Kibanda chako au usipojenga Kipindi cha Uchaguzi Mkuu (hasa katika Nchi za Afrika) basi sahau tena kujeng. Kwani Kipindi hicho Pesa zinakuwa nyingi na za Kumwaga huko Mitaani ila sasa nimeshaelewa walichokuwa wakikimaanisha...
  17. Mkunazi Njiwa

    PreGE2025 Rafiki yangu Franco Mkakaranka naye anataka kugombea udiwani. Huyu bwana ni tajiri wa mbango na ubishi

    Kule Kinondoni kulitokea ubishi mkuu wa kutunishiana misuli kati ya Meya kamarada mh.Songoro Mnyonge(diwani kata ya Kinondoni kama sikosei) na aliyekuwa DED wa Kinondoni mh.Sipora Pangani. Zogo lile lilikuwa kubwa huku kila mtu akitumia ubabe wa "KITI" chake. Nimekumbushia kisa hiki ili tupate...
  18. M

    PreGE2025 Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema: Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa...
  19. amshapopo

    PreGE2025 Kwa mwendo huu wa CCM na serikali kujitaja maovu yao, Wapinzani jipangeni 2025

    Ndugu zangu, Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini haki yenu coz kwa kukaa kimya mnawapa vichwa hao wanaofanyia dhulma. Fanyeni mpango kuhakikisha...
  20. B

    PreGE2025 Ombi kwako Rais, ombi la kuendelea na Waziri Mkuu Majaliwa 2025

    Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025. Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi. Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala...
Back
Top Bottom