kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

    Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa. Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1. Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege. ====== Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
  2. meningitis

    Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

    Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania. Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani kutokuwepo kwenye eneo muhimu la kimaamuzi kupitia uchaguzi. Naamini baada ya kuliona hili viongozi wa...
  3. Erythrocyte

    Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

    Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua. Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote. Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
  4. milele amina

    PreGE2025 Ushauri kwa CCM na Polisi wa Tanzania na hofu unayojengeka kwa wananchi

    Kuna dalili kwamba wananchi wa Tanganyika wanakabiliwa na hofu kubwa ndani ya mioyo yao. Wakati wanapowaona polisi, wanawafikiri kuwa ni wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kwa upande mwingine, wanapokutana na wanachama wa CCM, wanawaza kuwa ni polisi. Hali hii inadhihirisha jinsi...
  5. Mindyou

    PreGE2025 Waandishi 2 kutoka Mwananchi Communications na 1 wa EATV wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Waandishi wa Habari Wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na mmoja wa EATV wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakiripoti katika #Maandamano ya Amani yaliyoitishwa na CHADEMA. Waandishi wa MCL waliokamatwa ni Michael Matemanga aliyekamatiwa Msimbazi na Lawrence Mnubi...
  6. Msanii

    PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA: Lissu kwenda kuripoti Ofisi ya RCO Kinondoni asubuhi hii

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema asubuhi hii (leo, Jumatatu Septemba 23, 2024) amefuatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi nyumbani kwake, na kuelezwa kuwa anahitajika kuripoti kwa RCO wa mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo amesema yuko tayari kwenda kuitikia wito huo...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Umoja wa Bodaboda na Bajaji: Hatutashiriki Maandamano ya CHADEMA

    Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es Salaam yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Msimamo huo umetolewa na Mwenyekiti...
  9. J

    PreGE2025 Je, ni kweli Mungu hana Demokrasia? Mbona alisema "Tufanye mtu kwa mfano wetu"

    Nauliza tu baada ya kumsikia RC Makonda akisema Mungu hana Demokrasia. Mwanzo 1:26 - Tufanye mtu kwa mfano wetu. Je, ni kweli? Nawatakia Dominica njema 🌹 ===== RC Makonda atahadharisha akuhusu walaghai wanaotumia neno la Mungu kurubuni wananchi Akizungumza na maelfu ya Wananchi...
  10. S

    Unyanyasaji wa wapinzani wakati wa Magufuli na huu wa Rais Samia kunawafanya wapinzani kufikia "The point of no return"

    Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri ni kuona au kuamini kuwa kwa sasa hawana tena cha kupoteza kwani kama ni kuteswa, wameshateswa...
  11. Hance Mtanashati

    Hivi ubora wa rais Samia upo wapi? Hivi anafahamu mwakani ni uchaguzi kweli?Au hana nia ya kugombea tena?

    Binafsi wakati mwingine namuonea huruma namna watu wanavyomshambulia , ila najiuliza ubora wake upo wapi angalau nimtetee tetee siuoni. Kila kukicha mambo yanaharibika na kwa namna moja au nyingine itampunguzia credits sana kipindi cha uchaguzi unaofuata. Kwa yanayoendelea achilia mbali suala...
  12. L

    PreGE2025 William Lukuvi Akoshwa Na Uchapakazi wa Rais Samia. Ataka Apewe Mama Kuongoza Hadi 2035

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa William Lukuvi Amekoshwa na uchapa kazi wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM pamoja na kasi ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Ambapo Mheshimiwa Lukuvi ambaye awali alikuwa mshauri wa Rais wetu Mpendwa katika masuala...
  13. Q

    PreGE2025 2020 sikupiga kura, ila safari hii nitapiga kura

    Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Rais Samia alikuwa hajajiandaa kuwa amiri jeshi mkuu. Hivyo wakati wa uchaguzi 2025, nitaungana na Watanganyika wenzangu kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye. Kwa sababu, 1. Uongozi wake umepwaya ni wa vitisho na mabavu. 2. Utawala wake hauzingatii utawala...
  14. Msanii

    Nani Mhulukutabu kati ya Rais Samia na Raia anayedai haki ya usalama wake?

    Hotuba ya jana tarehe 17 Septemba 2024 imenipa simanzi sana. Lakini nimeokota neno moja linalotumiwa kule Kizimkazi. Neno hilo ni MHULUKUTABU na lilitolewa ufafanuzi kuwa ni mtu ambaye akiona kuna utulivu lazima aibue hekaheka. Rais aliwalenga wapinzani na wahanga wa utekaji na mauaji ya raia...
  15. R

    PreGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia huenda kuna watu wanatumbuliwa hivi karibuni; vita ya uchaguzi ni kubwa kuliko tunavyodhani

    Vita ya uchaguzi ni kubwa sana ndani na nje ya CCM . Upo uwezekano wenye nguvu na wanaotaka madaraka wanatumia mbinu nyingi kupata uungwaji mkono. Hasira ya Mhe. Rais siyo ndogo na si yakipuuzwa. Kuna wanadamu wamesambaza sumu au baadhi mchana wapo CCM usiku wanafadhili mipango ya uchaguzi...
  16. econonist

    Rais anazunguka mbuyu, badala ya kushughulikia kiini Cha tatizo

    Rais kanikatisha tamaa Sana. Kwenye hotuba yake ya leo hajatoa suluhisho la kudumu kuhusu utekaji. Yeye kajikita kwenye kuwatisha mabalozi na chama Cha CHADEMA kwamba anawafuatilia kila kikao wanachofanya . Kwa kifupi Rais hajashughulika na kiini Cha tatizo Bali amejikita kwenye matokeo. Yani...
  17. Ndagullachrles

    Rais Samia aahidi kulipa ushirikiano Jeshi la polisi kutimiza majukumu yake

    MOSHI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameonesha kuridhishwa na kazi wanayoifanya askari wa polisi wa Tanzania katika kulinda amani na utulivu wa nchi huku akiahidi kuendelea kutoa ushirikiano ili kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa ufanisi zaidi. Kupitia hotuba...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=BKZ7ifz7408 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani...
  19. cutelove

    LGE2024 Rais Samia, vijana tunataka tuwe viongozi, tunaomba sheria ya mgombea binafsi ili tupate nafasi kwenye vyama vya siasa, ni ngumu vijana kupenya

    Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani, ubunge na Urais. Kwa hali ilivyo kwenye vyama vya siasa ni ngumu sana kupenya kwa sababu ya wajumbe...
  20. Msanii

    Anayepinga maandamano ya 23/09 anaunga utekaji na mauaji ya raia

    Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia CHADEMA...
Back
Top Bottom