kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    PreGE2025 Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?

    Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni...
  2. Tlaatlaah

    PreGE2025 LGE2024 Unadhani ni kwanini vyama vya upinzani vikongwe nchini hawawaamini na hawapendelei kuwapa fursa za uongozi wa juu wanawake?

    Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa? Ni hawana uwezo, hawaaminiki wala kuthaminika ndani ya vyama vyao, hawana mipango madhubuti ya...
  3. J

    PreGE2025 Ni vema majimbo ya Kawe, Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanywe kutokana na Wingi wa Wananchi na Huduma za kiuchumi!

    Baada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa Huduma za kiuchumi Kadhalika Jimbo langu la Kawe nimeshaomba muda mrefu tu ligawanywe Mungu wa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 LGE2024 Watanzania wezangu tusilambishwe sukari na wanasiasa, bali tuzipime hoja zao kama kweli zitaleta chachu ya maendeleo

    Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025. Katika kipindi hiki wanasiasa wameshaanda sukari zao za hoja kuja kudanganya au kusema ukweli wakati...
  5. M

    Juma Usonge asambaza vyakula kwa wanafunzi wa kambi watahiniwa wa kidato cha pili Jimbo la Chaani

    Mbunge wa jimbo la Chaani Mhe, Juma Usonge ameendelea na utoaji wa vyakula kwa wanafunzi wa watahiniwa wa kidato cha pili skuli za Sekondari Jimbo la Chaani wilaya ya kaskazin A Unguja. Usonge amesema ikiwa yeye ni kiongozi wa jimbo hilo na mdau mkubwa wa elimu amesema utoaji wa sadaka iyo...
  6. J

    Majibu kwa Madai ya John Mnyika, Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ukweli dhidi ya Upotoshaji

    Kutoka Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi ya UVCCM taifa Majibu kwa Madai ya John Mnyika,Katibu Mkuu wa Chadema.Ukweli Dhidi ya Upotoshaji 1. Ukweli kuhusu Mamlaka ya TAMISEMI Madai ya John Mnyika kwamba TAMISEMI imepokea majukumu kinyume na sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ni upotoshaji wa...
  7. I

    Wakati CCM ipo "Site" CHADEMA wanatafuta "Likes" na "Retweets"

    .
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 LGE2024 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

    Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo. Sasa angalia mwenyewe...
  9. L

    PreGE2025 LGE2024 Simiyu: CHADEMA yapata pigo Wanachama 60 wahamia CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima, Katibu na wanachama wao wahamia CCM. Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa Mipawa, pamoja na wanachama wao zaidi ya 60, wamehamia...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 LGE2024 Mnyika aitupia lawama TAMISEMI, adai ni Mpango wa CCM na TAMISEMI kutohamasisha Uandikishaji wa Wapiga Kura

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao...
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 LGE2024 Sugu aendelea kusafisha Mabaki ya CCM Mbeya Mjini, Leo ni zamu ya Kata ya Isyesye

    Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha...
  12. Erythrocyte

    PreGE2025 Tanga: CCM yapigwa Changa la Macho, Vijana 100 waliodaiwa kuhamia wakitoka CHADEMA, hawakuwahi kuwa CHADEMA

    Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa. Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, achilia mbali kuwa mfuasi tu. Ushahidi wa Hoja hii ni...
  13. The Supreme Conqueror

    KERO PreGE2025 LGE2024 Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai

    Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa chini Leo katika semina hiyo kulikuwa na mauza uza baada wa washiriki wa semina kukosa chai...
  14. Mindyou

    PreGE2025 Ndugulile atangaza rasmi kutokugombea tena ubunge mwaka 2025! Je, Makonda atarudi kugombea ubunge Kigamboni?

    Wanabodi, Mbunge wa jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ametangaza rasmi kuwa hatagombea ubunge mwaka 2025. Ndugulile amedokeza kuwa kwa sasa yupo mbioni kuanza majukumu yake kama Director wa WHO na atakuwa anawakilisha Waafrika zaidi ya Bilioni 1 kwenye nyanja za kimataifa. Soma pia...
  15. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
  16. Mindyou

    PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi yakamilisha mchakato wa kutoa elimu kwa wananchi Zanzibar. Mchakato wa uandikishaji umeanza rasmi leo!

    Wakuu, Kwa wiki karibu yote iliyopita huko visiwani Zanzibar, tume huru ya taifa ya uchaguzi ilikuwa kwenye mchakato mzito wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu namna ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na namna ya kuhamisha taarifa zao iwapo mwananchi atahitaji. Baadhi ya...
  17. Lady Whistledown

    PreGE2025 Mzazi/Mlezi, Ungependa Binti yako awe Mwanasiasa?

    “Wazazi na walezi, je, mnaona umuhimu wa mabinti wenu kujihusisha na siasa? Je, mko tayari kuwaunga mkono katika safari hiyo ya uongozi na mabadiliko? Tushirikiane mawazo!
  18. Cute Wife

    PreGE2025 Chalamila: Mabinti na Vijana wanajiteka wenyewe, taarifa zikifika kwa vyama vingine wanadhani kwamba amani imetoweka!

    Wakuu, Wanasema watu wanajiteka huku hamna tishio lolote nchini la watu kujiteka! CCM mnataka kuzidisha watu hasira zaidi ya hivi hali ilivyo sasa!
  19. Suley2019

    PreGE2025 Waziri Kassim Majaliwa: Polisi msizuie Wananchi wanaokuja na mabango kwenye mikutano yangu

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero za wananchi, pia amesema hapangiwi ratiba. Katika kufafanua hilo Majaliwa amesema: Nitatembelea...
  20. Mindyou

    LGE2024 Arusha: Mrisho Gambo amuahidi Rais Samia kulinda mitaa kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa ili kutengeneza jeshi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kama Jeshi la kumtetea Samia kwenye uchaguzi mkuu. Soma pia: Ruvuma...
Back
Top Bottom