Kuelekea 2025 Tanga: CCM yapigwa Changa la Macho, Vijana 100 waliodaiwa kuhamia wakitoka CHADEMA, hawakuwahi kuwa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
124,735
236,763
Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa.

Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, achilia mbali kuwa mfuasi tu.

Screenshot_2024-10-07-22-16-58-1.png

Ushahidi wa Hoja hii ni kadi za Makaratasi walizokabidhi vijana hao Mamluki kwa viongozi wa CCM, hizo kadi hazipo CHADEMA, hiki ndio Chama cha kwanza Tanzania kusajili Wanachama Kidigital, Walishatoka kwenye Makaratasi ya Mgololo kitambo sana, Mnaikumbuka CHADEMA Digital? hakuna mwanaCHADEMA mwenye kadi ya karatasi, Wazee wa CCM mnaibiwa kijinga sana.

Kwenye Msimu huu wa uchaguzi CCM itaibiwa sana na Wajanja, yaani juzi tu kazomewa Masauni hapo kwenye Mazishi ya Ally Kibao, eti leo Wanachadema wahamie CCM ,Thubutu! Wadanganyeni wajinga wenzenu .

Soma Pia: Wanachama 381 wa CHADEMA Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za CHADEMA kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
 
Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa.

Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanachadema ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa Chadema, achilia mbali kuwa mfuasi tu.

View attachment 3118232

Ushahidi wa Hoja hii ni kadi za Makaratasi walizokabidhi vijana hao Mamluki kwa viongozi wa ccm, hizo kadi hazipo Chadema, hiki ndio Chama cha kwanza Tanzania kusajili Wanachama Kidigital, Walishatoka kwenye Makaratasi ya Mgololo kitambo sana, Mbaikumbuka Chadema Digital? hakuna mwanachadema mwenye kadi ya karatasi, Wazee wa ccm mnaibiwa kijinga sana.

Kwenye Msimu huu wa uchaguzi ccm itaibiwa sana na Wajanja, yaani juzi tu kazomewa Masauni hapo kwenye Mazishi ya Ally Kibao, eti leo Wanachadema wahamie ccm ,Thubutu! Wadanganyeni wajinga wenzenu .
Hao mia utaona umuhimu wao kwenye uchaguzi utakuja na kwioooo tumeibiwa (kubana pua voice)
 
Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa.

Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanachadema ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa Chadema, achilia mbali kuwa mfuasi tu.

View attachment 3118232

Ushahidi wa Hoja hii ni kadi za Makaratasi walizokabidhi vijana hao Mamluki kwa viongozi wa ccm, hizo kadi hazipo Chadema, hiki ndio Chama cha kwanza Tanzania kusajili Wanachama Kidigital, Walishatoka kwenye Makaratasi ya Mgololo kitambo sana, Mnaikumbuka Chadema Digital? hakuna mwanachadema mwenye kadi ya karatasi, Wazee wa ccm mnaibiwa kijinga sana.

Kwenye Msimu huu wa uchaguzi ccm itaibiwa sana na Wajanja, yaani juzi tu kazomewa Masauni hapo kwenye Mazishi ya Ally Kibao, eti leo Wanachadema wahamie ccm ,Thubutu! Wadanganyeni wajinga wenzenu .
Kwenye Msimu huu wa uchaguzi ccm itaibiwa sana na Wajanja, yaani juzi tu kazomewa Masauni hapo kwenye Mazishi ya Ally Kibao, eti leo Wanachadema wahamie ccm ,Thubutu! Wadanganyeni wajinga wenzenu .😂😂😂
 
Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa.

Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, achilia mbali kuwa mfuasi tu.

View attachment 3118232

Ushahidi wa Hoja hii ni kadi za Makaratasi walizokabidhi vijana hao Mamluki kwa viongozi wa CCM, hizo kadi hazipo CHADEMA, hiki ndio Chama cha kwanza Tanzania kusajili Wanachama Kidigital, Walishatoka kwenye Makaratasi ya Mgololo kitambo sana, Mnaikumbuka CHADEMA Digital? hakuna mwanaCHADEMA mwenye kadi ya karatasi, Wazee wa CCM mnaibiwa kijinga sana.

Kwenye Msimu huu wa uchaguzi CCM itaibiwa sana na Wajanja, yaani juzi tu kazomewa Masauni hapo kwenye Mazishi ya Ally Kibao, eti leo Wanachadema wahamie CCM ,Thubutu! Wadanganyeni wajinga wenzenu .

Soma Pia: Wanachama 381 wa CHADEMA Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za CHADEMA kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Wameambiwa kuna fursa ya mikopo inayo tolewa bila elimu ya ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom