Kada wa CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni amewataka wananchi kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, licha ya changamoto za ukiukwaji wa taratibu na sheria.
Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa.
Lema amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanafanya mbinu ikiwemo...
Wakuu salam,
Nimeanizisha uzi huu maalum kwaajili ya kuweka link ya post zote zinazoongelea rafu na kasoro kabla na mpaka siku ya uchaguzi wenyewe wa serikali za mitaa, iwe rahisi kupata kasoro hizi kwa pamoja kila mtu atakapozihitaji.
Nitakuwa na-update kadri yatakavyokuwa yanawekwa JF...
Na THABIT HAMIDU, ZANZIBAR
Bahati Issa Suleiman 51, Mkaazi wa Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja alikuwa mgombea wa nafasi ya Udiwani wadi ya Bungi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Bahati ambae pia ni mwanaharakati wa kupinga vitendo vya udhalilishaji na ukatili...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani Mhe. Subira Mgalu azungumza na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kerege iliyopo Bagamoyo Pwani tarehe 12 Oktoba, 2024.
Mkutano huo wenye lengo la kuzindua "Kamati za Ushindi" ulilenga katika kuhamasisha na kutoa elimu ya uandikishaji wa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na kuwa mfano bora wanapojadili masuala mbalimbali ya kitaifa.
Akizungumza katika hafla ya kumaliza...
Wakuu salam,
Leo nilipanga kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, na kweli nimefanya hivyo.
Ukienda kujiandikisha unakuta mwandikishaji yuko na daftari ambako unaulizwa jina na umri pekee kisha unasaini, na mtu huyo atakwambia majina yatabandikwa uje kuhakiki, na...
Leo kwa vile ilikuwa jumapili nilikuwa na muda nikaamua kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Nilichokiona kama ningedadisi kabla ningerudi zangu nyumbani maana huu ni ujinga na uwenda wazimu. Yaani mtu unataja jina lako na tarehe ya kuzaliwa na unasaini basi umemaliza na...
Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la zaidi ya Bilioni 10 litajengwa Ikwiriri.
Kana kwamba haitoshi,ikumbukwe kwamba Mkuranga imeomba kuwa...
Hili ni jambo ambalo baadhi ya Wale wengine wamenuna.
Vijana hawa wanafanya kazi hii iliyopaswa kufanywa na TAMISEMI huku Waziri wa Wizara hiyo akizunguka na Diamond huko Ikwiriri wakitafuta Eneo la kujenga Ukumbi wa Burudani.
Soma Pia:
Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha...
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuwa serikali za Mitaa ni muhimu na ndiyo sauti ya wananchi hivyo tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
Bila kujali itikadi zetu hili ni jambo muhimu sana Kwa taifa letu kwa ujumla.
Pia soma: Kuelekea 2025 - LGE2024 -...
Wanazingua hawa, hii ilitokea jana na kuripotiwa kupitia ukurasa wa Boniface Jacob (Boniyai).
---
Ustaarabu siyo tabia ya CCM
Hawa ni Watoto wa shule Wamekutwa wanaandikishwa katika daftari kinyume cha sheria, kituo cha EMET mtaa wa Luguruni, kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba leo tarehe...
CCM wasisimamishe mgombe heti kwa sababu tu ni raisi au mwenyekiti bali yule atakea hakikisha watanzania wote wanapata huduma zote muhimu bila ubaguzi sio unakuta mtu anakatiza huduma kwa watanzania wenzake ili wafe njaa, tusisimamishe kiongozi kama huyu sisi hatutaki raisi ilimradi tu tuonekane...
Ukiangalia mwitikio wa watanzania kujiandikisha." Inachekesha sana.
Utaona wazi kwamba hata wajinga wameanza kujua kinacho endelea baada ya uchaguzi/uizi wa kura.
Ukimya wa Watanzania kutojihusisha na maandamano hautoi tafsiri kwamba watanzania niwajinga au hawana la kufanya hapana.
Badala...
Zitto amewataka Watanzania wote kujiandikisha katika mitaa, vijiji, na vitongoji vyao ili waweze kushiriki katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024.
Amesisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika mchakato wa kidemokrasia, akisema kuwa ni haki yao ya kikatiba ambayo...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja
=====
"Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali...
Msanii maarufu wa muziki wa hip-hop, Joseph Haule, anayejulikana kama Profesa Jay, ametangaza rasmi kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza kwenye kipindi cha The Throne kinachorushwa na redio Crown FM leo Ijumaa, Oktoba 11, 2024, Profesa Jay ameeleza kuwa...
Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea?
Soma Pia: Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.