kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Hongera Rais Samia kilo 1 ya Korosho yafika shilingi 4120

    Kanda ya kusini kuchele Ndanda kuchele. CCM kwani imekuwaje? Hela izunguke mikoa yote Madalali wa korosho waondoke. Kusini tumeona #MAMA SAMIA KAUPIGA MWINGI KAMA ALIVYOUPIGA UNCLE 2017/2018 kiufupi kila mkulima na kangomba afurahi. Mnada wa kwanza 4,090 kwa newala na tandahimba Hii bei ni...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo

    Wakuu, Jiwe limerushwa gizani, wakuu mjitokeze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na baadaye uchaguzi mkuu, vyote ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. ====== Tumeongozwa na Rais Samia Kwenda kujiandikisha ikiwa ni siku ya kwanza yah atua ya mwanzo ya wananchi kushiriki kwenye...
  3. Nyendo

    PreGE2025 Makonda anahalalisha uvunjifu wa sheria? Hizo kesi anazosema auziwe yeye atazimaliza vipi au anatuma ujumbe gani?

    Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio...
  4. J

    PreGE2025 LGE2024 CCM itatoka Madarakani pale tu itakapochokwa na wananchi lakini siyo kwa kuzidiwa Mbinu za Siasa na Vyama vya Upinzani!

    Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na anesema " chonde chonde Komredi sambaza ujumbe kwa Wananchi wote Wenye mapenzi mema na CCM" Sasa Ndio...
  5. Emmanuel gubabu

    LGE2024 Ni sawa kwa wenyeviti wa mtaa na vitongoji kutotoa taarifa kwa wananchi wao kuenda kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura?

    Jana niliongea na Balozi akaniambia leo usiku (Jana) tutatangaza kwa kutumia polomondo ili kila mwananchi ajue nikatoka kwenda msibani nikakuta Mwenyekiti wa kitongoji anasema hatutangazi mtaambiana wenyewe huko, nikawaza hivi hilo zoezi la kwenda kwa kila mtu kumwambia mbona gumu sana...
  6. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 LGE2024 Mbunge Atupele Mwakibete Achangia Tsh. Milioni 15 Ujenzi Nyumba ya Mwalimu Busokelo Boys

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete leo Tarehe 10/10/2024 ameunga mkono jitihada za Wazazi na Wananchi katika Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu shule ya Sekondari ya Wavulana Busokelo inayopatikana kata ya Isange kwa Kuchangia pesa Shilingi Milioni 15. Akiwa katika Mahafali ya...
  7. Camilo Cienfuegos

    PreGE2025 LGE2024 Imekaaje ukurasa wa Tamisemi huko Twitter kueleza habari za Ilani ya CCM?

    Hii imekaaje wakuu? Soma Pia: CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini
  8. Cute Wife

    BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'

    Wakuu, Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea BASATA ianzishwe! Halafu serikali na CCM hamjifunzi, yaani mnarudia mambo yale yale ambayo yakuja ku...
  9. Ojuolegbha

    LGE2024 Dkt. Nchimbi: Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa

    "Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa, kila mwanachama ndani ya chama chetu ana haki sawa na mwingine" . Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Kahama...
  10. Cute Wife

    CCM wanatetemeka na kububujikwa machozi kwa uoga, waacha kurusha live mikutano ya Nchimbi, wanajua hamna kitu pale wasije kuaibika nchi nzima

    Salam kwa jina la Lucas Mwashambwa, Wakuu sasa hivi kama mmechunguza mikutano ya CCM anayofanya Nchimbi akiwa amembatana na Makala hairushwi live. Wanaweka tu vile vipande wanavyotaka kudanganya watanzania au wanavyowananga CHADEMA. Ukiona wamerusha ka video kama hawamsifii Rais Samia basi...
  11. Cute Wife

    Msigwa: Sisemi napinga mfumo wa vyama vingi bali napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama wa CHADEMA na wengine

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, ni mwendo wa kupondana kwa kwenda mbere! ==== “Nchi yetu ina utulivu mkubwa, tunapendana, tunashirikiana, sisemi mimi napinga mfumo wa vyama vingi, lakini napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama huu wa chadema na vyama vingine. Hawa ni...
  12. Cute Wife

    LGE2024 CCM Arusha: Mgombea Serikali za Mitaa lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali la sivyo ataufanya Uenyekiti ndio kazi

    Wakuu, mambo yanazidi kunoga, kwani hawa ambao tunaenda na wanatudai hizi hela za 'copy' si ni wenyewe hawa hawa CCM? Au anaongelea watu gani? Maana wao ndio walipita kwa 99% bila kupingwa! === "Mgombea ni lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali kinachomuwezesha kuishi na...
  13. Mindyou

    LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024: Hakuna kupita bila kupingwa, atakapopatikana mgombea mmoja, atapigiwa kura za ndiyo au hapana

    Wanabodi, Siku ya jana Steven Mutambi, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya TAMISEMI alikuwa akizungumza kwenye mahojiano pale Crown FM na moja ya kauli ambayo alitoa ni kuwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu, ule utaratibu wa mwaka 2020 kwamba wagombea watapita bila kupingwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Wilaya ya Bahi watumia michezo ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mh. Rebecca Nsemwa, amezindua Bonanza la Michezo wilayani humo, lililoshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo timu nne za mpira wa miguu, kuvuta kamba, mbio fupi, kuruka na magunia na michezo mingine ambalo limekutanisha makundi tofauti tofauti kwa lengo la kuhamasisha...
  15. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 LGE2024 Mbunge Amina Ali Akomaa na Vijana, Awataka Kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura

    Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) Anayetokea Kundi la Vijana Zanzibar, Mhe. Amina Ali Mzee ametembelea vituo mbalimbali vya Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar vinavyoandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kutokana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika 27...
  16. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 LGE2024 Mbunge Tauhida Gallos Akabidhi Vifaa vya Ujenzi Ofisi za CCM Jimbo la Dimani, Magharibi - Zanzibar

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika kutatua matatizo mbalimbali ya Wananchi. Akikabidhi Mchanga na Mifuko ya Saruji kwa Viongozi wa...
  17. Joseph Ludovick

    Utekelezaji Ilani; Elimu Bahi ni Fahari ya Dodoma

    Wilaya ya Bahi, iliyoko mkoani Dodoma, imeibuka kuwa kielelezo bora cha mafanikio katika sekta ya elimu nchini Tanzania. Hayo yamebainika katika taarifa ya mkuu wa wilaya na serikali ya wilaya ya Bahi ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2020-2024 iliyosomwa kwa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya...
  18. Nyendo

    PreGE2025 LGE2024 Mambo yanazidi kunoga Majimboni, mbinu ni zilezile wadanganywa ni walewale

    Unaweza shikwa hasira kwa mbinu zilezile zitumikazo kuwahadaa wananchi ila kila ukikumhuka wananchi wanadanganyika kama watoto wadogo kwa greda moja linalopita kwenye barabara za mitaani kiba baada ya miaka 5 kuelekea uchaguzi na halitaonekana tena mpaka baada ya miaka 5 basi unashusha pumzi...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 LGE2024 CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

    Wawakilishi wa AZAKI pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) leo, Jumatano Oktoba 8.2024 wametembelea ofisi za makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa AZAKI hizo kutembelea vyama vya siasa kwa lengo la...
  20. Pfizer

    Tabora: Dkt. Philip Mpango aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bukene Nzega, unaogharimu shilingi bilioni 29.3

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji waliyopata wananchi kwa muda mrefu. Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi...
Back
Top Bottom