kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    PreGE2025 LGE2024 Viunzi Virefu Vya Kuruka Vinavyowakamisha Wanawake Kuwa Viongozi

    Na Ahmed Abdulla: Zanzibar: Uongozi ni eneo ambalo limekuwa na muamko mkubwa huku suala la usawa wa kijinsia hasa katika nafasi mbali mbali za uongozi likisemwa mara nyingi ,licha ya mafaniko kadhaa yaliyopatikana lakini bado wanawake wanaona kuna viunzi virefu vya kuwafikisha kwenye safari...
  2. Subira the princess

    LGE2024 Ukweli mchungu, CHADEMA wameshashindwa uchaguzi kabla ya uchaguzi wenyewe

    Wasalaam Nitasema kidogo tu tena kwa ufupi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utaona wazi kwamba CCM wameandikisha wapiga kura wengi karibu nchi nzima. Hapa haijalishi wametumia mikono au miguu ila wanefanikiwa...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Tume ya Uchaguzi yawanoa Maafisa wa Polisi kuelekea uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi (INEC), Kailima Ramadhani amesema wameamua kulijengea uwezo Jeshi la Polisi ili waweze kutambua matakwa ya Sheria za uchaguzi na kuepusha kuyumbishwa na Wanasiasa. Kailima aliyasema hayo katika mafunzo kuhusu sheria za uchaguzi yaliyotolewa na Tume hiyo...
  4. Mindyou

    LGE2024 John Mnyika: Takwimu alizotoa Waziri Mchengerwa kuhusu zoezi la uandikishaji wapiga kura ni za uongo!

    Katibu wa CHADEMA, John Mnyika leo akiongea na waandishi amemkaanga Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kwa kusema kuwa takwimu alizozitoa waziri huyo hivi karibuni ni za uongo. Mnyika amesema kuwa kauli ya Mchengerwa alidanganya aliposema kuwa kuna mwamko mkubwa wa wananchi katika zoezi la...
  5. Mindyou

    LGE2024 Kigoma: Wakala wa CHADEMA arushiana maneno na Afisa uandikishaji baada ya kukatazwa kugusa daftari lenye orodha ya waliojiandikisha

    Wakuu, Kuna hii video kutokea huko Kasulu mkoani Kigoma inayomuonesha Afisa mwandikishaji ambaye amebainisha kuwa amepewa marufuku na TAMISEMI kwamba mawakala wa upinzani hawatakiwi kugusa daftari la orodha ya wapiga kura. Mvutano wa wawili hao umesababisha mabishano makubwa kati yao! Soma...
  6. Mindyou

    LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM, Mohamed Kawaida amvaa Lema wa CHADEMA. Aitaka TAMISEMI iendelee kusajili wanafunzi kwenye daftari!

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa concern kutoka kwa wadau mbalimbali kwamba wanafunzi wanatolewa madarasani ili wakaandikishwe kwenye daftari, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Kawaida amejitokeza kutetea sakata hilo. Kawaida alisema kuwa ni sahihi kwa wanafunzi kuandikishwa ili wakapige kura iwapo...
  7. T

    PreGE2025 LGE2024 Wanaume watoe uhuru wanawake kuingia katika uongozi

    Wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kuingia katika uongozi Na Thuwaiba habibu Sheha wa michamvi Khadija hassani haji amewaomba wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kushiriki katika uongozi Ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na muandishi wa habari hizi huko michamvi mkoa wa kusini...
  8. Miss Zomboko

    PreGE2025 LGE2024 Ushiriki wa wanawake katika uongozi si tu suala la haki na usawa bali pia huboresha utawala wenyewe

    Ushiriki wa wanawake katika uongozi si tu suala la haki na usawa bali pia huboresha ubora wa utawala wenyewe kwa kuimarisha utofauti, kukuza usawa, na kushughulikia mahitaji ya raia wote. Wanawake wanaposhika nyadhifa za uongozi, wanakuwa mfano wa kuigwa na wasichana na wanawake vijana...
  9. T

    PreGE2025 LGE2024 Rushwa ya ngono inavyowatesa wanawake wanaotaka Uongozi

    Rushwa ya ngono ni matumizi mbaya ya madaraka ili kujinufaisha kingono visivyohalali au pasipokuwa na makubaliano ya pande zote mbili. Kwa mujibu sheria ya kuzuia Rushwa na Uhujumi Uchumi Zanzibar nambari 5 ya mwaka 2023 kifungu cha 52 kimekataza rushwa ya ngono kwa kumtaka mtu mwengine afanye...
  10. JanguKamaJangu

    LGE2024 Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

    CPA Amos Makalla ametoa angalizo kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA kuwa kimeanza kutafuta visingizio vya kishindwa uchaguzi wakati ambapo hakijajiandaa kabisa na uchaguzi. “unachokipanda ndicho unachokivuna wenzetu wameanza kulalamika tulitegemea haya mana hawakujipanga Sisi Viongozi wote...
  11. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge wa Ngara na Diwani Wamlilia Rais Samia kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge

    Katika mkutano wa hadhara wa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida, Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba Ruholo ameomba serikali kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge. Mbunge huyo amesema kuwa kila walipokuja...
  12. Erythrocyte

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Tarehe 17 Oktoba, 2024 Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Hutakiwi kukosa

    Wakuu Mambo ni Mengi mno na Muda ni Mchache, lakini niwaombe sana kutegea sikio Mkutano huu, Hakika mtapigwa na Bumbuwazi. Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari kesho tarehe 17 Oktoba 2024 saa tano asubuhi, Makao Makuu ya Chama...
  13. JanguKamaJangu

    LGE2024 Dkt. Ananilea Nkya: Wanawake jitokezeni kuwania nafasi za Uongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ikiwa zimebakia siku chache kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Dk Ananilea Nkya amasema kuwa zipo changamoto mbalimbali ambazo upelekea Wanawake kushindwa kuwania na kuchaguliwa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ametolea mfano...
  14. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Waziri Ndumbaro atumia bajaji kuhimiza wananchi kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura Songea

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Oktoba 15, 2024 Manispaa ya Songea ameendelea na zoezi la kuhamasisha wananchi wa manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika vituo vya uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura wa uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024. Katika...
  15. Mindyou

    LGE2024 Ina maana Walimu wanawatoa wanafunzi darasani ili waende wakajiandikishe kwenye daftari? Hii video ya Tabora imenifikirisha sana!

    Wakuu, Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe! Hii ni mkoani Tabora!
  16. Mindyou

    LGE2024 Shinyanga: Mwanafunzi wa miaka 16 akutwa na wakala wa CHADEMA akiwa anajiandikisha kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Apigwa maswali mazito!

    Wakuu, Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura. Baada ya kuhojiwa maswali mawili matatu, dogo kaanza kujing'ata ng'ata. Tukio hili limetokea huko...
  17. Mindyou

    LGE2024 Zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefikia asilimia 45. Tanga yaongoza!

    Waziri wa TAMISEMI , Mohamed Mchengerwa, ametangaza kuwa uandikishaji wapiga kura wa serikali za mitaa umefikia asilimia 45 ya idadi ya watu wanaostahiki kushiriki tangu zoezi hilo lilipoanza tarehe 11 Oktoba 2024. “Kufikia jioni ya tarehe 14 Oktoba 2024, siku nne tangu kuanza kwa zoezi hili...
  18. African businesses

    PreGE2025 Mungu ataikumbuka tena Tanzania 2025, Watanzania wataamua kukiweka chama kipya madarakani

    Leo nimeona niandike kidogo kama sio kutoa ushauri kwa chama kipya kitachopewa idhini na wananchi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania. Kwa ufupi ni kwamba 2025 ni mwaka ambao utalejesha matumaini makubwa kwa watanzania, kwani bahada ya utawala wa muda mrefu wa hiki chama watanzania watahamua...
  19. R

    PreGE2025 Nani anafaa kuwa kampeni meneja wa Mgombea Urais wa CCM 2025?

    Siasa za hoja ufanywa na wana mikakati ambao wanaweza wasiwe wanasiasa ila wanafahamu vyema siasa. Siasa za hoja zinahitaji sana kampeni meneja ambaye ni neutral na mwenye malengo ya Taifa kuliko mwenye maono ya chama. Kampeni meneja mwenye maono na asiyefungamana na upande wowote anaweza...
  20. Tman900

    LGE2024 Kuna la Kujifunza katika Daftari la wapiga kula Uchaguzi wa serikali za mitaa

    Leo nipo Dukani walikuja watu kuni hamasisha nikajiandikishe kupiga kula. Pale Dukani kulikua na watu wengi ila majibu ya baadhi ya watu. Walisema " Nikajiandikishe Ili iweje wakati Uchaguzi wenyewe matokeo mshayapanga, siwezi kupoteza mda wangu, au kuchomwa na Jua" Mtu mwingine akajibu "...
Back
Top Bottom