kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    PreGE2025 LGE2024 Uchumi mdogo kikwazo kwa mwanamke kufikia uongozi

    Bahati Issa Suleimani, mwenye umri wa miaka 51 , mwenye watoto 6 alithubutu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo ya katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika mwaka 1995, na Mwenyekiti wa Umoja Wanawake Tanzania mnamo mwaka 2017. “Katika mwaka 2020 niligombea nafasi ya udiwani...
  2. Mindyou

    LGE2024 Kigoma: Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Vijana ACT Wazalendo ajiandikisha kwenye daftari la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa, ameonyesha mfano wa uongozi kwa kujitokeza kujiandikisha katika daftari la mkazi, akijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba mwaka huu. Soma pia: Lindi: Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Nachingwea: Diwani Veronika Makotha awahimiza wanawake na vijana kujitokeza kujiandikisha na kugombea nafasi za uongozi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Vijana na wanawake msituangushe uchaguzi huu, ruacge kulalamika, tuingie kwenye uongozi na kuleta mabadadiliko tunayoyataka. Hata kama wazee mifuko imetuna, kama tukisimama imara na kuchagua viongozi waliobora rushwa haitapata nafasi ya kuamua kiongozi bora, malalamiko tuyaache kwenye...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Mkuu wa Wilaya Iringa: Mawakala wa Vyama vya Siasa wameridhika na zoezi la uandikishaji wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Bwana Kheri James amesema kote walikopita wilani humo mawakala wa vyama vya siasa hawakuwa na manung'uniko yoyote, wamerdhika kabisa na jinsi zoezi linavyoenda. Sasa kule Chunga na Dar mnakwama wapi kufanya zoezi hili liende kistaarabu kama wenzenu wa Iringa? ===== Ikiwa imebaki siku moja...
  5. Cute Wife

    LGE2024 Mwandikishaji Njombe: Mwitikio wa wananchi kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa ni wa wastani, hamasa zaidi inahitajika

    Wakuu, Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa wastani, na kwamba umeongezeka kidogo baada ya hamasa kuongezwa akiongeza kuwa ni...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Iringa: Lukuvi kutoa Tsh. 500,000 kwa kijiji kitakachoongoza kuandikisha wananchi Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Tumefikia huku, watu tumekuwa wazito kushiriki kwenye shughuli za uchaguzi na siasa kwa ujumla mpaka ka hela kahusike! === Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi ameahidi kutoa zawadi kwa vijiji vitatu...
  7. Cute Wife

    Siasa imeendelea kupenyezwa kwenye michezo bila kujali athari zake mbeleni, mpaka Tanzania tufungiwe ndio akili zitakaa sawa!

    Wakuu, Hivi ndivyo hali ilivyokuwa uwanja wa mkapa katika mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa Oktoba 19, 2024. Vyama vyote vikiamua kuchukua mabango yao kama hivi kuhamasisha mambo ya kisiasa tutafika kweli? Mshawafanya Watanzania waichukie taifa stars kwaujinga huu, sasa mnataka mapenzi...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Hasnain Murji awahimiza wananchi Mtwara kujiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Aliyekuwa Mbunge kwa tiketi ya CCM (2010 - 2015) Hasnain Murji awahimiza wananchi Mtwara kushiriki kwa kujiandikisha katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. Hasnain aliyasema hayo mara baada ya kujiandikisha Oktoba 18, 2024 katika mtaa wa Shangani West, ambapo aliwasihi wananchi na hasa...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Gambo: Ilibidi tumtumie mke wake ndio Lema akakubali kujiandisha, hamasa yetu imefanikiwa

    Wakuu, Ila CCM bana, sasa hili nalo ni jambo la kuita media na kuanza kubwabwaja? Mko na ujinga mwingi! Haya, wacha tuendelee kuangalia maigizo. "Lema mwenyewe amejiandikisha jana na makelel yote yale, ilibidi mpaka tumtume mtu akamtumia ujumbe mke wake ili kumkumbushe ajiandikishe. Hamasa...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Mrisho Gambo: Lema aliniomba nimsaidie kuingia CCM

    Wakuu salam, Msikilizeni Gambo hapa, eti hii ilikuwa siri baina yao, lakini Lema kasababisha hadi Gambo kaitoa nje!
  11. Mindyou

    PreGE2025 Dodoma: Jeshi La Polisi lapigwa msasa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu namna bora ya kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025

    Maafisa wa Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uelewa wao kuhusu sheria zinazohusiana na uchaguzi ili kuepuka ushawishi wa kisiasa wa wanasiasa wanaojaribu kupotosha sheria hizo kwa maslahi yao. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani, alitoa wito huu...
  12. Mindyou

    LGE2024 Albert Chalamila atangaza rasmi ukomo wa muda kwa viongozi wa Serikali za Mitaa jijini Dar Es Salaam

    Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya zoezi la uchukuaji fomu za kugombea uongozi wa Serikali za mitaa kuanza, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametangaza kuwa uongozi wa sasa umefikia ukomo leo tarehe 19 Oktoba 2024. Wananchi wenye nia ya kugombea wamepewa muda wa kujiandaa...
  13. Mindyou

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya: CCM wanajua chama chao kina makundi ya watekaji, wanaogopa kujiunga CHADEMA kwa sababu mnatisha watu

    Wakuu, Naona kama joto la uchaguzi limezidi kuwa la moto na hii ni baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA huko jijini Mbeya kuwavaa CCM na chama chao Masaga Pius Kaloli akiwa anazungumza leo huko jjini Mbeya amedokeza kuwa wanachama wengi wa CCM wanataka kujiunga na CHADEMA lakini wanaogopa kujiunga...
  14. R

    PreGE2025 Uchaguzi wa Tanzania 2025 ni vita vya kijasusi ya mashirika makubwa ya Ulaya, Amerika dhidi ya Russia na Mataifa ya kiarabu

    Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe...
  15. Mindyou

    LGE2024 Arusha: Makonda awakumbusha wananchi umuhimu wa kujiandikisha. Asema kama hujajiandikisha hauna haki ya kulalamika

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara yake ya kuangalia jinsi huduma za uandikishaji wa wananchi wenye sifa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Jumatano, Novemba 27, 2024, zinavyotolewa. Soma Pia: RC Makonda apiga chai na...
  16. Cute Wife

    LGE2024 UVCCM yataka upinzani kuacha kulalamikia uandikishaji wa wanafunzi

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kuacha malalamiko yanayohusiana na uandikishwaji wa wanafunzi wenye umri wa miaka 18 katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Kauli hiyo ameitoa alipokuwa...
  17. Mindyou

    LGE2024 Mnyika ahoji kauli ya Mchengerwa ya kushirikisha Jeshi la Polisi kwenye Uandikishaji wa Wapiga Kura

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameonyesha mshangao wake kufuatia maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, kuhusisha Jeshi la Polisi katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  18. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete ajiandikisha kwenye daftari la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mhe. Salma Rashid Kikwete, ameshiriki katika zoezi la uandikishaji wa wakazi lililofanyika kijijini Ruvu, kitongoji cha Makasini, kata ya Mchinga, Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi. Soma pia: Freeman Mbowe ajiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa Akizungumza na viongozi...
  19. Miss Zomboko

    PreGE2025 LGE2024 Ni Mwanamke gani ungependa kuona akishika nafasi ya Uongozi?

    Wanawake kwenye Nafasi za Uongozi ni mada muhimu inayozungumzia umuhimu wa kuwapa wanawake fursa zaidi katika uongozi na kuondoa vikwazo wanavyokumbana navyo. Jambo hili linaweza kufanikiwa kwa; Kuondoa Vikwazo vya Kijinsia: Wanawake wanakutana na changamoto kama vile ubaguzi wa kijinsia na...
  20. Chachu Ombara

    PreGE2025 Mahakama: Suala la CCM kutumia watoto kwenye Siasa lipo chini ya Mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Mahakama: Suala la CCM kutumia watoto lipo chini ya Mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakama Kuu Masjala Kuu Dar es Salaam (sasa Masjala Ndogo), imejizuia kuamua kama ni halali au si halali kwa Chama cha Mapin duzi (CCM) kuwahusisha watoto wanaojulikana kama Chipukizi katika shughuli za...
Back
Top Bottom