Kada Mzalendo
Senior Member
- Oct 9, 2024
- 142
- 97
Kauli tata za viongozi wa CHADEMA zimeibua taharuki.
Kauli hizo zinaonesha hila za kisiasa na viashiria vya kuibua vurugu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
Benson Kigaila, mmoja wa viongozi waandamizi kutoka chama hicho, ametoa matamshi yanayodai kwamba CHADEMA imepanga kuhakikisha uchaguzi hautafanyika endapo madai yao ya katiba mpya na tume huru hayatatekelezwa.
Katika kauli yake, Kigaila alisema: "Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 hautafanyika. Sio kwamba hatutashiriki ni hautafanyika na wanaotaka kushiriki hawatashiriki. Ni vizuri tukaelewana hivyo, maana mara nyingi huwa mnanikuu vibaya nikisema hautafanyika, mnasema tumesema Chadema hatutashiriki hapana, hata anayetaka kushiriki hatafanya huo uchaguzi."
Kauli hii ni shara ya dhamira mbaya ya kuvuruga uchaguzi na kuhatarisha amani ya taifa kwa makusudi.
Hatua ya CHADEMA kutohamasisha wanachama wao kujiandikisha inaonekana wazi ni sehemu ya mkakati kusambaratisha uchaguzi badala ya kushiriki kwa haki.
Badala ya kujenga hoja za ushindani wa kisiasa, viongozi wa juu wa Chadema wamekuwa wakiwaaminisha wanachama wao kwamba vurugu na machafuko ndiyo suluhisho.
Msimamo huu unazipa mzigo mamlaka za serikali kuhakikisha usalama wa mchakato na kuepusha hatari za machafuko.
Je, CHADEMA ina lengo la kweli kushindana kwa hoja na sera au dhamira yao ni kufanya nchi isitawalike kwa kukwamisha chaguzi?.
Ndugu Mtanzania mwenzangu, hatupaswi kuingizwa katika mtego huu. Tuwakatae wanasiasa wa chama hicho wenye nia ovu ya kutaka taifa letu litumbukie katika machafuko