kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Wanawake Dar kuandaa tukio kusherekea mafanikio ya Rais Samia

    Wakuu, Wanawake Dar mmeamua haya na mi sijui, kuna watu wana siri...nimelia sana:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Wanawake wa jijini Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wanatarajia kuandaa tukio maalum la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

    Wakuu, Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23. Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 TANROADS Mara yamtwisha mzigo Wasira ujenzi barabara muhimu

    Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mara, Eng. Vedastus Maribe, amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, kusaidia kushinikiza Serikali kuu ili kuhakikisha barabara muhimu za mkoa huo zinajengwa kwa kiwango cha lami. Maribe...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Ezekia Wenje aibuka baada ya kudaiwa kuitosa CHADEMA: Nimepigana vita vingi, kushinda na kushindwa ni sehemu ya Safari

    Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama. Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema: "Nimepigana...
  5. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Rais Samia akiitumia Busara na Hekima ya Kimbingu akaachana na ubinadamu, atakubaliana na mimi kuwa "Umakamu/Urais wake ulichaguliwa kwa mpito tu!

    Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?. Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k. Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake...
  6. Waufukweni

    Mbunge Mwita Getere acharuka: Ukiwa Mbunge unakuwa na akili, ukipata tu Uwaziri unajisahau. Rais ameteua mfanyakazi gani?

    Mbunge wa Jimbo la Bunda Vijijini (CCM) Boniphace Mwita Getere amewataka baadhi ya Mawaziri kutimiza wajibu wao kwa weledi ili kuweza kutatua changamoto za wananchi. Getere ameyasema hayo Ijumaa Februari 7, 2025 bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!

    Anaandika Martin Maranja Masese, Mtikila Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu (perdiem) kwa siku ni Sh220,000. Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel: Amuomba Lissu kuhakikisha Conchesta Rwamlaza anarudi Bungeni tena

    Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Feb. 7, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya ampigia debe Conchesta Rwamlaza, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa angetamani kumwona Bungeni kwa mara nyingine tena
  9. Ojuolegbha

    Geita: Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid yawafikia Wananchi 161,154

    Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Mkoa wa Geita imewafikia Wananchi 161,154 ambapo kati ya hao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344. Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE huku elimu ya sheria imetolewa kwenye maswala ya ardhi,ndoa, mirathi, na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makamba: Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 “Sisi CCM...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Issa awaambia CCM hamuwezi kupata kura Konde, 'labda mje mtupige bakora, Sera zenu mbovu'

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu. Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: CHADEMA hawakufanya kampeni, halafu wanadai wameibiwa kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amepinga vikali madai ya vyama vya upinzani kuhusu wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, amesema vyama hivyo, hususan Chadema, vimedai kuwa uchaguzi huo ulikumbwa na udanganyifu uliowanyima ushindi wagombea wao. Hata...
  13. Ojuolegbha

    SI KWELI PreGE2025 Golugwa asema Uimara wa CCM ndani ya miaka 48, CHADEMA wajipange na vyama vya upinzani vimeshindwa kusimamia masuala ya msingi yanagusa watanzania

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara...
  14. Waufukweni

    VIDEO: Baba Levo amshikisha Alikiba bango la Rais Samia, amgeuza Mashine ya kumpamba Samia

    Wakuu Chawa kazini kama kawaida yao tazama Baba Levo alivyomshikisha Alikiba bango la Rais Samia, na kumgeuza Mashine ya kumpamba Samia.
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Hii ndio hazina ya vijana CCM tunaotegemea wawe mfano wa uongozi kwa vijana wengine nchini

    Wakuu Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja. Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo kwa vijana, wamebaki kupiga simu za kujipendekeza kwa Mwenyekiti wao wa CCM na mapambio yasiyo na...
  16. G

    PreGE2025 Zanzibar kura zetu kwa Samia Suluhu Hassan

    Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya hoja kuu ni kuwa mzanzibar kuitawala Tanganyika na kuuza rasilimali za Tanganyika kwa wawekezaji , huku...
  17. R

    PreGE2025 Askofu Gwajima mwaka huu utawadanganya na nini wananchi wa Kawe?

    Sijui mwaka huu tawadanganya na nini? mSIKILIZE 2020 NA AHADI ZAKE
  18. Waufukweni

    PreGE2025 PICHA: Vijana wa UVCCM walivyopiga magoti na mabango ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM

    Wakuu Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi. Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM

    Wakuu Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma, Pia: Rais Dkt...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 VIDEO: Vijana wajipaka matope mwili mzima na kupita mbele ya Rais Samia kwenye birthday ya CCM

    Wakuu Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu! Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma...
Back
Top Bottom