kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu ndiye kiongozi mwenye mvuto zaidi Tanzania, Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa

    Wakuu Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa. Kiongozi huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amejenga sifa ya kuwa kiongozi...
  2. Roving Journalist

    PreGE2025 Ahadi za Watiania nafasi ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ambako pia wananchi watapata nafasi ya kuchagua wabunge watakaowawakilisha kwa miaka mingine 5, tunashashuhudia viongozi wakianza kutangaza nia na kuahidi mabadiliko wakipata nafasi. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  3. L

    PreGE2025 Songwe yabubujikwa na machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia baada ya kupewa Majiko ya Gesi ya Ruzuku

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia ni Chaguo La Mungu,Kwa hakika Mama Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe,Kwa hakika Mama alikuja kulipa Furaha Taifa hili ,kwa hakika Mama alikuja Kwa Makusudi Maalumu Hapa Duniani,Kwa hakika Mama Samia Ana Sehemu yake Katika Mioyo ya watanzania Ambayo huwezi...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Mamia ya Wananchi wa Kiloleni wamlaki Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiwa njiani kwenda Lamadi-Simiyu kwa Mapokezi

    Wakuu Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Pia, Soma: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti...
  5. mwanamwana

    PreGE2025 Waziri Gwajima: Jamii iwape wanawake nafasi na sauti katika uongozi

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii kuwapa wanawake nafasi na sauti katika uongozi, akisema kuwa bila juhudi za makusudi za kuwaunga mkono, usawa wa kijinsia hautafikiwa. Waziri Gwajima ameyasema hayo mkoani Dar es...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche: Mimi na Lissu tutapiga nchi hii haijawahi kutokea. Hatuogopi chochote

    Wakuu, Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13, 2025. Akizungumza huko Tarime, Heche amewahasa wananchi wa Tarime kuiunga mkono CHADEMA kutokana na...
  7. Moaz

    Sababu za Wanachi kuwa wa athirika wa Siasa za ahdai hewa na nini kifanyike?

    Tatizo la wanasiasa kurudia ahadi zilezile kila kipindi cha kampeni ni kiashiria cha mfumo wa siasa ambao haujalenga kutatua matatizo ya wananchi, bali kudhibiti mamlaka na kulinda maslahi binafsi ya viongozi. Hii ni hali inayojitokeza sana katika nchi za Dunia ya Tatu, ikiwemo Tanzania, ambapo...
  8. figganigga

    Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni. Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa. #StrongerTogether
  9. upupu255

    PreGE2025 Wakili Joseph Mahando: Kisheria CCM hawajakosea kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee

    Wakuu Wakili wa kujitegemea Joseph Mahando atoa ufafanuzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya CCM ni kuwa chama hicho hakijakosea hata kidogo kumpitisha Rais Samia kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu 2025 katika ngazi ya urais. Pia, Soma: Aliyefukuzwa...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Mara Heche: Wasira aachane na vijana, afanye mambo ya umri wake

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kuacha kutumia majukwaa kutoa kauli tata ambazo hutolewa na vijana kwani akiendelea kufanya hivyo itampunguzia heshima kutokana na umri...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Mpango: Nimeamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la kumsaidia Rais Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema baada ya kutumika vya kutosha katika nafasi mbalimbali serikalini, ameamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan. Mbali na umakamu wa Rais, amesema amefanya kazi Mamlaka ya...
  13. Ojuolegbha

    PreGE2025 Mzee Wasira apokelewa rasmi Mwanza, ateta na kamati ya siasa ya mkoa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge wa Hai asema Wananchi wanasema Rais Samia apitishwe bila kupingwa kama walivyofanya CCM Dodoma

    Wakuu Wananchi tumekubaliana lini Rais Samia kupita bila kupingwa? Hivi huyu Mbunge anawazungumzia wananchi gani? Au anaongea kwa niaba ya vikao vyao vya kificho? Tena aelewe, si kila anayeshangilia kwenye ukumbi wa chama ni sauti ya Watanzania wote. Kama ana ndoto za kufundisha historia ya...
  15. Ndebile

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime azomewa na Wananchi

    Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime. Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM. Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa. Soma Pia: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hizi sio dalili nzuri kwa Chama...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CCM Ruvuma yatoa pongezi kwa Viongozi waliochaguliwa kugombea Urais katika Uchaguzi ujao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimefanya mkutano maalum na kupongeza azimio la kuwaunga mkono viongozi walioteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. Mkutano huo umefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho, ambae alikuwa...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Zitto: Serikali inaweka vizingiti katika Kesi za Uchaguzi

    Wakuu, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameendelea kufuatilia mwenendo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ambazo chama hicho kimefungua katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza katika Mahakama ya Wilaya ya Hakimu...
  18. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Rais Samia ataenda mpaka 2035? Na kama ataishia 2030, Makamo Nchimbi naye ataishia 2030(miaka 5) au atagombea Urais 2030?

    Haya mambo haya ndio yanafanya MTU akitwae Kiti hata kama ni Kwa Hila. Kama Rais Samia ataishia 2030, Makamo wake atakubali habari zake za Siasa kuishia hapo, na kwa kua atakua keshajijenga, Mkutano Mkuu ukiamua kama ulivyoamua majuzi Mgombea kua Mmoja, itakuaje? Kwa Kumtoa Mh Nchimbi kwenye...
  19. J

    PreGE2025 Wassira: CCM tutaendelea kushika dola kwa kupigiwa kura sio kwa mtutu wa bunduki

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki. Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Nchimbi alipewa onyo kali huku wengine wakifuzwa uanachama kwa kumkataa Magufuli na Samia 2015. Kupitishwa kama Mgombea Mwenza wa Samia ni Mtego?

    Wakuu, Mwaka 2017 Dkt. Nchimbi alipewa onyo kali huku wanachama wengine wakivuliwa uachama kutokana na utovu wa nidhamu kwenye chama baada ya kumkataa Magufuli na kumsapoti Lowasa kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 - Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali...
Back
Top Bottom