kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM

    Wakuu, Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama. Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone. https://www.youtube.com/live/8aNDV9Y2klA?si=CGbtC53BNZ6A5_yt Huyu hapa msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz akiwa anaingia kutumbuiza...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: CCM nia yetu ni kuwapatia Wananchi maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi

    Wakuu Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi. Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika "Sisi, CCM sera yetu ya ki-socialist, nia...
  3. L

    Mnaonaje tubadili katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake 2030?

    Ndugu zangu Watanzania, Katiba siyo msaafu wala siyo Biblia. Katiba yetu ilitungwa na wanadamu ambao ni watanzania kwa lengo la kuwa kama muongozo wa masuala mbalimbali ya kuongoza Nchi yetu. Katiba Ni karatasi tu zilizojaa maneno ya namna gani ya jambo fulani lifanyike na hatua zipi zifanyike...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

    Wakuu Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu? Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao. "Lissu sio size ya Rais, Lissu ni mdogo na Rais ni mtu mzito...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira awaonya CCM: Tafuteni Wagombea wanaokubalika na Wananchi, adai hata tajiri ananyang’anywa mke

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama wa chama hicho kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wanaokubalika na Wananchi katika uchaguzi ujao, Oktaba 2025. Akisisitiza kuwa viongozi ni wa watu na lazima wakubalike na wapiga kura ili washinde...
  6. figganigga

    PreGE2025 Kumekucha CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu waanza kazi rasmi

    CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi. Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao. Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Bon yai na Sugu mambo ya kususa na manung'uniko...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Zanzibar: Katibu Uenezi CCM aridhishwa na zoezi la Uandikishaji wapiga kura

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, Mbeto Hamis amesema zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika Wilaya ya Micheweni, Zanzibar linalomalizika leo limefanyika kwa ukamilifu wa hali ya juu na kwamba wao kama chama, wameridhishwa. Soma, Pia Special...
  9. figganigga

    PreGE2025 Orodha ya Asasi za kiraia zilizopata kibali kutoa Elimu ya Mpiga Kura wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024/2025

    ORODHA YA ASASI ZA KIRAIA ZILIZOPATA KIBALI CHA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2024/2025 JINA LA ASASI YA KIRAIA 1. The Tunu Pinda Foundation 2. Makangarawe Youth Information and Development Centre 3. Save the Community Tanzania 4. Yiaga...
  10. mwanamwana

    PreGE2025 UWT: Tundu Lissu zungumza na Rais kwa staha, vinginevyo...

    Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais...
  11. Mindyou

    PreGE2025 RC wa Manyara Queen Sendiga: Nitashangaa mwanamke unampigia kura mwanaume. Utakuwa umesaliti ajenda ya wanawake

    Wakuu Hivi CCM hamnaga mfumo wa vetting kudhibiti nani ataongelea chama chenu? Hizi kauli mnataka wanaume wazichukuliaje? Na huyu anayejiita Queen ni nani ndani ya chama chenu mpaka awatolee matamko? ====================================== Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Tanga: CCM yachangia madawati Shule ya Sekondari Mgwashi

    Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi iliyopo Korogwe Vijijini Kata ya Mngwashi na kutoa mchango wa shilingi milioni saba (7,000,000) kwa...
  13. W

    PreGE2025 CUF wamtaka Prof. Ibrahim Lipumba aachie ngazi akafanye majukumu mengine nje na siasa, wanadai anaua chama yeye na genge lake

    Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mtwara: Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa manufaa ya CCM

    Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama. Soma Pia: Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza kwenye hafla...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

    Wakuu, Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana. ==== Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?

    Wakuu, Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa? Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki? Pia soma: Kutakuwa na sare ya wanawake...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Kunambi: Waziri nipe kibali nikarabati barabara na Wananchi, serikali mmeshindwa

    Wakuu Joto kuelekea Uchaguzi == Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi ameiomba serikali kumpa kibali ashirikiane na wananchi kukarabati miundombinu ya barabara katika jimbo la Mlimba ambayo serikali imeshindwa kukarabati. Kunambi ameyasema hayo wakati akichangia hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Wagombea Urais Tanzania na Zanzibar kutambulishwa Februari 5

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 katika maadhimisho ya miaka 48 ya Chama hicho February 05,2025, uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Taarifa...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Wasafi Media ishakuwa media ya CCM, wame-brand magari yao kwa rangi za CCM, kuelekea miaka 48 ya chama hicho

    Wakuu Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa? Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na kuepuka kuegemea upande wa kisiasa ili kudumisha uaminifu na uwajibikaji...
Back
Top Bottom