kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rukwa: Aliyekuwa Katibu wa CCM Tawi la Kalepula auawa kwa kukatwa kichwa. Wanne washikiliwa

    Watu wanne mkoani Rukwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kumuua kwa kumkata kwa panga ndugu yao Mashaka Sichone, mkazi wa kijiji cha Kalepula, wilaya ya Kalambo ambaye alikuwa Katibu wa CCM Tawi la Kalepula. Baada ya kufanya ukatili huo walitenganisha kichwa na kiwiliwili kisha...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jolam Hongoli: Ubunge siyo kujua kusoma na kuandika pekee

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha kufikiria kuwa ili uweze kuwa Mbunge unapaswa kujua kusoma na kuandika tu kwa kuwa kazi hiyo ya uwakilishi ni...
  3. M

    PreGE2025 Tuseme ukweli wa Mungu upinzani wasipogangana baadhi ya vifungu vya uchaguzi vikabadilishwa nayaona ya 2020

    Mimi kama mtumishi wa serikali nimesimamia uchaguzi toka 2010 mpaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa. Mwaka 2020 wakurugenzi walitukusanya wasimamizi wakuu na kutupa muongozo na utaratibu wa nini kinatakiwa kufanyika. Msimamizi mkuuu unaelezwa kinaga ubaga mgombea wa CCM ngazi ya...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Diwani Maganga: Bora nikose Udiwani kuliko Silaa kukosa Ubunge!

    Wakuu, Kazi kwelikweli, uchawa unatumaliza! ==== Diwani kata ya Zingiziwa, Maige Maganga amewataka Viongozi na Wananchi wa Zingiziwa na Jimbo la Ukonga kwa ujumla kujivunia uongozi wa Mbunge wao, Mheshimiwa Jerry Silaa kutokana na maendeleo makubwa aliyoyaleta katika jimbo hilo tangu awe...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo: CHADEMA haiwezi kushindana na CCM majukwaani

    Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo Hamis Abeid Baruani ameiomba serikali kutoa uhuru wa kufanyika kwa siasa za majukwaani ili Chama Cha Mapinduzi CCM kiweze kushindana kwa hoja na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na hatimaye kuweza kuwashinda katika majukwaa na hata...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu UVCCM Dar: UVCCM acheni kujiita usalama wa taifa jambo ambalo sio sahihi

    Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar Es Salaam Hussein Egobano amewataka vijana wa umoja huo kufanya kazi ya kukijenga chama na kuacha kujiingiza kwenye kile alichokiita harakati za CCM. Akizungumza leo Februari 01, 2025 katika Kongamano Maalum la Vijana Kuelekea...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 UWT Mufindi wagusa mioyo ya Watoto wanaolelewa katika kituo cha Jerusalem

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Mufindi umeiomba Jamii kuwa na mioyo ya upendo na huruma kwa waishio katika mazingira magumu kwenye maeneo wanayoishi. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa (UWT) Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Bi.Marcelina Mkini wakati wa maadhimisho ya miaka 48 ya...
  8. A

    PreGE2025 Mfumo mpya wa kupiga na kuhesabu Kura

    Habari wakuu. Hili ni pendekezo kwa serikali na wadau binafsi kuelekea uchaguzi mkuu mwezi october Kutokana na changamoto ya miongo mingi na malalamiko ya wananchi, mataifa ya nje ya africa, africa na hata majilani ndani ya east africa kuwa uchaguzi haufanyiki tanzania kwa haki, isipokuwa ni...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Pwani: Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kufanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
  10. W

    PreGE2025 Wasomi wanaomsifia Rais Samia wasema wanachukizwa kuitwa chawa, wasema wao ni watu wenye akili timamu

    Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko. Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago ambaye pia ni Msomi wa chuo kikuu akiambatana na wanafunzi wa vyuo mbalimbali amesema...
  11. Waufukweni

    PICHA: Wabunge wakishiriki shindano la kula kwenye Bunge Bonanza 2025

    Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025. Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  13. Waufukweni

    Mahinyila: Polisi wanatugonga virungu kwasababu wana stress, CHADEMA hatujawahi kuwa maadui wa Polisi

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila amesema hatakuwa tayari kuona wananchi wanaonewa kwa mambo mbalimbali kama kutozwa kodi na kukamatwa na polisi 'kiholela' hivyo atapambana ili kujenga kuheshimiana kati ya wananchi na mamlaka. Mahinyila...
  14. Tlaatlaah

    PreGE2025 Wabunge wengi wa CCM majimboni kwao hali ni shwari sana, asilimia kubwa ya wanazuoni wenye vyeti muhimu kitaaluma kutetea viti vyao kiulaini

    Wanaokusudia kutetea nafasi zao kwa kutegemea pesa, bila kua na hoja mahususi, kuibua au kuchangia mijadala yenye maslahi mapana kwa wananchi wao majimboni na Taifa kwa ujumla, hali ya thank you iko wazi kabisa miongoni mwao kutoka kwa wananchi wanao wawakilisha. Na wote hao watakua replaced na...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Hashim Rungwe: Watoto wengi wanaofeli hawapati Ubwabwa shuleni

    Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia
  16. Chifu mkuu

    PreGE2025 Wamasai Monduli wampongeza Rais Samia kupitishwa na Chama, Wapinga madai ya fidia ya eneo la mazoezi ya Kijeshi

    Viongozi wa jamii wa kimasai Malaigwanani Zaidi ya sabini katika wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wametoka tamko la kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kumpitisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais mwaka 2025, Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza Pamoja na kumpata...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: Mabeberu na Vibaraka wao wanataka kuleta Ushoga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo. Akizungumza Januari...
  18. Waufukweni

    Wabunge Mashabiki wa Simba, Yanga kuumana azania bank Bunge bonanza

    Benki ya Azania bank plc kwa mara nyingine imedhamini Bonanza la Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania litakalowakutanisha wabunge mashabiki wa timu za Simba na Yanga litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya shule ya John Merlini, Dodoma. Soma: Siasa kuingia kwenye michezo na...
  19. mama D

    PreGE2025 Mzee Wasira: CHADEMA wapo honeymoon

    Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho...
  20. F

    PreGE2025 Watanzania tunataka kura zetu zihesabiwe wazi wazi

    Njia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi. Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane. Hili...
Back
Top Bottom