BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 1.7B UJENZI OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa mgawanyiko ndani ya CHADEMA unazidi kudhoofisha nafasi ya chama hicho kushindana na CCM katika uchaguzi ujao, akisisitiza kuwa hadi sasa hakuna chama mbadala chenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho.
Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga...
Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
Wakuu,
Majuzi kuna mdau aliweka uzi kuhusu mitungi ya gesi kugaiwa kwa masharti ya kutoa namba ya nida - Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti lao uwape namba yako ya NIDA
Tunajua taarifa za nida zinatumika sehemu nyingi ikiwepo na kwenye...
Wakuu,
Asubuhi ya Jumamosi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa aliweka pandiko kwenye account yake ya Insta iliweka lebo kwenye gazeti la Nipashe "SIO KWELI (MISINFORMATION)" na kuongeza maelezo kuwa; PUUZENI UPOTOSHAJI HUU WA TAARIFA ZA DAWA ZA KUFUBAZA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV). Dawa haziuzwi...
Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete
Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa vijijini kupitia kwa Katibu wake Sure Mwasanguti wametoa onyo kali na la mwisho kwa baadhi ya watia Nia wa nafasi ya Udiwani na Ubunge wanaojipitisha katika Kata na Majimbo na kujitangaza na kuomba ushawishi kwa wajumbe kabla ya muda kutangazwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali.
Soma: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA
Amesema CCM inamipango...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano katika kuhakikisha kinaheshimu utu wa watu na kufanya kazi kwa kufuata misingi yake.
Soma: Dkt...
Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan lakini pia zitumike kuhamasisha zoezi...
Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena
Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge wa Jimbo la Muheza katika mwaka huu wa Uchaguzi 2025 ili kuendelea kuwaletea Maendeleo Wananchi wa...
Wakuu
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa CCM Taifa ambalo liliwachagua na kuwapitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Jamhuri...
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan alitumia njia ya maridhiano kuwapa upofu kwa muda wapinzani ili aweze kujipanga kukabiliana nao.
“Kumbe Mheshimwa Rais alikuwa anatuhadaa kwa hiyo Rais akataka kwanza awe na kipindi cha kutokusumbuliwa ili aweze...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi uliofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo jijini...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.
Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.
Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi...
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi upande wa CCM kila wakifanya mkutano kiongozi husika anapotishwa bila kupingwa kienyeji ama anaombewa kisayansi kupitishwa bila kupigwa!
Ilianza kwa Samia na Mwinyi, Diwani akataka Silaa apitishwa bila kupingwa, Rufiji nao wakampitisha Mchengerwa bila kupingwa na...
Wakuu,
Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo:BearLaugh::BearLaugh: anasema eti amekuja kuona utekelezaji wa Irani ya CCM na mbunge ametende kweli kweli na kwamba hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.