kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sergio 5

    JamiiForums Tanzania CCM nini kinawashinda kutuwekea free and fair election?

    Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA? KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM? Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na ubinadamu Mkifanya uchaguzi fair sio tu mtashindwa msiogope kushindwa mtaleta maendeleo Wananchi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alikiba aja na mashindano ya kumpigia debe Rais Samia 'Samia Celebrities and Companies Cup'

    Wakuu Machawa wa Samia hawapoi Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ametangaza kuanzisha mashindano maalum yanayojulikana kama Samia Celebrities and Companies Cup, yenye lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya michezo na burudani nchini. Kupata taarifa na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtandao kusuasua siku mbili hizi ni njama ya kuzuia kampeni ya Tone Tone kuichangia CHADEMA?

    Salaam Wakuu, Toka kampeni ya Tone Tone izinduliwe kumekwa na changamoto ya mtandao ambao haieleweki eleweki. Wakati wameshazindua na wakawa wanaitana mbele kila mmoja kuhamasisha watu wake, commentszilikuwa zinapita chini baadhi wakisema miamala inakataliwa, mara inakaa pending muda mrefu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa bodaboda Arusha wasema wana mashaka na Gambo sakata la Milioni 400

    Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda. Hatimaye viongozi wa boda boda na wao wamaeeleza kuwa wana mashaka na Gambo kwenye upotevu wa pesa hizo na kwamba...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nanauka Foundation yakabidhi kadi za bima ya afya kwa wazee 204, Mtwara

    Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani. Zoezi hilo limefanyika katika Kata ya Chuno, Mtaa wa Ligula B, likihudhuriwa na Wazee kutoka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawakili wa Samia Legal Aid kusimamia kesi za wananchi mahakamani

    Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtandao umekuwa wa kimagumashi mpaka utumie VPN kuna nini?

    Wakuu, Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani? Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama? Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena. Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Kuanzia kesho (Machi 3) kila Mwanaume hapa Arusha am-post mpenzi wake

    Wakuu Huko Arusha, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amesema kuanzia Jumatatu Machi 3, mpaka Machi 7 kila Mwanaume wa Arusha am-post mpenzi au mke wake kwenye mitandao ya kijamiii kuonesha upendo. Na ukiona haujapostiwa basi uende ukafanyiwe maombi tarehe 8 siku ya Wanawake. Wazee wa Challenge...
  9. Ileje

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms, No Election, kabla, wakati na baada ya uchaguzi Mkuu 2025

    Katika siasa za Tanzania, mada ya uchaguzi na mabadiliko ya kisera inaendelea kuwa na umuhimu mkubwa. Chadema, chama kikuu cha upinzani, kimekuja na kauli mbiu inayosema "No reforms, No election." Hii ni hatua ambayo imejidhihirisha kuwa ni mradi mzuri lakini una changamoto nyingi ambazo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Machawa kuna ujumbe wenu huku

    Hawa watu wamekua kero sana.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: Zaidi ya watu 120,000 wanufaika Samia Legal Aid

    Kamati ya msaada wa Kisheria imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli hiyo iliyodumu kwa muda wa siku 10 ndani ya mkoa wa Lindi tangu ilipozinduliwa Februari 19, 2025 wilyani Ruangwa na Mhe. Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupata taarifa na matukio...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Singida kusherehekea siku ya wanawake duniani kwa kugawa mitungi ya gesi

    Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni hatua kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia mkoani hapa. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: REA waendelea kusambaza mitungi za gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku

    Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Manjis Logistics Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Tanga kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa vyake katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji. Hayo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuwashughulikia wanaojipitisha majimboni kutaka ubunge. Rais Samia na Dkt. Mwinyi pekee nafasi zao zimejazwa

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa onyo kwa watu wote wanaojipitisha katika majimbo kutaka ubunge kabla ya muda sahihi, hivyo kitawashughulikia. Akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya CCM Wilaya ya Newala mkoani Mtwara Machi 1, 2025, Katibu wa Organizesheni wa chama hicho, Issa Ussi Gavu...
  17. Bezecky

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema yapigilia msumari masharti ya kushiriki kwao, wakisisitiza 'No reform, no election'

    https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akisisitiza kuwa chama hicho kilikumbwa na majeraha makubwa wakati wa kampeni za...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mshindi wa Pilau la 'Mama Samia' Kigamboni apewa zawadi ya Mtungi wa Gesi na Kiwanja

    Wakuu Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mahida Waziri Amekabidhi zawadi ya Mitungi ya Gas kwa kutoka kampuni ya Taifa Gas na Kiwanja kwa washindi wa shindano la Kupika Pilau la Mama Samia Ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono Kampeni ya Mama Samia ya Kumtua mama mzigo wa kuni...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia hazijui 4R zake mwenyewe, Reform anayosema Mh.Lissu ni kati ya zile 4R!!

    Hii nchi na viongozi wake wanasikitisha sana. Moja kati ya 4R alizokuja nazo Rais Samia ni Mabadiliko (Reforms). Samia alisisitiza mabadiliko katika sekta mbalimbali ili kuboresha maisha ya wananchi. Katika maendeleo na maisha ya wananchi huwezi kuweka pembeni Siasa. Siasa ndio inaamua hatma ya...
  20. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je! Kuchangia chama ni lazima?

    Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama? Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa...
Back
Top Bottom