kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja awaomba wananchi wakajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja amewaomba wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishwaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura lengo likiwa ni kuhakikisha wanakwenda kuwapigia kura viongozi wanaowahitaji katika jamii na nchi kwa ujumla Mhe. Ayoub ameyasema hayo leo...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa UVCM Dar awaonya vijana wa CCM kuhusu kujigawa kimakundi wanapoelekea kwenye Uchaguzi

    Wakuu, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Hussein Egobano, amewasihi vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiepusha na makundi ya uchaguzi na badala yake waendelee kudumisha mshikamano na umoja ndani ya chama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Egobano ameyasema hayo tarehe 26...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbeya mjini Tulia Akson agawa Bima za Afya kwa Wananchi 9000

    Ikiwa ni msimu wa sita kwa Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt. Tulia Akson kugawa bima na mahitaji muhimu kwa kaya 1500 sawa na wazee 9000 wa Jiji la Mbeya, Dr Tulia amewataka wenyeviti wa mitaa ya Halmashauri ya...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ametoa zaidi ya TSh. Milioni 26 kwa Wahanga wa ajali Mbeya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 20 kwa familia nne za marehemu wa ajali iliyotokea Februari 25, 2025 jijini Mbeya na kukabidhi milioni 6 kwa majeruhi sita wanaoendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya. Salamu...
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Katibu wa mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA (chaso) Elia Mlewa atimkia CCM, apokelewa na Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Dar

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es salaam ndugu Ally Bananga akimpokea kada wa Chadema aliyehamia CCM Ndugu Elia Benadin Mlewa alikuwa akihudumu nafasi ya katibu mtendaji wa Mtandao wa Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu wa Chadema (CHASO) Mkoa wa Dar Es salaam pamoja na nafasi ya Katibu wa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kihongosi: Tunasimamia haki na kutatua kero za wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi pamoja na kusimamia fedha za miradi ya maendeleo katika mkoa huo Kenani Kihongosi amesema hayo...
  7. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wakati sahihi Dkt. Slaa kutuambia nani alimpiga risasi Lissu

    Kipindi Mzee Slaa alipoulizwa ni nani alimpiga risasi Lissu, akasema ni Chadema wenyewe na Lissu anajua. Imepita takriban miaka nane Slaa anatuambia yupo tayari kurejea CHADEMA. Je, ni nani alimpiga risasi Lissu? Ni wakati mzuri wa Dkt. Slaa kutupa yale majibu yake. Pia soma Dkt. Slaa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Bumbuli: Hakuna wa kumtoa Januari Makamba labda aache mwenyewe

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga, linaloongozwa na Mbunge Januari Makamba, wameeleza shukrani zao kwa Serikali kwa kuwafikishia miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia mbunge wao, ikiwemo huduma za umeme, maji, na ujenzi wa zahanati. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai aunga mkono jitihada za Lissu na CHADEMA, atinga kwenye Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali 'Tone Tone'

    Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama. Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
  10. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuyaaga mashindano kwenye kinyang'anyiro cha Urais? Kakosea na kumuita waziri Mh. Rais, apata kigugumizi

    Chawa wa mama salamaaa? Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Uchawa unazorotesha Uwajibikaji? Ipi ni namna bora ya kuhakikisha Uwajibikaji unakuwa sehemu ya Utamaduni wa Kisiasa?

    Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums 'Washtue' ndugu, jamaa au marafiki ili wawe sehemu ya Mjadala huu muhimu kwa 'kesho' ya Nchi yetu. Washiriki...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

    Wakuu Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff, sasa maandalizi ya Mkutano huo Mkubwa wa chama hicho yanaendelea Makao Makuu, Mikocheni...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri ya Nachingwea yakabidhi Mifuko 91 ya Saruji kwa Mfiwa wa ajali ya Moto

    Ofisi ya mkurugenzi halmshauri ya wilaya ya Nachingwea februari 26,2025 imekabidhi mifuko ya saruji ipatayo 91 kwa Zuhura Mshana aliyepoteza watoto wawili na wajukuu wawili katika ajali ya moto iliyotokea febuari 15 mwaka huu wilayani Nachingwea mkoa Lindi. Akikabidhi saruji hiyo kaimu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yadai kuzuiwa kufanya Mkutano katika kumbi za Hoteli ya Sea Cliff, uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025 Dar

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amedai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Lema amesema walipata taarifa kuwa ukumbi waliokuwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Dalili mojawapo ya umasikini ni majungu na fitina

    Vita ya makonda na Gambo inaendelea kupaba moto huko Arusha, Makonda adai dalili mojawapo ya umasikini ni fitina na majungu. Yanini kupanda fitina, fitina, fitina huu ushirikina mtaacha lini jamani? Sababu unajua dalili mojawapo ya umasikini ni majungu, fitina, yani ukikuta sehemu kuna fitina...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Waziri mkuu awasema viongozi wanaojipanga na kugombania vyeo

    Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhubiri amani na mshikamano, akisisitiza kuwa migogoro mingi ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mara yaunga mkono, No reform No election

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimetangaza msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi hadi pale masuala kadhaa yahusuyo haki na usawa wa uchaguzi yatakapotatuliwa. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Mashauriano la Chadema Mkoa wa Mara kilichofanyika wilayani Butiama...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa mnanyanyasa watoto kwa kuwamezesha uchawa na propaganda zenu. Watetezi wa haki za watoto mko wapi?

    Wakuu, Vitendo vya kuwaingiza watoto kwenye uchawa vinaongezeka kwa kasi sana, CHADEMA walianza kule Mbeya ila baada ya spana za wananchi naona walijifunza. Mbali na kuwaweka watoto kwenye chipukizi sasa watoto wanaaza kukaririshwa uchachawa na kupenyeza ajenda za wanasiasa, hii siyo sawa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA na wana Muheza wamzawadia Rais Samia Ng'ombe 10 na vifurushi vya Hiriki, Mdarasini, Pilipili Manga kwa ajili ya kuogea

    Huko Tanga ni mashindano tu yakutoa zawadi kwa Rais Samia == Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, pamoja na wananchi wa Muheza, wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan Ng’ombe 10 pamoja na vifurushi vya viungo vya asili vya hiriki, mdarasini na pilipili manga. Kupata taarifa...
Back
Top Bottom