kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Kijana wa Kigoma achora tattoo ya sura ya Waziri Mkuu, Majaliwa kifuani mwake

    Wakuu Costa Boy amesema hana mpango wa kuifuta tattoo aliyochora kwa upendo wake kwa Waziri Mkuu Majaliwa == Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa? Kijana mmoja maarufu kama Costa Boy, kutoka Kigoma ameibua...
  2. W

    PreGE2025 Odero: Leo hii Mbunge akisimama kuzungumza Bungeni jambo la kwanza ni kumshukuru Rais kwa kuleta Fedha, Fedha za umma zimegeuka Mali za Rais

    Wakuu aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA Taifa, Odero Odero alipofanya mahojiano na Edwin Odemba amegusia suala la wale wa kila jambo tunamshukuru mama, tunamshukuru Rais, yani hotuba anaijaza shukrani lukuki kuliko hoja za msingi. ==== “Leo hii Mbunge akisimama kuzungumuza...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Tetesi: Kinondoni patachimbika! Wanaotaka Ubunge kibao, yumo Iddi Azzan, Tarimba na mjukuu wa Bakhresa

    Wakuu Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa...
  4. Bams

    PreGE2025 Serikali Za Mitaa Ilikuwa Sauti Ya Mungu Kudhihirisha Uharamia wa CCM. Watanzania Tuamke

    Kuna wakati, mambo mabaya hutokea yakiwa yamebeba dhamira njema. Watu wa imani wanalifahamu hili. Yawezekana ukawa unataka kusafiri kwa basi, usiku ukaugua ghafla, ukasikitika sana kwa sababu hutaweza kusafiri. Lakini basi hilo hilo ulilotaka kusafiri nalo likapata ajali. Wewe ukawa umesalimika...
  5. Lord Denning

    PreGE2025 Maswali yangu kwa Wanaosema No Reform No Election haitafanikiwa

    Nawaona CCM na vibaraka wao wanapiga kelele sana kudai No Reform No Election haitafanikiwa kwa sababu vyovyote vile hakuna Watanzania watakaoweza kuwaunga mkono CHADEMA. Kelele hizi zinapigwa ili kwanza kuwakebehi Chadema na kuendeleza Propaganda za kuwarubuni Watanzania ili waendelee kuwa...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam. Pia, Rais Samia amepata fursa ya kuzungumza na watoto hao.
  7. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, azindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa

    Wakuu Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na kupunguza changamoto ya ajira. Kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula Wezesha Foundation, ambayo...
  8. Just Pray

    RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. Telack ametoa wito huo mapema alipotembelea kukagua ujenzi wa shule na miundombinu hiyo ya elimu yenye thamani ya Bilioni 7.8 Soma pia: Pre...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

    Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka...
  10. Mindyou

    PreGE2025 Chama cha NLD chatangaza kushiriki Uchaguzi Mkuu. Katibu atangaza chama kitagawa fomu bure kwa wataotaka kugombea

    Wakuu, CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Aidha chama hicho kimetangaza neema kwa wagombea...
  11. B

    Mbunge Samizi awa mgeni rasmi Siku ya Wanyamapori, apanda miti na kutoa milioni 1 kwa wanafunzi kuwahamasisha kupanda miti

    Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe amekua Mgeni Rasmi kwenye uzinduzi wa kuelekea maadhimisho ya kumi na moja {11 ya siku ya Wanyamapori Duniani ambayo kitaifa yanafanyika leo Tarehe 3 Machi 2025, Kitaifa Jijini Dodoma. Uzinduzi huo umefanyika shule ya sekondari...
  12. G Sam

    PreGE2025 Rais Samia na CCM yenu msifurahie kamwe ombwe hili la uchawa lililotamalaki, kama nchi tumepoteza pakubwa

    Kuna namna nchi yetu ipo jalalani tena pakubwa mno. Jana nilipoona mjadala kati ya Chadema na wahariri wa vyombo vya habari nikajikuta nakumbuka haya: 1. Hivi mara ya mwisho kuwa na mjadala wa aina hii ilikuwa lini? Ipo wapi mijadala ya Enzi za Ukumbi wa Nkurumah, enzi za kina Shivji kina Slaa...
  13. Mindyou

    PreGE2025 Video: Huyu kijana wa UVCCM ametoa wapi nguvu ya kumkanya Tundu Lissu namna hii? No Reform No Elections inawauma sana CCM

    Wakuu, Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu. Kijana mdogo kama huyu anapata wapi nguvu ya kuiita CHADEMA chama cha Kicoba? Confidence hii anatoa wapi...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti CCM, Kibiti: Tusicheke na yeyote anayetaka kupunguza Kura za CCM

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kibiti kusimama kidete na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kutafuta kura za Urais kwenye kila eneo la Wilaya Kibiti. Ndaruke ametoa rai hiyo...
  15. McLaren

    PreGE2025 Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

    Wanabodi, Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea? Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia. Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango...
  16. upupu255

    SI KWELI PreGE2025 Lissu amesema wanasitisha msimamo wao wa no reform no election

  17. Robert Heriel Mtibeli

    Kwako Lissu; Kwenye public speeches na Live interviews kunahitaji Sanaa ya kuusema ukweli na kuepuka UKALI wakati usio sahihi ili kushawishi watu

    Hamjamboni wote! Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala. Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu. Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo. Hapa kuna...
  18. upupu255

    PreGE2025 Bingwa wa Kitila Jimbo Cup apewa Bajaj, msimu ujao zawadi kuboreshwa

    Wima FC kutoka Mburahati Barafu imeibuka bingwa wa Kitila Jimbo Cup baada ya kuifunga Baruti FC kutoka Kimara kwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa uwanja wa Kinesi, Shekilango, Ubungo. Kitila Jimbo Cup ni mashindano yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ubongo ambaye pia ni Waziri...
  19. upupu255

    PreGE2025 Prof. Lipumba: Tumeshajeruhiwa na Muungano wa Vyama vya Upinzani

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa maridhiano ndani ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara na kuwajeruhi, na kwamba wamejifunza kutokana na yaliyotokea kipindi cha nyuma. Akizungumza na Wanahabari Lipumba amesema kuwa kuna watu wanaotafuta...
  20. upupu255

    PreGE2025 Waziri Gwajima ashauri Siku ya Wanaume itambuliwe rasmi Tanzania

    Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia,wanawake na makundi maalum Doroth Gwajima amesema kuwa serikali inampango wa kuifanya siku ya wanaume duniani 19 november kuwa rasmi kwa maadhimisho ya siku hiyo. Dkt Gwajima ameyasema hayo mkoani Geita katika kongamano la kuelekea kilele cha maadhimisho ya...
Back
Top Bottom