kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    PreGE2025 Mbunge Katambi ashiriki na Wananchi ujenzi wa Zahanati Ibanzamata, achangia milioni 10

    Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu,ameshiriki na wananchi ujenzi wa msingi wa Zahanati ya Ibanzamata,pamoja na kuchangia Sh.milioni 10. Ameshiriki ujenzi wa msingi huo leo akiwa...
  2. upupu255

    PreGE2025 Shule mpya 71 zajengwa Geita miaka minne ya Rais Samia

    Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan lengo likiwa kuwaondolea wanafunzi adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta elimu. Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigella, ameyasema hayo wakati...
  3. upupu255

    PreGE2025 Vijana Kilosa waitwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura

    Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  4. sonofobia

    PreGE2025 Wenje: Tunahitaji kuwa kama Zelensky, tutapinga udikteta uchwara ndani ya CHADEMA

    Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa.
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Zanzibar: Polisi wakanusha taarifa ya Mjumbe wa Kamati Kuu ACT kudaiwa kutekwa na vyombo vya ulinzi, wasema alikamatwa na kuachiwa kwa dhamana

    Wakuu, Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji katika Daftari la kudumu la Tume ya Uchaguzi Zanzibar -ZEC. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  6. figganigga

    PreGE2025 Ummy Mwalimu (Odo) wa sasa si wa miaka ya Kikwete. Maisha ni mafupi sana

    Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko. Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/yU7aLIfGklo?si=e92RxILwhAd_xAwv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi...
  8. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 1, 2025, ametembelea Bandari ya Tanga kukagua maboresho...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia anamwaga tu pesa. Ampa TSh. Milioni 2 Dulla Mbabe licha ya kudundwa

    Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla Mbabe ambaye amepoteza pambano lake dhidi ya bondia kutoka Zambia. Akizungumza katika tukio hilo...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 RC Chalamila: Simameni imara kumwombea Rais wetu, huwa inaniuma sana viongozi wa dini kusemana

    RC Chalamila akiongea katika Kongamano la maombi ya kuliombea Taifa pamoja na kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalofanyika katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam usiku huu.
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Sophia Simba: Wanawake waliokaa muda mrefu kwenye Viti Maalum waachie nafasi kwa vijana

    Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa wanawake katika siasa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Februari...
  12. Mindyou

    PreGE2025 Picha: CCM hawa Wachina ni wapiga kura wenu? Kwanini mmewavalisha Tshirt za Rais Samia?

    Wakuu, Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni. Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu. Hapa ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni huko mkoani Tanga...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 CCM Arusha yapinga Madiwani kumpigia Debe Makonda, yatoa Onyo kali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuheshimu viongozi waliopo madarakani hadi muda wao utakapokamilika rasmi kwa mujibu wa kalenda ya chama. Ameyasema hayo hii leo February 28, 2025 alipozungumza na waandishi wa...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Heche: Wapo wana CCM wanaounga mkono 'no reforms no election'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wapo baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaounga mkono kauli ya chama hicho ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi inayojulikana kama 'no reforms no election'. Akizungumza katika mahojiano na chombo kimojawapo cha habari nchini Heche...
  15. upupu255

    PreGE2025 Samia: Natamani kuirudisha Tanga ya Viwanda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda. Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani, alipohitimisha ziara yake ya siku sita, Rais Samia amesema kuwa...
  16. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga

    Rais Samia akihutubia wananchi Uwanja wa Mkwakwani-Tanga Februari, 2025 https://www.youtube.com/live/Lqk6B8qSCoI?si=2Z5y6iUkJ_BXBm31 Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya...
  17. upupu255

    PreGE2025 Maimuna Pathan akabidhi milioni 2 kusaidia ujenzi wa nyumba ya mtumishi UWT na Mitungi ya Gesi 68 kwa Wakazi wa Liwale

    Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, mapema jana Februari 27, 2025, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 2 kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Liwale katika jitihada za kuhakikisha Watumishi wanaishi katika makazi bora. Vilevile Mheshimiwa Pathan (Mb)...
  18. W

    PreGE2025 Heche asema CHADEMA wana mpango wa kujenga chuo cha siasa

    Heche amesema wana mpango wa kujenga miundombinu mbalimbali katika eneo lenye hekari 130 karibia na Kibaha. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni kumbi na vyuo. "Tunataka watu wetu tuwa train pale kuhusu politics, policies za chama chetu, mabadiliko N.k" John Heche Kupata taarifa na matukio ya...
  19. W

    PreGE2025 Heche: Tunataka kujenga taifa la watu wanaojitolea ili wawe na nguvu ya kuhoji

    Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama "Tunataka kujenga jamii ya watu ambayo amabo wanajitolea, wanaifuatilia, wanaisimamia serikali, wanasimamia vyama vya saisa" -...
  20. upupu255

    PreGE2025 UVCCM Geita, wamewataka Wabunge na Madiwani wasijihalalishie Mitano tena

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imewataka baadhi ya Wabunge pamoja na Madiwani wanaojipitisha katika Maeneo mbalimbali na kuhalalisha mitano tena kupitia nafasi zao kuacha mara moja kwani ni kosa kwa mujibu wa taratibu za Chama. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Back
Top Bottom