kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji ataka Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu liungwe mkono na wadau pamoja na Serikali

    Mchungaji wa Kanisa la Tanga Pentecostal Asemblies of God (TPAG) la jijini Tanga, Jeremiah Kihali, ametia neno kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Akiongea baada ya ibada ya Jumapili iliyopita, Mikanjuni jijini hapa, Kihali alisema anatoa wito kwa wadau wa amani na serikali kwa ujumla wake...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Wapinzani wakisusia, uchaguzi sisi twala

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM taifa Bw. Mohammed Ali Kawaida amesema wapinzani hawajajipanga na hawana ushawishi wa kusimama na wagombea wateule wa urais CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Ally Mwinyi na mgombea mwenza wa urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira aipa siku 14 kampuni ya GDM kuwalipa wakulima wa kahawa Rungwe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa Kahawa wa wilaya ya Rungwe ndani ya siku 14, baada ya malalamiko ya wakulima hao kuwasilishwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Machi 18, 2025, katika stendi...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli mbiu ya ccm ya 'kazi na utu tunasonga mbele' inalenga kuwaunganisha watanzania kama familia moja kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025

    Ni muendelezo wa nia na dhamira njema ya CCM na mbeba maono wa waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa kua imara zaidi katika umoja, amani na mshikamano, na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote. Kwa wakazi wa mkoa wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa amtaka mkandarasi wa daraja la Mbande kuongeza kasi ya ujenzi

    Waziri wa Nchi, OFISI YA RAIS TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi ya ujenzi wa Daraja la Mbambe lenye urefu wa mita 81 ili likamilike kwa wakati na kuondoa adha inayowakabili wananchi wa Wilaya ya Rufiji. Mhe. Mchengerwa akitoa...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Kibamba Issa Mtemvu aboresha taarifa zake kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Wilayani Ubungo, Dar es Salaam, Issa Jumanne Mtemvu amejitokeza Katika Kituo cha Kibwegere Shule, Mtaa wa Kibwegere Kata ya Kibamba mkoani Dar es Salaam kŵa ajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zake katika Daftari la kudumu la Mpiga kura ili aweze kupata fursa...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaani mwanamke akatae kuolewa kisa Tone Tone? CHADEMA kama lengo lilikuwa Muongelewe na sio Michango mmefanikiwa!

    Wakuu, Nimeangalia tangazo la Tone Tone kwakweli nimebubujikwa machozi ya huzuni! Mmefikaje huku? Mlikuwa mnaenda vizuri lakini mnaanza kuharibu! Sawa mlitaka kuja na idea tofauti, iwe catchy ndio mkaona iwe kwenye mfumo wa mwanamke kutaka kuelolewa? Wanawake hawa hawa ambao kila leo...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?

    Wakuu, Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk. Sasa wasanii hawa wakimaliza kufanya shughuli zao huenda moja kwa moja kwa Rais Samia kupokea bahasha zao na...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAVICHA Kanda ya Victoria yataka kuundwa kwa Baraza la Vijana la Taifa

    Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limeitaka Serikali kuunda Baraza la Vijana la Taifa litakalojadili masuala ya vijana, kutoa mapendekezo kwa Serikali, na kusaidia kupatikana kwa ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira awaunga mkono vijana kugombea ubunge na udiwani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Wasira ametoa rai hiyo leo Machi 16,2025, alipokuwa akizungumza na Wana CCM Wilaya ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchange aipongeza TAKUKURU, baada ya kushikiliwa na kuhojiwa kwa saa kadhaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) na Mkurugenzi wa Jamvi Media Group, Habibu Mchange, amepongeza juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika kudhibiti vitendo vya rushwa, hasa kuelekea uchaguzi mkuu. Akizungumza na gazeti la...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Spika, Mussa Zungu: Yaliyoonekana kuwa magumu yamewezekana kwa Rais Samia

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Diwani wa CCM ajiuzulu baada ya kutembelea miradi ya maendeleo akiwa na kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda

    Wakuu, Diwani wa Kata ya Mshangano, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Samwel Mbano ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwa maslahi mapana ya serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbano amesema hayo akizungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya maendeleo kwenye kata yake...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira asimikwa uchifu Mbeya

    Makamu Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg.Stephen wasira amefika tayari Mkoa Wa Mbeya tayari kwa ziara ya Sikuu Nne ambapo atatembelea wilaya zote za Mkoa Wa Mbeya kwa Ajili ya Kusikiliza kero za Wananchi pamoja na kufanya vikao mbalimbal na Viongozi wa CCm Mkoa WA MBEYA Baada ya kufika...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Wema Sepetu kocha wa Jituzi FC alivyowafokea wachezaji wake wasiojituma Samia Cup

    Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani kata ya Chanika atoa milioni 40 ikiwa ahadi yake kwa wakazi wa eneo hilo kwa ushindi wa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Ilala Masaburi Deoglas Masaburi, amesema kutokana na kufanya vizuri kwenye Uandikishaji wa Daftari la Kudumu lililopita na kupelekea Ushindi wa kishindo wa Serikali za Mitaa, ambapo aliahidi kutoa Sh. Milioni 10 kwa Kata yake na leo ametimiza ahadi hiyo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songwe: DC Mbega afuturisha viongozi na makundi mbalimbali

    DC MBEGA AFUTURISHA VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI YA KIJAMII WILAYA YA MBOZI Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amefuturisha viongozi pamoja na makundi mbalimbali ya kijamii huku akitoa rai kwa wananchi kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja na kutenda matendo mema kama wanavyotenda...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Erick Shigongo atoa msaada wa vifaa vya michezo

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa msaada wa vitendea kazi vya michezo kwa wanamichezo wa Jimbo la Buchosa. Hafla hiyo ilifanyika katika kata ya Bupandwa, ambapo Shigongo alikabidhi mipira kwa ajili ya wanamichezo wa kata hiyo. Shigongo alikuwapo kupitia diwani wa kata ya Bupandwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndolezi Petro apinga mijadala potofu juu ya uwagaji wa majimbo

    Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kupitia ACT Wazalendo, Ndolezi Petro, ameitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa ugawaji wa majimbo unazingatia vigezo vya kisheria badala ya kuongozwa na maslahi ya kisiasa. Akitoa kauli yake kwa...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muinja Maingu: Vijana tusiwaachie Wazee Siasa, tupambane!

    Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, na mdau wa maendeleo Musoma Vijijini, Muinja Maingu, amesema pamoja na vijana kuwa kundi kubwa katika jamii, bado wamekuwa na ushiriki mdogo katika siasa na kuwaachia...
Back
Top Bottom