PreGE2025 Diamond Platnumz: Usipotoboa kipindi cha Rais Samia, usiilaumu serikali

PreGE2025 Diamond Platnumz: Usipotoboa kipindi cha Rais Samia, usiilaumu serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,359
Reaction score
18,642
Wakuu

Msanii wa muziki na Mfanyabiashara Diamond Platnumz amesema mazingira mazuri ya biashara yamemfanya aendelee kupiga hatua uwekezaji na kuzindua brand mpya.

Amedai kama kuna mtu ambaye atashindwa kufanya vizuri kwenye biashara kwa kipindi hiki cha Rais Samia basi atakuwa ameshindwa yeye.

Analombwa na wakongo.Kwamba biashara ni rahisi hivyo sio?kuwa na brand ni vyepesi hivyo kama kutunga mashairi ya katoto nimekapakia mkongo...chibude chibudi.

Hovyo kabisa kama rahisi hizo Dimond karanga na chibu purfume zilipatwa nini?
 
ni sahihi kwani ukitizama mambo yanavyozidi kuwa mazuri kiuchumi ni kama muujiza wallah

niko na mama bega kwa bega mguse mama uone nitakavyo kuchakaza
 
Analombwa na wakongo.Kwamba biashara ni rahisi hivyo sio?kuwa na brand ni vyepesi hivyo kama kutunga mashairi ya katoto nimekapakia mkongo...chibude chibudi.

Hovyo kabisa kama rahisi hizo Dimond karanga na chibu purfume zilipatwa nini?
Unaelewa maana ya wakati huu au nifungue darasa la nyakati
 
Unaelewa maana ya wakati huu au nifungue darasa la nyakati
Nliandika makusudi nikisubiri swali kama hili kutoka kwa mtu kama wewe.Kilichomfanya asiweze au msiweze pamoja na yeye ni kipi? Tofauti ya hiki kipindi cha Samia na nyuma ni nini?

Una biashara kwanza au upo unaongea upumbavu hapa?
 
Unataka tubishane SI ndio hebu nijuze Kigoma unatokea wilaya gn?
 
Unataka tubishane SI ndio hebu nijuze Kigoma unatokea wilaya gn?
Kibondo una swali jingine? Tafuta TIN kwanza ndio uje kuniuliza maswali ya hovyo.Mitaji ipo rehani wewe unasema hiki ndicho kipindi cha biashara sio? Subiri kuimba kupokezana wakati wako ukifika huu ujinga utaacha
 
Yupo sahihi ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba tu.
 
Back
Top Bottom