kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

    Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi. Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma awahimiza vijana kugombea nafasi za juu katika Uchaguzi Mkuu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Ruvuma, Kelvin Charles, amewahimiza vijana wa mkoa huo kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  3. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Agenda ya utata wa Derby ya Kariakoo ni mkono wa serikali kudhoofisha mawazo ya watu kwa "No Reforms, No Election"

    Mbwembwe za mgogoro huu wa Yanga kugoma kucheza mechi iliyoahirishwa tarehe 8 March una baraka zote kutoka serikalini ili kudhoofisha mada kuu ya Chadema ya NO REFORM NO ELECTION, maana hawana uwezo wa kuikabili na nguvu ya hoja hiyo inavuka mipaka ya nchi. Lakini kwa vile masikio na mawazo ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Urais wa Chama cha NLD, Hassan Doyo: No Reform, No Election CHADEMA wenyewe hawajaungana

    Wakuu Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha NLD Bw. Hassan Doyo kupitia Crown FM anadai "CHADEMA yenyewe hawajaungana kwenye ajenda ya No reform, No election kwahiyo ni ngumu kuungana nao" Pia, Soma Chama cha NLD champongeza Rais Samia kuteuliwa kuwa mgombea Urais CCM. Viongozi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Bilioni 82.84/- zimekopeshwa kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

    Wakuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema katika mwaka wa fedha 2024/25, serikali imetoa mikoро yenye thamani ya Sh. bilioni 82.84 kwa vikundi 8,275 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Bila uoga Wananchi wawakaripia viongozi mbele ya Wasira "mnaleta siasa tu kwenye maisha ya watu"

    Wananchi wa Mbeya, Rungwe wameonyesha kutoridhishwa na viongozi wa serikali na chama kwa kile walichokiita "kuingiza siasa kwenye maisha ya watu." Malalamiko haya yalitolewa Machi 18, 2025 mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, ambapo wananchi walieleza...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi ambao mnaboresha taarifa na kuhama vituo fanyeni mchakato mtandaoni ukienda kituoni inakuwa ni kumalizia tu

    Wakuu, Zoezi la kupiga kura linaendelea sasa hivi na malalamiko ya foleni yamekuwa mengi. Sasa kwa wale ambao wamewahi kujiandikisha kabla na unataka kuboresha taarifa au kuhama kituo kuna urahisi kiasi. Unaweza kuanzia mchakato mtandaoni ambako utatakiwa kuweka namba yako ya kitambulisho...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia abubujikwa na machozi kwa salamu za kheri za Watanzania, aomba Umoja na Amani kwa Taifa

    Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii, amewashukuru wananchi kwa salamu nyingi za kheri na upendo walizozitoa katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais. Rais Samia alieleza furaha yake kwa kuwaona Watanzania wakimtakia mafanikio na ustawi...
  9. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu wenye msimamo wa 'No Reform No Election'

    Naelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu, LAKINI Wakati mnasukuma agenda ya NO REFORM NO ELECTION, hakikisha wanachama WANAJIANDIKISHA KWA WINGI KWENYE MIKOA YAO ZOEZI LA UANDIKISHAJI LIKIANZA MIKOA...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Nachingwea, Mohamed Moyo asisitiza ulipaji madeni ya Walimu, aahidi kuboresha Makazi yao

    Leo, tarehe 19 Machi 2025, Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Nachingwea umefanyika katika ukumbi wa TTC Nachingwea, Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo, aliongoza mkutano huu na kusisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta mshikamano kati ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Aweso: Wananchi waunganishiwe maji kwa mkopo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa wakati na kuondoa urasimu usio wa lazima unaosababisha ucheleweshaji wa huduma. Akizungumza siku ya Jumanne Machi 18, 2025 wakati wa ziara yake...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo: Tanzania inaizidi pesa Kenya, Uganda na Rwanda. Rais Samia ameurejesha uchumi wetu ulipokuwa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Amesema hilo linatosha kumfanya kila mwananchi awe na matumaini makubwa ya kuwa nchi itaendelea kusonga mbele...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tabora: Wananchi watofautiana juu ya msimamo wa CHADEMA kutishia kuzuia uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Tabora wametoa maoni mseto juu ya msimamo wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema wa kudai watazuia uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria, kikatiba, mageuzi ya kikanuni pamoja...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Wasira wewe siyo msemaji wetu, acha kutusemea kitu ambacho hukielewi

    Wakuu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa amesema watu wa CCM wamegeuka kuwa wasemaji wao, lakini wao msemaji wao ni mmoja tu, Brenda. Anasema ukiwasikiliza wasemaji wa CCM kama wasira, makalla wamekuwa kama wasemaji wao, wanawasaidia kufikisha ujumbe lakini, wakome maana...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Kuhusu kushiriki zoezi la kujiandikisha uchaguzi iulizwe Tume, hawakujibu barua yetu

    Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa wamegusia kuhusu zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la mpiga kura ambapo wanasema waliletewa barua na Tume watoe maoni kwenye kanuni kadhaa ambazo walikuwa wamepelekewa na waliijibu tume kwa barua...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Kitila ahakiki taarifa zake kwenye daftari la mpiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, ameongoza kwa mfano kwa kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, baada ya kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa daftari hilo Machi 17, 2025...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa 'Kalamu ya Samia inaongea' Ahmed Kombo awataka Watanzania kujiandaa kuipokea Kalamu ya Rais

    Wakuu Kwahiyo kazi ya Mwenge wa Uhuru ni nini sasa? == Mwenyekiti wa "Kalamu ya Samia Inaongea" Ahmed Kombo amewajuza Watanzania ya kwamba kila mkoa uwe tayari kuipokea Kalamu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani lengo ni kuangazia Miradi mbalimbali...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kufanya mikutano kuanzia Machi 23, 2025. Kupokea wanachama wapya na wa zamani. Kina Mdee kurejea?

    Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa watoa ratiba ya mikutano ambayo wanatarajia kufanya kuanzia Machi 23, ambapo Machi 23: Pamoja na mambo mengine, kwenye mkutano huu ambao unatarajiwa kufanyika Mbeya Mjini, watawapokea wanachama wapya pamoja na kuwapokea...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC wananchi vituoni wapewe fomu wajaze wenyewe usaidizi uwe kwa wasiojua kuandika au wenye ulemavu

    Wakuu, Ukienda kujiendikisha unatumia muda mrefu unnecessary, wakati zoezi linaweza kwenda fasta fasta. Mchakato unakwama sana unapotoa taarifa zako, unakuta mtu yuko slowwww, unatumia saa nzima hapo kwenye kuprintiwa ni fasta tu. Zile fomu zimepangiliwa vizuri kwa vyumba, nk, mtu kuanza...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Walimu wenye Kero na changamoto za mishahara wasikilizwa

    Wakuu Walimu wenye Kero mbalimbali wamejitokeza kwenye Kliniki ya Walimu na Samia Mkoani Morogoro kusikilizwa na Kikosi kazi cha Kliniki hiyo ili kutatua Kero zao Soma: Kliniki Ya Walimu Na Samia kushughulikia kero za walimu Arusha Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT)...
Back
Top Bottom