Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo tarehe 24 Machi, 2025 akiwa katika Wilaya ya Magharibi B amewataka Wananchi kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kufanya kazi kwa Ufanisi.
Akizungumza katika ziara ya kuangalia Waasisi na Wagonjwa na kukabidhi Iftar...
Katika kuadhimisha Wiki ya Mama, Timu ya Kampeni ya Mama Asemewe imefanya ziara katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo wameeleza umuhimu wa kuchagua viongozi bora kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 pamoja na kuonyesha kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini...
Sheikh Rashid Akilimali, Sheikh wa Mkoa wa Rukwa, amewahimiza wananchi kudumisha amani na utulivu wakati taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Ametoa pongezi kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kuunganisha Watanzania bila kujali tofauti za kidini, kikabila au...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuna baadhi ya watu wanaotaka kugombea ubunge wameanza kunyemelea majimbo kwa kuvunja maadili.
Wasira ameeleza hayo Machi 25, 2025 wilayani Ngara mkoani Kagera alipokuwa akizungumza na wana CCM pamoja na...
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa.
Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia juhudi za serikali ya awamu ya sita inavyofanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu hakika katika...
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa huo. Ikiwemo mradi wa fremu za biashara uliopo katika soko la CCM Zam Zam.
Kupata...
Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Shamsia Aziz Mtamba, amekabidhi msikiti kwa wahumini wa kiislamu wa Kata ya Ziwani, ikiwa ni hatua muhimu kwa maendeleo ya jamii ya Waislamu katika eneo hilo.
Ujenzi wa msikiti wa Jamiya ulianza miaka michache iliyopita, kwa juhudi kubwa za wahumini wa Kata...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya.
Chadema imelaani vikali hatua hiyo, ikitafsiri kama matumizi mabaya ya...
Naibu Meya wa Jiji la Ilala Dougras Didas Massaburi ambaye anahusishwa na kugombea Jimbo jipya la Kivule endapo litagawanywa Jimbo la Ukonga, amesema na yeye ameona taarifa hizo mitandaoni, lakini kwa sasa nguvu amezielekeza kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Soma...
Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati maalum ya Maaskofu na Masheikh ya Haki, Amani na Maadili Tanzania ameoneshwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Amos Makalla
Hivi karibuni akiwa mkoani Simiyu ambapo alidai kuwa Chama cha...
Mbunge wa Hai Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saasisha Mafuwe ameendelea na ziara yake ya Kata kwa Kata katika wilaya hiyo kwa lengo lakuwaeleza wananchi yaleyaliyofanyika kwakipindi cha miaka minne tangu ateuliwe kuwa Mbunge wa Hai.
Pia kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Kata hizo...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa ufafanuzi na kujibu hoja kuwa taratibu za Kikatiba zilikiukwa wakati wa uteuzi wake katika nafasi hiyo kwa kusema taratibu zote zilifuatwa na kwamba kinachofanyika ni mbinu haramu na kwamba watazidhibiti.
Mnyika...
Wakuu nimeona hii taarifa kuwa Mbunge wa Chadema wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan, ametangaza kuwa atashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, akipinga kaulimbiu ya chama chake ya "No Reform, No Election," inayosisitizwa na Mwenyekiti Tundu Lissu.
Taarifa imeongeza kuwa akizungumza na wananchi wa...
"Nidhamu tuliyoitengeneza wanaweza kugombea watu 100, vikao vitaanza kwa ngazi husika kwenda kuchuja ili tupate mgombea ambaye tuna hakika kati ya hao watatu yeyote atakayechaguliwa ana sifa ya kupeperusha bendera ya CCM na kupata ushindi" - Issa Gavu, Mjumbe wa kamati kuu CCM
Kupata matukio...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, amempongeza Mtume Boniface Mwamposa kwa huduma yake ya kiroho na misaada anayoitoa kwa watu wenye mahitaji mbalimbali.
Magoti alisema kuwa Mtume Mwamposa amesaidia watu wengi wenye shida mbalimbali na kutokana na mchango wake mkubwa, alimwomba kuja...
Kila Jambo ishirikishe nafsi yako sio wapambe
Nawaambie enyi warafi wa madaraka na wapambe wenu Kama hamtanisikiliza mtakufa kabla, ndani au baada ya uchaguzi.
Uongozi mzuri utoka kwa mwenyezi Mungu sio mwanadamu kwa kusimikwa.
Hakika nawaambia mtaanguka na kufa na wapambe wenu kuwakana na...
Katibu wa NEC organaizesheni na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Issa Gavu amezindua mradi wa Maduka ya chama Cha mapinduzi yaliopo stendi kuu ya Zamani huku akiwaasa wanachama pamoja na wafabiashara kuitunza milango (flemu) hizo.
Akizungumza wakati wa Kuzindua na kuweka jiwe la msingi flemu hizo...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano.
Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
Justine Januari Kiboko, mkazi wa Namanyere, Kata ya Majengo, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, ametoa wito kwa vijana wote wa Nkasi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba 2025.
Amesema vijana ni nguvu kazi ya taifa na wanayo nafasi kubwa ya kuamua mustakabali wa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.