kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Gologwa: Viongozi wakuu wote ni watia nia, ikiwemo Lissu mtia nia Urais

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gulogwa akiongea katika mkutano wa watia nia unaondelea katika ofisi za CHADEMA ameeleza kuwa viongozi wakuu wote ni watia nia isipokuwa yeye, na hata Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu ni mtia nia pia na barua yake ya kutia nia ngazi ya Urais...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwenyekiti wa CCM Dodoma, Kimbisa: Chama chetu kimeishiwa pumzi, haiwezekani tukaenda uchaguzi 2025 tukiwa tumeishiwa pumzi

    Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar asema Chama chao hakiwezi kufa kwa njama za CCM na serikali yake

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA TAifa upande wa Zanzibar, Said Mzee ameeleza kuwa Chadema haiwezi kufa kwa hila za CCM, aidha amewapongeza watia nia waliojitokesza katika mkutano huo wa kuwajengea uwezo kuhusu ajenda ya No reforms No election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma . Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naunga mkono hoja ya Lissu kwamba Rais apewe miaka 3 ya mpito ili kufanya mabadiliko, kisha Uchaguzi ndio ufanyike

    Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 !! Hii itakuwa ofa tu kwa mheshimiwa rais na baada ya hapo uchaguzi uitishwe sasa na akishinda anapiga...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Hawa Chawa wa Rais Samia wenye 'plate number' za SSH 2025, Polisi wanaweza wasimamisha barabarani kweli?

    Wakuu Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ndio Wakuu wa Mikoa wanaotarajiwa kugombea Ubunge mwaka huu na kwanini wanataka kugombea

    Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa kwa wakati? Sasa hali hiyo inajidhihirisha wazi, kwani baadhi ya viongozi hao, hasa wakuu wa mikoa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inavyoonekana hii imefanywa kuwa SIRI na inawindwa kwa udi na uvumba ijulikane kabla ya Oktoba

    Naona kabisa kuna mhaho wa kutaka kujua uchaguzi utazuiwaje usifanyike?. Na vinara wa kuhamasisha NO REFORMS, NO ELECTION(Lissu na Heche) hawana maneno mengi wanasema tu tena kwa kujiamini kabisa,"TUTAZUIA UCHAGUZI" halafu hawafafanui kiundani namna UCHAFUZI utakavyozuiliwa🤣🤣🤣🤣🤣 Ngoja niingie...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pamoja na kuwa na viongozi wa kikale, mawazo na sera za kikale, inakuwaje CCM inaendelea kuwa madarakani

    Dada na kaka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama vile KANU, MCP, UNIP na wengine walishasahaulika. Ajabu, CCM bado inatesa. Je, pamoja na ukale wake kiutawala na kisera, nini siri ya CCM kuendelea kuwa madarakani. Ina maana watanzania wanapenda mambo ya kikale kuliko ya kisasa?
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Tundu Lissu kumaliza mikutano yake ya zima moto nguvu ya soda huko mikoani, nyufa zaonekana wazi, nani kunufaika nazo kuelekea uchaguzi mkuu?

    Ni kama vile mikutano ya Tundu Lissu, ilikwenda kuibua na kuchochea migawanyiko baina ya wanaopinga no reform no elections dhidi ya wale wanaoiunga mkono dhana hiyo potofu isiyo na umuhimu wala faida yoyote kwa wananchi bali ni agenda binafsi ya alie ianzisha kuhisi kwamba atafedheheka yeye...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu afichua kilichozungumzwa kwenye kikao cha TCD "Wamesema muda wa kufanya reforms hautoshi'

    Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kilichojiri kwenye kikao cha Summit ya TCD iliyofanyika leo Aprili 2. Lissu amesema utetezi uliotolewa katika kikao hicho ambacho kilimhusisha pia...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa "Umoja Wa Wanaume Tanzania" utakaofanyika Dodoma

    Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma. Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili...
  13. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai amekuwa mtalii Jimboni

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni. Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kura zote za Urais watampa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, lakini ubunge hawatampa January...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Rais Philip Mpango azindua mbio za mwenge, asisitiza kwamba Uchaguzi utafanyika kwa kuzingatia Katiba

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025. Mpango amesema Serikali ya...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mwinyi awatembelea wagonjwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Lumumba

    Wakuu, Naona trip za kuwatembelea wagonjwa zimekuwa nyingi zimekuwa nyingi kipindi hiki. Kuna nini kwani? Au ndo maandalizi ya Uchaguzi ? Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wagonjwa na kuwafariji katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotangaza nia CHADEMA wakati kuna ajenda ya No reforms No election, inaashiria nini kuelekea uchaguzi 2025?

    Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno. Vipo vyama vya siasa nchini, mathalani Chadema, eti imekusudia kutumia wanachama wake kuzuia uchaguzi huo muhimu wa...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashungwa aahidi Milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia ya Kome

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya...
  18. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdallah Bulembo aahidi milioni 3 kwa ukarabati wa jengo la Parokia ya Kome

    Mbunge mstaafu, Abdallah Bulembo ambaye ni mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jamii) ameahidi kutoa milioni 3 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndejembi aahidi milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia Geita

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Waziri. Mhe. Deogratius J. Ndejembi ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa aahidi milioni 10 kwa ukarabati wa Kanisa Parokia ya Kome

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa...
Back
Top Bottom